😀 😀 hongera zako we mwenye uelewa mkubwa!Uelewa wako ni mdogo
Huwezi kuchanganua hoja nzito kama hizi
Acha kuwalisha matango Umesoma au na wewe umesikiliza Radioni zipo page 9 soma vizuri acha kuja na uyangayangaBodi ya ligi imewasikiliza wachambuzi na kuja maazimio ya kuipangia derby tarehe zingine
CAS imeshauri kuwa shauri lisikilizwe na kutolewa maamzi na ngazi ya Rufaa ya TFF, haijasema bodi ya ligi upande tarehe mpya ya derby ambayo Yanga alipinga
Hawa bodi ya ligi wamejaa vilaza
Wanasikiliza ushauri wa Mangungu anachowambia wao ndo wanakimbia kuandika public View attachment 3322224
UTOPOLO FC kesi waliowahi kushinda ni moja tu, a "Frivolous Case" tena ilikuwa dhidi ya UTOPOLO mwenzao...Kamuulize Infantino au CAS. Si ndiyo amerudisha majibu ya ujinga wenu.
Mnaturudishia tena sisi wakati tupo bize na Cafcc final
Huyo msadieni "Dopamine" asinzie maana povu lake si la Ligi Kuu hii hii waliobeba miaka 30 feki...Acha kuwalisha matango Umesoma au na wewe umesikiliza Radioni zipo page 9 soma vizuri acha kuja na uyangayanga
Hakuna unachoweza kunieleza wewe utopoloNdo nimekwambia yani wewe hizi hoja zipo juu ya uweZo wako
Hata nikuelezee hata asubuhi utatoka kapa
Hili suala nishalitolea ufafanuziManara alivyowaita wenye akili ni wawili tu huko utopolo hakukosea. Cas ni kama mahakama ya rufaa so inasikiliza kesi ambazo zilishatolewa maamuzi. Iwapo Kuna upande wowote haukuridhika maamuzi ndio kesi inaenda Cas. Uongozi mzima vilaza hadi mwanasheria kilaza
Mtu asiyekuwa na akili anahitaji muda mrefu wa kukumbushwa na kufundishwaHili suala nishalitolea ufafanuzi
Mbumbumbu wenzako washaelewa
Au umekuja jamii forums tukutambue kuwa wewe ndo mwanachama halisi wa Rage
MwambaBodi ya ligi imewasikiliza wachambuzi na kuja maazimio ya kuipangia derby tarehe zingine
CAS imeshauri kuwa shauri lisikilizwe na kutolewa maamzi na ngazi ya Rufaa ya TFF, haijasema bodi ya ligi upande tarehe mpya ya derby ambayo Yanga alipinga
Hawa bodi ya ligi wamejaa vilaza
Wanasikiliza ushauri wa Mangungu anachowambia wao ndo wanakimbia kuandika public View attachment 3322224
Iko hivi baada ya uhuni walioufanya bodi ya ligi, Simba na TFF, Yanga walipeleka shitaki TFF lakini TFF walipuuza kulitolea maamuzi wakitaka siku 21 zipite Yanga akose haki ya kupeleka shitaka CASMwamba
Hili suala halikuzungumzwa kule CAS. Hakuna Kikao kilichofanyika kulizungumzia hili. Rufaa ya Yanga imekwenda CAS pre-maturely.
Huwezi kwenda kukata Rufaa Mahakama ya Rugani wakati kesi haijatolewa uamuzi Mahakama Kuu. Sisi watu wa Yanga tukoje?
Uliniquote andiko la jana asubuhi,kama ni muelewa utaamini nilichokiandika kwa kilichotokea jana jioni pale kmcNi uongo kusingizia TFF hatupo makini tunakurupuka na tunatafuta visingizio. TFF HAWANA MSAADA MATCHES ZA KIMATAIFA hawachezi na hatuhitaji msaada wao. Mbona matches za ndani tunashinda na nyingine zina mazonge mazonge sana?
Sisi tuache ushabiki maandazi na kuchukuliwa kama vilaza. Karia mbaya Yanga ikishindwa. Ikishinda wala husikii milio. Ukweli hatuna mwanasheria. Huyu tuliye naye ni kilaza. Hatujawahi shinda kesi. Kila mara tunaonekana vilaza wa kukurupuka.
Tusisingizie TFF ni sisi wenyewe. Mimi nlisema humu kupeleka kesi CAS ni ukilaza na hakuna la maana huko. Na hili lipo wazi tu.
Hawajawahi kuwa na akili hawa mabush lawyers wa mabwepandeUtaanzisha thread mpaka uchoke...hii ni thread ya tatu ndani ya Dakika 10....
Maamuzi watoe CAS, Utopolo mnamlaumu Karia, na TFF ....
pathetic
Wewe unavofikiri viongozi wa yanga hawakulijua hilo?, ukiwaangalia Hersi na Arafat wanaweza kutokuwa na akili kiasi hicho?Mwamba
Hili suala halikuzungumzwa kule CAS. Hakuna Kikao kilichofanyika kulizungumzia hili. Rufaa ya Yanga imekwenda CAS pre-maturely.
Huwezi kwenda kukata Rufaa Mahakama ya Rugani wakati kesi haijatolewa uamuzi Mahakama Kuu. Sisi watu wa Yanga tukoje?
Kwa kuwa wakosa au watuhumiwa nu Bodi ya ligi, wao wenyewe hawa wezi kujihukumu, hivyo chombo kingine cha mchezo ndicho kinachotakiwa kutoa Maamuzi. Hivyo tatizo la Yanga dhidi ya Bodi ya Ligi haliwezi kushughulikiwa na Bodi ya ligi. Je Kwa Tanzania kuna chombo kingine ambacho kipo kufanya kazi hiyo. Ambacho hakina uhusiano na Bodi ya ligi ili kusionekane uwepo wa upendeleo.Bodi ya ligi imewasikiliza wachambuzi na kuja maazimio ya kuipangia derby tarehe zingine
CAS imeshauri kuwa shauri lisikilizwe na kutolewa maamzi na ngazi ya Rufaa ya TFF, haijasema bodi ya ligi upande tarehe mpya ya derby ambayo Yanga alipinga
Hawa bodi ya ligi wamejaa vilaza
Wanasikiliza ushauri wa Mangungu anachowambia wao ndo wanakimbia kuandika public
Pia soma Bodi ya ligi yatoa ratiba, derby ya Kariakoo kupigwa Juni 15, 2025
View attachment 3322224