BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Wanyonge haoHii biashara imekuwa na vijana wengi kila baada ya nyumba tano utakutana kijiweni Cha boda kazi hii imekuwa ni ya mateso sana vijana wanafanya kazi masaa mengi kupata riziki pia ni hatari sana kwa afya zao vifo vinavyotokana na ajali za boda boda vimekuwa ni vingi mno.
Nashauri Serikali kuongeza Kodi kwenye hizi boda boda moja imfikie mnunuzi kwa millioni 5, hii itasaidia kupunguza ajali zinazojitokeza.
sijitaji boda ya kuniletea hesabu nimesema najichanga nifungue spare za pikipiki Labda kama ulikuwa una m quote mtu mwingine mkuuSijakosea
Ayasijitaji boda ya kuniletea hesabu nimesema najichanga nifungue spare za pikipiki Labda kama ulikuwa una m quote mtu mwingine mkuu
Wewe upo ulaya ? Boda boda ni nyingi kuliko idadi ya watu wenye uhitaji jua hiloKarudie utafiti wako! Bodaboda hawawezi kuzidi abiria.
ShambaniMkuu acha roho mbaya unataka vijana tukajiajiri wapi?
Ardhi yenyewe ni ya kukodiShambani
Point mkuuHuwezi kutatua tatizo kwa kuongeza kodi.
Ukiongeza kodi mabosi wanarefusha mkataba na abiria anaongezewa nauli.
Kwahiyo atakayeumia ni mlaji
Hapo serikali ijenge viwanda watu waajiriwe sekta rasmi.
Vipi walipoondoa pombe za viroba walimaliza tatizo?
Sasa kuna visungura. Yaani toa tuweke.
Issue ya bods ni tatizo kubwa sana nimeandika hapa si chini ya nyuzi 3 .
Ni kweliKarudie utafiti wako! Bodaboda hawawezi kuzidi abiria.
Mkuu acha roho mbaya unataka vijana tukajiajiri wapi?
Wewe ni mchawi by profession. Kodi ikiongezwa itapunguzaje ajali?Hii biashara imekuwa na vijana wengi kila baada ya nyumba tano utakutana kijiweni Cha boda kazi hii imekuwa ni ya mateso sana vijana wanafanya kazi masaa mengi kupata riziki pia ni hatari sana kwa afya zao vifo vinavyotokana na ajali za boda boda vimekuwa ni vingi mno.
Nashauri Serikali kuongeza Kodi kwenye hizi boda boda moja imfikie mnunuzi kwa millioni 5, hii itasaidia kupunguza ajali zinazojitokeza.
Sasa ww unaona bora kipi kuendesha boda au kulima?Ardhi yenyewe ni ya kukodi
Wewe ni mnafiki na mchawi. Kama nchi haina viwanda unadhani watu watafanya kazi gani? Wewe mwenyewe hapo umetoa hata ajira ya u-house girl kwa mtu?Point yangu ya msingi kwanini kundi kubwa la watu wanakuwa kwenye shughuli moja ambayo inakuwa inaleta maafa mengi Mimi kwa mawazo yangu naona nguvu kazi inakuwa inapungua kuona kundi kubwa la watu kufanya shughuli moja yenye kipato duni
na kwa wanotumia kama usafiri binafsi nao hamtaki wamiliki chombo?Hii biashara imekuwa na vijana wengi kila baada ya nyumba tano utakutana kijiweni Cha boda kazi hii imekuwa ni ya mateso sana vijana wanafanya kazi masaa mengi kupata riziki pia ni hatari sana kwa afya zao vifo vinavyotokana na ajali za boda boda vimekuwa ni vingi mno.
Nashauri Serikali kuongeza Kodi kwenye hizi boda boda moja imfikie mnunuzi kwa millioni 5, hii itasaidia kupunguza ajali zinazojitokeza.
mtamkumbuka lema. na sikia ccmwanazigawa kama njugu wanasema ndio ajiraHii biashara imekuwa na vijana wengi kila baada ya nyumba tano utakutana kijiweni Cha boda kazi hii imekuwa ni ya mateso sana vijana wanafanya kazi masaa mengi kupata riziki pia ni hatari sana kwa afya zao vifo vinavyotokana na ajali za boda boda vimekuwa ni vingi mno.
Nashauri Serikali kuongeza Kodi kwenye hizi boda boda moja imfikie mnunuzi kwa millioni 5, hii itasaidia kupunguza ajali zinazojitokeza.
CCM tumeingiza boda 18,200, bado kuna mzigo unakuja wa kugawa kama mitungo ya gesi inavyogawiwa.Hii biashara imekuwa na vijana wengi kila baada ya nyumba tano utakutana kijiweni Cha boda kazi hii imekuwa ni ya mateso sana vijana wanafanya kazi masaa mengi kupata riziki pia ni hatari sana kwa afya zao vifo vinavyotokana na ajali za boda boda vimekuwa ni vingi mno.
Nashauri Serikali kuongeza Kodi kwenye hizi boda boda moja imfikie mnunuzi kwa millioni 5, hii itasaidia kupunguza ajali zinazojitokeza.