..CAS tutafika na heshima itarejea
Mpaka nakuonea huruma yan....Kesi Bado mbichi
Moto utawaka
Kwa mwanasheria yupi?😂😂Kesi Bado mbichi
Moto utawaka
Yanga ilichokifanya vilaza hawawezi kuelewq,sheria za CAS unatakiwa ukate rufaa siku 21 tokea siku ya tukio,mechi ilihairishwa tarehe 8 machi,Yanga ilipeleka rufaa tff ila ikawa inabuy time zifike siku 21 ndio watoe hukumu yao na hapo muda wa CAS utakua ushaisha,Yanga walipoona janja hiyo wakaona m 3 kitu gani,1 april wakapeleka malalamiko yao cas wakijua cas watawarudisha tff,so now tarehe yoyote Yanga wakipewa hukumu yao na tff kule cas itapokelewaBodi ya ligi imewasikiliza wachambuzi na kuja maazimio ya kuipangia derby tarehe zingine
CAS imeshauri kuwa shauri lisikilizwe na kutolewa maamzi na ngazi ya Rufaa ya TFF, haijasema bodi ya ligi upande tarehe mpya ya derby ambayo Yanga alipinga
Hawa bodi ya ligi wamejaa vilaza
Wanasikiliza ushauri wa Mangungu anachowambia wao ndo wanakimbia kuandika public View attachment 3322224
Miaka yote Yanga tumekuwa laughing stock. Tuna viongozi na wanasheria vilaza. Kuanzia sakata la B. Morrison,Kagoma n.k tunachezea za mbavu tu kama mbwa koko. Ni aibu sana.Yanga ilichokifanya vilaza hawawezi kuelewq,sheria za CAS unatakiwa ukate rufaa siku 21 tokea siku ya tukio,mechi ilihairishwa tarehe 8 machi,Yanga ilipeleka rufaa tff ila ikawa inabuy time zifike siku 21 ndio watoe hukumu yao na hapo muda wa CAS utakua ushaisha,Yanga walipoona janja hiyo wakaona m 3 kitu gani,1 april wakapeleka malalamiko yao cas wakijua cas watawarudisha tff,so now tarehe yoyote Yanga wakipewa hukumu yao na tff kule cas itapokelewa
TFF hawana sikukuu?, walivyopata taarifa tu chap na barua juu.Bodi ya ligi imewasikiliza wachambuzi na kuja maazimio ya kuipangia derby tarehe zingine
CAS imeshauri kuwa shauri lisikilizwe na kutolewa maamzi na ngazi ya Rufaa ya TFF, haijasema bodi ya ligi upande tarehe mpya ya derby ambayo Yanga alipinga
Hawa bodi ya ligi wamejaa vilaza
Wanasikiliza ushauri wa Mangungu anachowambia wao ndo wanakimbia kuandika public View attachment 3322224
Hakika mkuu,ila hili alipo kibahati mbaya,mamlaka zenyewe za mpira ziko against Yanga,hata hili Yanga itashindwa,jaribu kukaa na watu wa karibu kwenye uongozi wa Yanga ndio utajua changamoto zipi wanapitia,Yanga isingekua imara uongozi huu wa karia na kidau hata top 4 isingekuwepo,watu wanapambana mkuu,ukianzia hata mechi za kimataifa Yanga hana msaada na tff,wapo tu wenyewe,angalia simba chini ya karia mechi zao za kimataifa,ipo hivi waamuzi uwa wanapokelewa na tff na ndio wao uwaambia mwenyeji ashinde,match za kimataifa za Yanga hapo taifa,Yanga uwa wanakua kama wapo neutral ground kimaamuzi,na vitu vingi tu ufanyiwa,msimu huu tff imeamua kivyovyote Yanga isiwe bingwaMiaka yote Yanga tumekuwa laughing stock. Tuna viongozi na wanasheria vilaza. Kuanzia sakata la B. Morrison,Kagoma n.k tunachezea za mbavu tu kama mbwa koko. Ni aibu sana.
Ni uongo kusingizia TFF hatupo makini tunakurupuka na tunatafuta visingizio. TFF HAWANA MSAADA MATCHES ZA KIMATAIFA hawachezi na hatuhitaji msaada wao. Mbona matches za ndani tunashinda na nyingine zina mazonge mazonge sana?Hakika mkuu,ila hili alipo kibahati mbaya,mamlaka zenyewe za mpira ziko against Yanga,hata hili Yanga itashindwa,jaribu kukaa na watu wa karibu kwenye uongozi wa Yanga ndio utajua changamoto zipi wanapitia,Yanga isingekua imara uongozi huu wa karia na kidau hata top 4 isingekuwepo,watu wanapambana mkuu,ukianzia hata mechi za kimataifa Yanga hana msaada na tff,wapo tu wenyewe,angalia simba chini ya karia mechi zao za kimataifa,ipo hivi waamuzi uwa wanapokelewa na tff na ndio wao uwaambia mwenyeji ashinde,match za kimataifa za Yanga hapo taifa,Yanga uwa wanakua kama wapo neutral ground kimaamuzi,na vitu vingi tu ufanyiwa,msimu huu tff imeamua kivyovyote Yanga isiwe bingwa
Ni tima sasa ya yanga kutafuta legal team nyingine. Hii iliyopo ime prove failure, more than one time.Miaka yote Yanga tumekuwa laughing stock. Tuna viongozi na wanasheria vilaza. Kuanzia sakata la B. Morrison,Kagoma n.k tunachezea za mbavu tu kama mbwa koko. Ni aibu sana.