kidonto
JF-Expert Member
- Jan 5, 2014
- 1,961
- 2,918
HahahahaaaBora mgunda arudi 👏 na Inaabidi tujue yanga wanapataga wap makocha wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaaaBora mgunda arudi 👏 na Inaabidi tujue yanga wanapataga wap makocha wao
Katupatia ngao ya jamii dhidi ya Yanga, ligi kuu tunaendelea kushinda na hatujafungwa , mashindano ya Caf tayari katuvusha kuingia makundi haijalishi ni kwa mbinde au nini.Mnasubiri nini kumuondoa kocha? Miezi 9 yupo na timu bado hajapata muunganiko tu?
Hamuoni timu inashinda kwa uwezo binafsi wa wachezaji tu?
Au mpaka aitie hasara klabu ndio mumuondoe?
Kuweni na huruma na mioyo ya washabiki wenu!
Bado kurushiwa makopo tu!
Duh!.....Taarifa yako hii sio ya kweli. Mimi nipo klubuni na vikao vyote nashiriki na hatujajadili suala la Kocha.a
Hatuchezi kama yangaKatupatia ngao ya jamii dhidi ya Yanga, ligi kuu tunaendelea kushinda na hatujafungwa , mashindano ya Caf tayari katuvusha kuingia makundi haijalishi ni kwa mbinde au nini.
Je ' afukuzwe kwa ubaya upi???
Hakuna kocha hapo.Wabongo bana, mtu unashinda kuanzia ngao ya hisani, mechi zote NBC na unafuzu makundi lakini bado Wanataka kukutupia virago, mnataka afanyaje? Mbona Mourinho kwenye mafanikio hakua na pira biriyani?
Huyu si kocha kbs amekuwa mlopokaji tu anapoongea hata mate hamezi English wenyewe mbayaView attachment 2769201
Habari zilizotufikia ni kuwa bodi ya klabu ya Simba imeridhia kuacha na kocha wake Mbrazil Roberto Oliveira 'Robertinho' kutokana na kutoridhishwa na mwenendo wa timu tangu msimu huu kuanza licha ya kupewa asilimia kubwa ya wachezaji aliowahitaji.
Simba itatangaza uamuzi huo baada ya mechi dhidi ya Tanzania Prisons katika mwendelezo wa ligi kuu NBC Tanzania [emoji1241]
Juma Mgunda ataichukua timu kwa muda huku klabu ikiendelea kutafuta kocha wa kuja kuifundisha klabu hiyo na kumpa malengo yao.
Nabi alifukuzwa El Merrreikh kwa Kutoa sare na simba mechi Moja tu akiwa kocha mkuu hata Yanga walimfukuza kocha aliyempokea Kaze akiwa ameshinda mechi tatu kwa asilimia 100 Ila wenye timu hawakuridhika kbs na performance ya timu pamoja na kushindaWabongo bana, mtu unashinda kuanzia ngao ya hisani, mechi zote NBC na unafuzu makundi lakini bado Wanataka kukutupia virago, mnataka afanyaje? Mbona Mourinho kwenye mafanikio hakua na pira biriyani?
Wabongo bana, mtu unashinda kuanzia ngao ya hisani, mechi zote NBC na unafuzu makundi lakini bado Wanataka kukutupia virago, mnataka afanyaje? Mbona Mourinho kwenye mafanikio hakua na pira biriyani?
Akibakia hadi siku hiyo itakuwa ni kutwanga maji tu atatuliza Asepe hadi leoIla Kama taarifa hizi ni za kweli hatutaki kumsikia huyu kocha anatupa vijisababu kuwa alikuwa anapangiwa wachezaji na viongozi.
Ila nafikiri sio sahihi kuachana naye Sasa maana tuna mchezo ngumu wa Africa super league.
Huyo ndo ilitakiwa awe wa kwanza kuondoshwa hapo klabuni. By the way, mtu yeyote anayefanana jina na Sultani Mangungo of Msovero sijawahi kumwamini. Mtu unaitwa Mangungu?Wasimsahau na Mangungu.
Hapo kwenye 'mbinde' panafaa kumuondoa. Kwasababu hata wewe umekili ni mbinde!Katupatia ngao ya jamii dhidi ya Yanga, ligi kuu tunaendelea kushinda na hatujafungwa , mashindano ya Caf tayari katuvusha kuingia makundi haijalishi ni kwa mbinde au nini.
Je ' afukuzwe kwa ubaya upi???
Fidia atalipa nani? huyo sio kibaruaAkibakia hadi siku hiyo itakuwa ni kutwanga maji tu atatuliza Asepe hadi leo
Hicho ndio kikosi alichokua nacho unadhani nirahis kubadilisha wachezaji haraka hivyo..Kutengeneza timu kunahitaji muda wakutosha.nyie mnataka mwalimu aje siku hiyo hiyo timu ifike fainali.kwa mawazo hayo ata Pep gadiola hawezi.Mnataka timu icheze vizuri alafu hamjifunzi kwa yanga waliotengeneza falsafa ya timu kwa muda ambayo mwalimu yoyote anayekuja anaendelea nayo.Simba wamebadilisha badilisha walimu ndani ya muda mfupi hadi wamepoteza ile ladha ya pira biriani.Aondoke, hana mbinu zozote. Kila mchezaji anacheza anavyojua. Tunamshukuru kwa kumpiga utopolo na kila la kheri huko aendako
Hiyo timu wana hela za kuchezea.Timu gani kabla ata mwalimu hajafahamu timu vizuri wanamuona hafai.Kila mwaka inafukuza kocha na kuajiri kocha mpya! Timu ya ajabu sana hii.
Profesa alikaa na yanga muda gani hadi timu ikaanza kufanya vizuri?.Matunda wanayoyapata leo yanga nikwasababu walimvumilia Nabi.Tofauti na hapo huo mpira mzuri unaochezwa na yanga sasa usingekuwepo.Tuwe wakweli.Uvumilivu unalipa kuliko papara.Mnasubiri nini kumuondoa kocha? Miezi 9 yupo na timu bado hajapata muunganiko tu?
Hamuoni timu inashinda kwa uwezo binafsi wa wachezaji tu?
Au mpaka aitie hasara klabu ndio mumuondoe?
Kuweni na huruma na mioyo ya washabiki wenu!
Bado kurushiwa makopo tu!
Mchezaji anapewa nafasi ya kucheza alafu anacheza chini ya kiwango hapo kocha anakua na tatizo gani?.Hao wote uliowataja wanachezeshwa ni jukumu lao kuipigania timu kwakuonyasha juhudi binafsi ili timu ifanye vizuri.Kazi ya mwalimu ni kuelekeza tu ila mengine ni juhudi za mchezaji mwenyewe.sio muumini wa kubadilibadili makocha ila kwa kocha huyu ni wa kubadili, chini yake ameuwa uwezo wa wachezaji kama saidoo,si yule wa mgunda kabisa, chama kawa tepetepe mnoo, moses phiri ndo hataki kumsikia kabisa, baleke si yule tumjuaye na sasa kahamia kwa kanoute Putin kuhakikisha anapotea