Bodi ya Ligi, huyu Refa Jonisia hatoshi kwa mechi zenye presha kubwa

Bodi ya Ligi, huyu Refa Jonisia hatoshi kwa mechi zenye presha kubwa

redio

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
5,813
Reaction score
12,921
Kwa unyenyekevu mkubwa nawaomba bodi ya Ligi kutompatia mechi zenye Presha kubwa uyu Refa hii itamsaidia Jamii kutomuona Refa wa hovyo na kuendelea kuaninika.

Mechi ya Leo ya Simba na Yanga ukiacha makosa ya Line 2 ya kuwapa Simba Kona iliyo zaa goli la kwanza ambayo haikua sahihi tena akiwa mita Moja kutoka mpira ulipo Refa alikua akifanya makosa mengi.

Naomba nyinyi bodi ya Ligi au Chama Cha marefa wajifungie na kuangalia Kwa utulivu mechi hii na nyingine zote kubwa hasa za Simba na Yanga mnaweza kupata pa kuanzia.

Kumuondoa katika marefa wa hizi mechi kubwa kutamsaidia yeye na nyinyi bodi ya Ligi kuonekana mpo Fair.
 
Yakhee
Tushafungwa tukubali yeishee.
Tutalipa kisasi mechi nyingine.
Makosa ndiyo yanayo fanya mchezo huu uwe wa amsha amsha na shamra shamra.
Mimi nimekubali tumefungwa na ndivyo soka lilivyo kumpiga mtani Kila siku ata wao wangekata tamaa.
Shida ni uyu mama wanalazimisha achezeshe wakati anashida katika maamuzi.
 
Back
Top Bottom