Bodi ya Ligi, huyu Refa Jonisia hatoshi kwa mechi zenye presha kubwa

Kwa unyenyekevu mkubwa nawaomba bodi ya Ligi kutompatia mechi zenye Presha kubwa uyu Refa hii itamsaidia Jamii kutomuona Refa wa hovyo na kuendelea kuaninika.

Mechi ya Leo ya Simba na Yanga ukiacha makosa ya Line 2 ya kuwapa Simba Kona iliyo zaa goli la kwanza ambayo haikua sahihi tena akiwa mita Moja kutoka mpira ulipo Refa alikua akifanya makosa mengi.

Naomba nyinyi bodi ya Ligi au Chama Cha marefa wajifungie na kuangalia Kwa utulivu mechi hii na nyingine zote kubwa hasa za Simba na Yanga mnaweza kupata pa kuanzia.
Kumuondoa katika marefa wa hizi mechi kubwa kutamsaidia yeye na nyinyi bodi ya Ligi kuonekana mpo Fair.
Yanga acheni malalamiko ya kifala. Nyie mmepata kona 8, kati hizo nane mmefunga ngapi?
 
Bahati nzuri nimebahatika kumuuliza mdau mmoja kigogo anayehusika na maswala haya,menieleza wamebaki na Marefa wawili tu wenye uzoefu na wenye beji ya FIFA yaani Jonesia na Kayoko marefa wengine wenye uzoefu na Maarufu wamefungiwa na watarudi mwakani.

Ina maana upo uwezekano mkubwa uyu mama Jonesia akapewa mechi kubwa nyingine nawashauri Yanga tujipange akiwa anachezesha tujue Kuna wachezaji 13.
 
Screenshot_20230417-083739_Chrome.jpg

Kweli anaachaje mtu anamanuka hivi
 
Bahati nzuri nimebahatika kumuuliza mdau mmoja kigogo anayehusika na maswala haya,menieleza wamebaki na Marefa wawili tu wenye uzoefu na wenye beji ya FIFA yaani Jonesia na Kayoko marefa wengine wenye uzoefu na Maarufu wamefungiwa na watarudi mwakani.

Ina maana upo uwezekano mkubwa uyu mama Jonesia akapewa mechi kubwa nyingine nawashauri Yanga tujipange akiwa anachezesha tujue Kuna wachezaji 13.
NI kweli kabisa mkuu huyu mama alivopangiwa kuchezesha hii game nilijua tu hatuponi maana hua anapewa maelekezo mapema
 
Kwa unyenyekevu mkubwa nawaomba bodi ya Ligi kutompatia mechi zenye Presha kubwa uyu Refa hii itamsaidia Jamii kutomuona Refa wa hovyo na kuendelea kuaninika.

Mechi ya Leo ya Simba na Yanga ukiacha makosa ya Line 2 ya kuwapa Simba Kona iliyo zaa goli la kwanza ambayo haikua sahihi tena akiwa mita Moja kutoka mpira ulipo Refa alikua akifanya makosa mengi.

Naomba nyinyi bodi ya Ligi au Chama Cha marefa wajifungie na kuangalia Kwa utulivu mechi hii na nyingine zote kubwa hasa za Simba na Yanga mnaweza kupata pa kuanzia.

Kumuondoa katika marefa wa hizi mechi kubwa kutamsaidia yeye na nyinyi bodi ya Ligi kuonekana mpo Fair.
Amerudi analia eeehx2
 
Hawa jamaa kwa malalmiko kuna mwaka walipotea hadi wakasema watakwenda kwa Mhe. Rais kupeleka malalamiko! Toka wameacha kutembeza bakuli malalamiko yalipunngua sasa hivi wameyaanza tena!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bahati nzuri nimebahatika kumuuliza mdau mmoja kigogo anayehusika na maswala haya,menieleza wamebaki na Marefa wawili tu wenye uzoefu na wenye beji ya FIFA yaani Jonesia na Kayoko marefa wengine wenye uzoefu na Maarufu wamefungiwa na watarudi mwakani.

Ina maana upo uwezekano mkubwa uyu mama Jonesia akapewa mechi kubwa nyingine nawashauri Yanga tujipange akiwa anachezesha tujue Kuna wachezaji 13.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukimuonaa Aucho msalimiee, sio kwa alivyo nichekesha janaa, Uwiiiiiiih
 
Leo naona Wachambuzi Uchwala wanao chambua habari za michezo ili kumfurahisha ili wakamkope Mwenyekiti wa Yanga wametulia.

Na Manara Wametulia
 
Hawa jamaa kwa malalmiko kuna mwaka walipotea hadi wakasema watakwenda kwa Mhe. Rais kupeleka malalamiko! Toka wameacha kutembeza bakuli malalamiko yalipunngua sasa hivi wameyaanza tena!!
Yaani ni kama hawana elimu
 
Back
Top Bottom