Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Halafu unakaa sana vijiweni. Yaani Waamuzi wanaambiwa na TFF team X ishinde? Hizi stories za vijiweni vile vijiwe vya watu wasioenda shule. Match yetu tunatoka draw hapa tulifunga magoli mangapi yakakataliwa? Ile ya CAF CL. Mangapi? Na mbona AS Vita tuliwachapa hapa hapa? Waamuzi waliambiwa na TFF kuwa Yanga tushinde? Muwe mnatumia akili. Mnafanya wote tuonekane hatuna akili.Hakika mkuu,ila hili alipo kibahati mbaya,mamlaka zenyewe za mpira ziko against Yanga,hata hili Yanga itashindwa,jaribu kukaa na watu wa karibu kwenye uongozi wa Yanga ndio utajua changamoto zipi wanapitia,Yanga isingekua imara uongozi huu wa karia na kidau hata top 4 isingekuwepo,watu wanapambana mkuu,ukianzia hata mechi za kimataifa Yanga hana msaada na tff,wapo tu wenyewe,angalia simba chini ya karia mechi zao za kimataifa,ipo hivi waamuzi uwa wanapokelewa na tff na ndio wao uwaambia mwenyeji ashinde,match za kimataifa za Yanga hapo taifa,Yanga uwa wanakua kama wapo neutral ground kimaamuzi,na vitu vingi tu ufanyiwa,msimu huu tff imeamua kivyovyote Yanga isiwe bingwa
Yes. Hili ndo la maana. Umeongea ukweli ambao madogo wa miaka ya 2000s hawata elewa. Wanasheria wetu vilaza sana.Ni tima sasa ya yanga kutafuta legal team nyingine. Hii iliyopo ime prove failure, more than one time.
Ipo kwenye mamlaka ipi?Kesi Bado mbichi
Wewe ndio kilaza. Hizo siku 21 ni tangu uamuzi wa malalamiko yao unapotolewa na TFF, sio tangu mechi kuchezwa.Yanga ilichokifanya vilaza hawawezi kuelewq, sheria za CAS unatakiwa ukate rufaa siku 21 tokea siku ya tukio, mechi ilihairishwa tarehe 8 machi,
Unafahamu maana yaRUFAA, hiyo rufaa iliyoenda CAS kesi ya awali imesikilizwa wapiYanga ilichokifanya vilaza hawawezi kuelewq,sheria za CAS unatakiwa ukate rufaa siku 21 tokea siku ya tukio,mechi ilihairishwa tarehe 8 machi,Yanga ilipeleka rufaa tff ila ikawa inabuy time zifike siku 21 ndio watoe hukumu yao na hapo muda wa CAS utakua ushaisha,Yanga walipoona janja hiyo wakaona m 3 kitu gani,1 april wakapeleka malalamiko yao cas wakijua cas watawarudisha tff,so now tarehe yoyote Yanga wakipewa hukumu yao na tff kule cas itapokelewa
Halafu ikishapokelewa ....?? tunasimamia pale pale "HUTECHEZI, HATUCHEZI"...Yanga ilichokifanya vilaza hawawezi kuelewq,sheria za CAS unatakiwa ukate rufaa siku 21 tokea siku ya tukio,mechi ilihairishwa tarehe 8 machi,Yanga ilipeleka rufaa tff ila ikawa inabuy time zifike siku 21 ndio watoe hukumu yao na hapo muda wa CAS utakua ushaisha,Yanga walipoona janja hiyo wakaona m 3 kitu gani,1 april wakapeleka malalamiko yao cas wakijua cas watawarudisha tff,so now tarehe yoyote Yanga wakipewa hukumu yao na tff kule cas itapokelewa
Ndo maana nakwambiaga wewe Bado una upeo mdogoMiaka yote Yanga tumekuwa laughing stock. Tuna viongozi na wanasheria vilaza. Kuanzia sakata la B. Morrison,Kagoma n.k tunachezea za mbavu tu kama mbwa koko. Ni aibu sana.
