Bodi ya ligi kupanga ratiba mpya ya derby ni kudharau maamzi ya CAS

Kamuulize Infantino au CAS. Si ndiyo amerudisha majibu ya ujinga wenu.

Mnaturudishia tena sisi wakati tupo bize na Cafcc final
Ndo nimekwambia yani wewe hizi hoja zipo juu ya uweZo wako
Hata nikuelezee hata asubuhi utatoka kapa
 
Acha kuwalisha matango Umesoma au na wewe umesikiliza Radioni zipo page 9 soma vizuri acha kuja na uyangayanga
 
Kamuulize Infantino au CAS. Si ndiyo amerudisha majibu ya ujinga wenu.

Mnaturudishia tena sisi wakati tupo bize na Cafcc final
UTOPOLO FC kesi waliowahi kushinda ni moja tu, a "Frivolous Case" tena ilikuwa dhidi ya UTOPOLO mwenzao...
 
Reactions: Tui
Acha kuwalisha matango Umesoma au na wewe umesikiliza Radioni zipo page 9 soma vizuri acha kuja na uyangayanga
Huyo msadieni "Dopamine" asinzie maana povu lake si la Ligi Kuu hii hii waliobeba miaka 30 feki...
 
Ndo nimekwambia yani wewe hizi hoja zipo juu ya uweZo wako
Hata nikuelezee hata asubuhi utatoka kapa
Hakuna unachoweza kunieleza wewe utopolo

Kesi yenyewe niliwaambia hata kabla hamjaenda CAS mnaenda kuabika.

Ona sasa na wewe bado unajitia aibu. Pata akili basi hata robo.
 
Manara alivyowaita wenye akili ni wawili tu huko utopolo hakukosea. Cas ni kama mahakama ya rufaa so inasikiliza kesi ambazo zilishatolewa maamuzi. Iwapo Kuna upande wowote haukuridhika maamuzi ndio kesi inaenda Cas. Uongozi mzima vilaza hadi mwanasheria kilaza
 
Hili suala nishalitolea ufafanuzi
Mbumbumbu wenzako washaelewa
Au umekuja jamii forums tukutambue kuwa wewe ndo mwanachama halisi wa Rage
 
Hili suala nishalitolea ufafanuzi
Mbumbumbu wenzako washaelewa
Au umekuja jamii forums tukutambue kuwa wewe ndo mwanachama halisi wa Rage
Mtu asiyekuwa na akili anahitaji muda mrefu wa kukumbushwa na kufundishwa
 
Mwamba
Hili suala halikuzungumzwa kule CAS. Hakuna Kikao kilichofanyika kulizungumzia hili. Rufaa ya Yanga imekwenda CAS pre-maturely.

Huwezi kwenda kukata Rufaa Mahakama ya Rugani wakati kesi haijatolewa uamuzi Mahakama Kuu. Sisi watu wa Yanga tukoje?
 
Iko hivi baada ya uhuni walioufanya bodi ya ligi, Simba na TFF, Yanga walipeleka shitaki TFF lakini TFF walipuuza kulitolea maamuzi wakitaka siku 21 zipite Yanga akose haki ya kupeleka shitaka CAS

Siku ya 19 baada ya shitaka kukaa TFF bila kutolewa uamuzi Yanga walipeleka kesi CAS wakitegemea kuwa Watarudishwa TFF
Na kweli CAS wameamuru TFF isikilize shitaka ilitolee maamzi, hapa TFF wakitoa hukumu ya kesi kishabiki Yanga anapanda juu CAS na kesi inasikilizwa upya
Akili za mbumbumbu hamwezi kuelewa
 
Uliniquote andiko la jana asubuhi,kama ni muelewa utaamini nilichokiandika kwa kilichotokea jana jioni pale kmc
 
Wewe unavofikiri viongozi wa yanga hawakulijua hilo?, ukiwaangalia Hersi na Arafat wanaweza kutokuwa na akili kiasi hicho?
 
Kama dereva kesharuka ngalangala lazima litumbukie mtoni.. Kwa kifupi walimwengu wanasema hizi ndo zile "The Matter of Utter Nonsense v. Common Sense".
 
Kwa kuwa wakosa au watuhumiwa nu Bodi ya ligi, wao wenyewe hawa wezi kujihukumu, hivyo chombo kingine cha mchezo ndicho kinachotakiwa kutoa Maamuzi. Hivyo tatizo la Yanga dhidi ya Bodi ya Ligi haliwezi kushughulikiwa na Bodi ya ligi. Je Kwa Tanzania kuna chombo kingine ambacho kipo kufanya kazi hiyo. Ambacho hakina uhusiano na Bodi ya ligi ili kusionekane uwepo wa upendeleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…