Bodi ya ligi kupanga ratiba mpya ya derby ni kudharau maamzi ya CAS

Bodi ya ligi kupanga ratiba mpya ya derby ni kudharau maamzi ya CAS

Kweli akili hakuna Utopolo.

Wewe umekata Rufaa, imetupwa. Ina maana maamuzi ya awali ni sahihi.

Mnatuchosha na ujinga wenu, tupumzisheni sasa
 
Sasa hapa wewe unajiona una akili
Mambo yako wazi ulivo zumbukuku umefata mawazo ya wachambuzi ndo unakimbia nayo hapa

Yanga kawagusa pabaya TFF
Heeeeh ...haya unaona ni mawazo ya wachambuzi? Wa wapi? Hapo alipowagusa TFF ni wapi? Aiseeee... Manara hakukosea. Yanga imejawa na watu wanaoshabikia kunywa supu akili hawana. Wewe ni aina hiyo ya watu.
 
Wewe ndio kilaza. Hizo siku 21 ni tangu uamuzi wa malalamiko yao unapotolewa na TFF, sio tangu mechi kuchezwa.
Kilaza ni ww,CAS hawawezi kusikiliza kabla ya hukumu kutolewa na tff,Yanga walishaiandikia barua ya malalamiko tff ila wakawa wanabuy time zifike siku 21 baada ya mchezo ili Yanga wasiwe na pakupeleja malalamiko yao maana CAS baada ya siku 21 ya mchezo awapokei malalamiko,Yanga machale yakawacheza,ilipofika siku ya 19 wakapeleka malalamiko yao CAS,barua ya waliyopewa Yanga wameambiwa waanzie tff,so Yanga watapeleka barua ya CAS tff hapo kesho
 
Kilaza ni ww,CAS hawawezi kusikiliza kabla ya hukumu kutolewa na tff,
Sasa kama hawawezi kusikiliza na bado mkaipeleka, si ndio ukilaza wenyewe huo🤣🤣🤣
Screenshot_2025-05-02-05-48-51-362_org.mozilla.firefox.jpg
 
Kama hakuna shauri lolote llinaoendelea tff kuhusu hiyo kesi bodi ya ligi iko sahihi kuendelea na taratibu zake.Endapo shauri litaanza kusikilizwa tff,then tff ndiyo itaiamuru bodi ya ligi kusimamisha kwanza mchakato hadi kesi ya msingi itolewe maamuzi.
 
Bodi ya ligi imewasikiliza wachambuzi na kuja maazimio ya kuipangia derby tarehe zingine

CAS imeshauri kuwa shauri lisikilizwe na kutolewa maamzi na ngazi ya Rufaa ya TFF, haijasema bodi ya ligi upande tarehe mpya ya derby ambayo Yanga alipinga

Hawa bodi ya ligi wamejaa vilaza
Wanasikiliza ushauri wa Mangungu anachowambia wao ndo wanakimbia kuandika public View attachment 3322224
Hakuna sehemu yenye vilaza kama kwenu huko utopoloni,wenye mamlaka na ligi wameahirisha mchezo halafu nyinyi kwa ukilaza wenu mnapeleka wachezaji uwanjani huku mkijua fika kuwa mchezo umeahirishwa.Bado hamkuridhika na Hilo mkakimbilia CAS bila hata kufanya tafakuri sahihi,sijui nlidhani na huko Kuna akina Kayoko na msivyo na akili mkaweka na ma slogani yenu ya kipuuzi ya HATUCHEZI,sasa ndo itajulikana kweli kuwa huko kwenu wenye akili ni wawili TU.
 
Kilaza ni ww,CAS hawawezi kusikiliza kabla ya hukumu kutolewa na tff,Yanga walishaiandikia barua ya malalamiko tff ila wakawa wanabuy time zifike siku 21 baada ya mchezo ili Yanga wasiwe na pakupeleja malalamiko yao maana CAS baada ya siku 21 ya mchezo awapokei malalamiko,Yanga machale yakawacheza,ilipofika siku ya 19 wakapeleka malalamiko yao CAS,barua ya waliyopewa Yanga wameambiwa waanzie tff,so Yanga watapeleka barua ya CAS tff hapo kesho
Uelewa wa Watanganyika ni mdogo mno
Haya tumewaeleza mara nyingi ila mijitu unbongo umeganda
 
Poleer sana bwasheee, 😂😂😂😂😂
 
Bodi ya ligi imewasikiliza wachambuzi na kuja maazimio ya kuipangia derby tarehe zingine

CAS imeshauri kuwa shauri lisikilizwe na kutolewa maamzi na ngazi ya Rufaa ya TFF, haijasema bodi ya ligi upande tarehe mpya ya derby ambayo Yanga alipinga

Hawa bodi ya ligi wamejaa vilaza
Wanasikiliza ushauri wa Mangungu anachowambia wao ndo wanakimbia kuandika public View attachment 3322224
Derby ipangwe upya. Kusikiliza malalamiko feki ya yanga ni kupoteza muda.
 
Back
Top Bottom