Bodi ya ligi kupanga ratiba mpya ya derby ni kudharau maamzi ya CAS

Bodi ya ligi kupanga ratiba mpya ya derby ni kudharau maamzi ya CAS

Nendeni CAS tena mkashtaki

Nendeni CAS tena mkashtaki
Sisi ndiyo Simba SC AKA;
JamiiForums-312072181.jpeg

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Malalamiko (Lia lia) SC.
4. Makelele SC.
5. Mipang'ang'a SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau (Mapaka) SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mikia SC.
11. Mwakarobo SC.
12. Ngada SC
13. Zuwena SC.
14. Kufa kiume SC.
15. Kikanuni SC.
16. Panya Roads SC.
17. Bebwa bebwa (Mbeleko) SC.
18. Bahasha SC
19. 5imba SC.
20. Ubaya Ubwege SC.
21. Manguruwe SC.
22. Objective Football SC.
23. Mazombi SC.
24. Kolowizard SC.
25. Visingizio(Visababu)SC.
26. Wekundu wa Msimbazi SC.
 
Hakuna sehemu yenye vilaza kama kwenu huko utopoloni,wenye mamlaka na ligi wameahirisha mchezo halafu nyinyi kwa ukilaza wenu mnapeleka wachezaji uwanjani huku mkijua fika kuwa mchezo umeahirishwa.Bado hamkuridhika na Hilo mkakimbilia CAS bila hata kufanya tafakuri sahihi,sijui nlidhani na huko Kuna akina Kayoko na msivyo na akili mkaweka na ma slogani yenu ya kipuuzi ya HATUCHEZI,sasa ndo itajulikana kweli kuwa huko kwenu wenye akili ni wawili TU.
Layman mwingine
Hata makosa nikujibu nini, jitu jinga kama wewe,
Huwezi kuelewa tafakuri pana, upo tu unabwabwaja
 
Hapo ni kamchezo tu kitaendelea hadi michezo ya mwisho,derby inaweza kupigwa dec hii 😂
Mbumbumbu wanavofurahi utadhani Yanga hawana akili kumbe ni mtego na wamenasa
Hapa Yanga wanapeleka shitaka TFF na hao TFF watawekwa pingamizi derby isipangiwe tarehe hadi shauri lifike mwisho
Wakihukumu kishabiki na wakatoa nakala ya hukumu Yanga anapanda CAS.
Hapa TFF hana uweZo wa kugoma kusikiliza kesi maana ni kama amepewa Amri na CAS kuwa wasikilize shauri kabla ya chochote
markup_1000137445.png
 
Nakukumbusha

1.Kesi ya Yusuph Kagoma
2.Kesi dhidi ya Benarn Morison
3.Kesi ya Kutaka kukimbia Dabi.
Yusuph Kagoma iliisha kifamilia hakufika kasi
Benard Morison Karia alificha documents ili kuilinda Simba yake
Hiyo ya derby amecheza karata vyema, TFF walitaka wakimbie kuliamua na ku buy time ili siku 21 ziishe ili kesi ikose uhalali wa kusikiliza CAS, Sasa Kwa kupeleka kesi CAS maamuzi yalijulikana kuwa Yanga ataagizwa arudi TFF na TFF watoe hukumu na nakala ya hukumu hapo Yanga atakuwa na sifa za kurudi CAS na kesi itasikiliza Kwa hoja
markup_1000137445.png
 
Yusuph Kagoma iliisha kifamilia hakufika kasi
Benard Morison Karia alificha documents ili kuilinda Simba yake
Hiyo ya derby amecheza karata vyema, TFF walitaka wakimbie kuliamua na ku buy time ili siku 21 ziishe ili kesi ikose uhalali wa kusikiliza CAS, Sasa Kwa kupeleka kesi CAS maamuzi yalijulikana kuwa Yanga ataagizwa arudi TFF na TFF watoe hukumu na nakala ya hukumu hapo Yanga atakuwa na sifa za kurudi CAS na kesi itasikiliza Kwa hojaView attachment 3322717
Mzee Hukumu ipi?
TFF alishasema mechi imeahirishwa atapangiwa siku nyingine
 
Mzee Hukumu ipi?
TFF alishasema mechi imeahirishwa atapangiwa siku nyingine
Mechi haiarishwi kama miadi ya kukutana na demu lodge
laZima kanuni zifuatwe
Hakuna sababu za msingi za kuhairishwa mechi
 
Mechi haiarishwi kama miadi ya kukutana na demu lodge
laZima kanuni zifuatwe
Hakuna sababu za msingi za kuhairishwa mechi
Sababu walitoa lakini? Au hukuelewa sababu zilizotolewa
 
Utopolo FC walisahau kuwa Ligi Kuu Bara ni mali ya TFF chini ya Bodi ya Ligi.
 
Sababu walitoa lakini? Au hukuelewa sababu zilizotolewa
Sababu zipi za msingi ?
Kulikuweko hali mbaya ya hewa, mvua, tufani n.k
Vita, mauaji
Sababu ilikuwa ipi?
 
Hivi ushabiki wa hizi timu huwa unaendana na uwezo wa kufikiri? Si bure kuna timu imejaa watu wajingawajinga sana.

Subirini derby na lazima mtacheza

Umbumbumbu uliokujaa kichwani huwezi kuelewa hizi akili za Yanga
hapa
 
Hivi ushabiki wa hizi timu huwa unaendana na uwezo wa kufikiri? Si bure kuna timu imejaa watu wajingawajinga sana.

Subirini derby na lazima mtacheza


hapa
Pole
 
Sababu zipi za msingi ?
Kulikuweko hali mbaya ya hewa, mvua, tufani n.k
Vita, mauaji
Sababu ilikuwa ipi?
Kamuulize Infantino au CAS. Si ndiyo amerudisha majibu ya ujinga wenu.

Mnaturudishia tena sisi wakati tupo bize na Cafcc final
 
Back
Top Bottom