Nawewe tena ulalamishi. Jamaa si anadaka mpaka njiii angekwenda kumochwar.Mimi nimekubali tumefungwa na ndivyo soka lilivyo kumpiga mtani Kila siku ata wao wangekata tamaa.
Shida ni uyu mama wanalazimisha achezeshe wakati anashida katika maamuzi.
Mbna naona aliwabeba sana Yanga,Mimi nimekubali tumefungwa na ndivyo soka lilivyo kumpiga mtani Kila siku ata wao wangekata tamaa.
Shida ni uyu mama wanalazimisha achezeshe wakati anashida katika maamuzi.
Boraa hata wee umeonaaa hiliRefa hatoshi pia kwa sababu alitoa faulo za uongo kwa Yanga ambazo hawakuguswa wachezaji wa Yanga.
Tena faulo za uongo 3 karibu na lango la Simba ametoa.
Yanga acheni malalamiko ya kifala. Nyie mmepata kona 8, kati hizo nane mmefunga ngapi?Kwa unyenyekevu mkubwa nawaomba bodi ya Ligi kutompatia mechi zenye Presha kubwa uyu Refa hii itamsaidia Jamii kutomuona Refa wa hovyo na kuendelea kuaninika.
Mechi ya Leo ya Simba na Yanga ukiacha makosa ya Line 2 ya kuwapa Simba Kona iliyo zaa goli la kwanza ambayo haikua sahihi tena akiwa mita Moja kutoka mpira ulipo Refa alikua akifanya makosa mengi.
Naomba nyinyi bodi ya Ligi au Chama Cha marefa wajifungie na kuangalia Kwa utulivu mechi hii na nyingine zote kubwa hasa za Simba na Yanga mnaweza kupata pa kuanzia.
Kumuondoa katika marefa wa hizi mechi kubwa kutamsaidia yeye na nyinyi bodi ya Ligi kuonekana mpo Fair.
Hawa jamaa kwa malalmiko kuna mwaka walipotea hadi wakasema watakwenda kwa Mhe. Rais kupeleka malalamiko! Toka wameacha kutembeza bakuli malalamiko yalipunngua sasa hivi wameyaanza tena!!Ila utopolo mnajidhalilisha huyu refa kakosea wapi, mbona Simba mkitukanda hatuji na visingizio vya kitopolo
Hawana pa kukikimbiliaKibu alijua haya ndio maana Akatungua akiwa Mbali.....
Lile Goli la wizi lilitutoa mchezoniHawana pa kukikimbilia
Yani ndo washindwe hata kurudisha moja???
2 kwa 0
NI kweli kabisa mkuu huyu mama alivopangiwa kuchezesha hii game nilijua tu hatuponi maana hua anapewa maelekezo mapemaBahati nzuri nimebahatika kumuuliza mdau mmoja kigogo anayehusika na maswala haya,menieleza wamebaki na Marefa wawili tu wenye uzoefu na wenye beji ya FIFA yaani Jonesia na Kayoko marefa wengine wenye uzoefu na Maarufu wamefungiwa na watarudi mwakani.
Ina maana upo uwezekano mkubwa uyu mama Jonesia akapewa mechi kubwa nyingine nawashauri Yanga tujipange akiwa anachezesha tujue Kuna wachezaji 13.
Alipowapa ile penati nje ya box hamkuona ubaya eee...Lile Goli la wizi lilitutoa mchezoni
Amerudi analia eeehx2Kwa unyenyekevu mkubwa nawaomba bodi ya Ligi kutompatia mechi zenye Presha kubwa uyu Refa hii itamsaidia Jamii kutomuona Refa wa hovyo na kuendelea kuaninika.
Mechi ya Leo ya Simba na Yanga ukiacha makosa ya Line 2 ya kuwapa Simba Kona iliyo zaa goli la kwanza ambayo haikua sahihi tena akiwa mita Moja kutoka mpira ulipo Refa alikua akifanya makosa mengi.
Naomba nyinyi bodi ya Ligi au Chama Cha marefa wajifungie na kuangalia Kwa utulivu mechi hii na nyingine zote kubwa hasa za Simba na Yanga mnaweza kupata pa kuanzia.
Kumuondoa katika marefa wa hizi mechi kubwa kutamsaidia yeye na nyinyi bodi ya Ligi kuonekana mpo Fair.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa jamaa kwa malalmiko kuna mwaka walipotea hadi wakasema watakwenda kwa Mhe. Rais kupeleka malalamiko! Toka wameacha kutembeza bakuli malalamiko yalipunngua sasa hivi wameyaanza tena!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukimuonaa Aucho msalimiee, sio kwa alivyo nichekesha janaa, UwiiiiiiihBahati nzuri nimebahatika kumuuliza mdau mmoja kigogo anayehusika na maswala haya,menieleza wamebaki na Marefa wawili tu wenye uzoefu na wenye beji ya FIFA yaani Jonesia na Kayoko marefa wengine wenye uzoefu na Maarufu wamefungiwa na watarudi mwakani.
Ina maana upo uwezekano mkubwa uyu mama Jonesia akapewa mechi kubwa nyingine nawashauri Yanga tujipange akiwa anachezesha tujue Kuna wachezaji 13.
Yaani ni kama hawana elimuHawa jamaa kwa malalmiko kuna mwaka walipotea hadi wakasema watakwenda kwa Mhe. Rais kupeleka malalamiko! Toka wameacha kutembeza bakuli malalamiko yalipunngua sasa hivi wameyaanza tena!!