Hakika mkuu,ila hili alipo kibahati mbaya,mamlaka zenyewe za mpira ziko against Yanga,hata hili Yanga itashindwa,jaribu kukaa na watu wa karibu kwenye uongozi wa Yanga ndio utajua changamoto zipi wanapitia,Yanga isingekua imara uongozi huu wa karia na kidau hata top 4 isingekuwepo,watu wanapambana mkuu,ukianzia hata mechi za kimataifa Yanga hana msaada na tff,wapo tu wenyewe,angalia simba chini ya karia mechi zao za kimataifa,ipo hivi waamuzi uwa wanapokelewa na tff na ndio wao uwaambia mwenyeji ashinde,match za kimataifa za Yanga hapo taifa,Yanga uwa wanakua kama wapo neutral ground kimaamuzi,na vitu vingi tu ufanyiwa,msimu huu tff imeamua kivyovyote Yanga isiwe bingwa