Wewe shabiki maamuma huwezi ukaelewa. Mi huwa najadiliana na wapenda soka wenye uelewa. Mashabiki na makomandoo au yanga/simba damu huwa hawana akili.Ndo maana nakwambiaga wewe Bado una upeo mdogo
Yani inaonekana ni lofa
Hapa jukwaani unajionesha kuwa wewe ni layman
Usimlaumu huyo mjinga.Mlaumu baba yake angevaa condom huu ujinga tungeuepuka.Utaanzisha thread mpaka uchoke...hii ni thread ya tatu ndani ya Dakika 10....
Maamuzi watoe CAS Utopolo mnamlaumu Karia, na TFF ....
pathetic
Sasa hapa wewe unajiona una akiliWewe shabiki maamuma huwezi ukaelewa. Mi huwa najadiliana na wapenda soka wenye uelewa. Mashabiki na makomandoo au yanga/simba damu huwa hawana akili.
Nchi ngumu sana hii! Kila sehem ni vururu vururu hakuna cha sheria wala taratibu ni ubabe kwenda mbele yan! TFF ndiyo baba wa kamati zote na Yanga case zao hawataki kuzisikiliza wala barua zao hawajibu wana mute, sasa hiyo hukum ya rufaa wanaitaka CAS yanga wataipata kuzim!🙌🤣🤣Bodi ya ligi imewasikiliza wachambuzi na kuja maazimio ya kuipangia derby tarehe zingine
CAS imeshauri kuwa shauri lisikilizwe na kutolewa maamzi na ngazi ya Rufaa ya TFF, haijasema bodi ya ligi upande tarehe mpya ya derby ambayo Yanga alipinga
Hawa bodi ya ligi wamejaa vilaza
Wanasikiliza ushauri wa Mangungu anachowambia wao ndo wanakimbia kuandika public View attachment 3322224
CAS wamewapa Amri TFF kuliamua hili suala sio kulikalia kimyaNchi ngumu sana hii! Kila sehem ni vururu vururu hakuna cha sheria wala taratibu ni ubabe kwenda mbele yan! TFF ndiyo baba wa kamati zote na Yanga case zao hawataki kuzisikiliza wala barua zao hawajibu wana mute, sasa hiyo hukum ya rufaa wanaitaka CAS yanga wataipata kuzim!🙌🤣🤣
Naomba nioneshe hio amri🙏🏾CAS wamewapa Amri TFF kuliamua hili suala sio kulikalia kimya
Ndo naomba unitumie hio page pleaseHujui kusoma CAS wameamru shitaki lirudi ngazi za TFF na litolewe uamzi
Sasa Ngazi ya Rufaa ya Bodi si Ndo walimwambia Yanga kuwa Hayuko sahihi Sasa unafikiri Wakirudi jibu litabadilika kama hamtaki kucheza Msije tuchukue Point zetu tatuBodi ya ligi imewasikiliza wachambuzi na kuja maazimio ya kuipangia derby tarehe zingine
CAS imeshauri kuwa shauri lisikilizwe na kutolewa maamzi na ngazi ya Rufaa ya TFF, haijasema bodi ya ligi upande tarehe mpya ya derby ambayo Yanga alipinga
Hawa bodi ya ligi wamejaa vilaza
Wanasikiliza ushauri wa Mangungu anachowambia wao ndo wanakimbia kuandika public View attachment 3322224
Bodi ya ligi imewasikiliza wachambuzi na kuja maazimio ya kuipangia derby tarehe zingine
CAS imeshauri kuwa shauri lisikilizwe na kutolewa maamzi na ngazi ya Rufaa ya TFF, haijasema bodi ya ligi upande tarehe mpya ya derby ambayo Yanga alipinga
Hawa bodi ya ligi wamejaa vilaza
Wanasikiliza ushauri wa Mangungu anachowambia wao ndo wanakimbia kuandika public View attachment 3322224