Bodi ya ligi mmeingia kwenye mtego mbaya sana,,kitendo cha kuahirisha mechi bila sababu za msingi na kikanuni kitawagharimu!

Yaan mechi imetangazwa miezi miwili mmekaa tu hamfanyi zoezi afu mnalia lia kwa kudhan siku moja itawasaidia?[emoji1787][emoji1787]
Ujinga wa aina yako ndio mtaji mkubwa wa chama tawala nchini. Uwezo Mdogo sana kiakili na kiufahamu wa kujenga hoja, pia uelewa finyu kama sio sifuri kabisa wa Sheria za mpira wa miguu..una tofaut Gani na nyani? Hata nyani ana akili na ni mjanja.
 
Naona kabisa bodi ya ligi imetengeneza tatizo juu ya tatizo,,bodi ya ligi ilitakiwa isimamie Sheria na kanuni walizoziweka zinazoendesha ligi na sio busara!
Yule Almasi na Mngeto waachie viti vile pumbavu wanapindisha kanuni na Sheria ili iweje?
 
Kumbuka hata siku ileya birthday hikikitu kilitokea kubadirishiwa muda lkn yanga akagoma leo sikukuu ya ke huko arusha tena yanatokea tuliosoma quba tushajua ni rungu kutoka juu ni mamlaka lkn wakati wanapanga hawakujua?
 
Naona kabisa bodi ya ligi imetengeneza tatizo juu ya tatizo,,bodi ya ligi ilitakiwa isimamie Sheria na kanuni walizoziweka zinazoendesha ligi na sio busara!

Kanuni ziko wazi kwa timu inayogomea mechi na kanuni ziko wazi kwa timu iliyozuiliwa kufanya mazoezi aikuwepo haja yoyote ya kutumia ata dk 10 kuamua hili jambo kwakuwa kanuni zinajieleza!
Bodi imeahirisha mechi kuwaridhisha Simba sasa iyo mechi watayopanga Simba atacheza na nani? Yanga washatoa statement yao Iko very clear awatocheza mchezo mwingine zaidi ya huu wa Leo kwakuwa akuna sababu za msingi zilizopelekea mechi kuahirishwa!

Sababu zinazoweza kufanya mechi iahirishwe zinajulikana ambazo zinakuwa nje ya uwezo wa kibinadamu na sio timu kugomea mechi kwasababu imezuiwa kufanya mazoezi!

Yanga na wao awatopeleka timu uwanjani mpaka bodi iwaambie ni kanuni ipi waliitumia kuahirisha mchezo wa kwanza usifanyike!
Tatizo liko hapo na bodi aitokuwa na maelezo yanayoeleweka!
Bodi ya ligi walitakiwa kuchukua hatua bila kucheka na kima ili kukomesha Aya mambo lakini wamegeuka kusigina kanuni zao walizotunga wenyewe!

Vipi ingekuwa ni kengold au Namungo ndio wamegoma kwa stahili hii bodi ya ligi wangeahirisha mechi?
Sasa wametengeneza tatizo jingine na yanga awatocheza mechi nyingine ili tuone ni hatua gani watachukua kwakuwa washayakanyaga!
Yanga walikimbia mechi kisa muda ulibadilishwa ndio maana manara alisema yanga wote hawana akili leo mnaanzisha uzi mfululizo kwisha habari muache ushamba soka halichezwi na wahuni tulio hudhuria viwanja vikubwa vya soka nje nchi soka ni mtoko wacheni upuuzi na ushamba kuweka mbele watu wasio na elimu kumewagharimu!
 
Ujinga wa aina yako ndio mtaji mkubwa wa chama tawala nchini. Uwezo Mdogo sana kiakili na kiufahamu wa kujenga hoja, pia uelewa finyu kama sio sifuri kabisa wa Sheria za mpira wa miguu..una tofaut Gani na nyani? Hata nyani ana akili na ni mjanja.
Sawa mi mjinga.Ila nitakutawala milele wewe na ukoo wako wote nyie wenye akili.Mtalipa kodi nitakavyo.
 
Naona kabisa bodi ya ligi imetengeneza tatizo juu ya tatizo,,bodi ya ligi ilitakiwa isimamie Sheria na kanuni walizoziweka zinazoendesha ligi na sio busara!

Kanuni ziko wazi kwa timu inayogomea mechi na kanuni ziko wazi kwa timu iliyozuiliwa kufanya mazoezi aikuwepo haja yoyote ya kutumia ata dk 10 kuamua hili jambo kwakuwa kanuni zinajieleza!
Bodi imeahirisha mechi kuwaridhisha Simba sasa iyo mechi watayopanga Simba atacheza na nani? Yanga washatoa statement yao Iko very clear awatocheza mchezo mwingine zaidi ya huu wa Leo kwakuwa akuna sababu za msingi zilizopelekea mechi kuahirishwa!

Sababu zinazoweza kufanya mechi iahirishwe zinajulikana ambazo zinakuwa nje ya uwezo wa kibinadamu na sio timu kugomea mechi kwasababu imezuiwa kufanya mazoezi!

Yanga na wao awatopeleka timu uwanjani mpaka bodi iwaambie ni kanuni ipi waliitumia kuahirisha mchezo wa kwanza usifanyike!
Tatizo liko hapo na bodi aitokuwa na maelezo yanayoeleweka!
Bodi ya ligi walitakiwa kuchukua hatua bila kucheka na kima ili kukomesha Aya mambo lakini wamegeuka kusigina kanuni zao walizotunga wenyewe!

Vipi ingekuwa ni kengold au Namungo ndio wamegoma kwa stahili hii bodi ya ligi wangeahirisha mechi?
Sasa wametengeneza tatizo jingine na yanga awatocheza mechi nyingine ili tuone ni hatua gani watachukua kwakuwa washayakanyaga!
Kwakifupi TFF ni kama sanamu, (figure heads), Iko chini ya wanasiasa

Hata bodi ya Ligi ikivunjwa na TFF. Tanzania tuna mfumo mbovu wa uongozi, tunaishi kwenye jamii ya bora liende yaani jamii ya kanyaga twende jamii ambayo unaweza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka wewe

Kila kitu Tanzania ni siasa tu, nyie mnaumiza vichwa kushauri, kwa kuchangia mawazo kumbe taasisi muliyonayo watu wako pale kama sanamu, (figure heads) similarly to remote controlled

Hitimisho wanasiasa wanafanya mambo ya hovyo jamii imenyamaza hii jamii inayo nyamaza wanasiasa wanajudai kwamba watanzania ni waoga itakuja kuwatokea puani

Silence surrenders public responsibilities
 
Yanga walikimbia mechi kisa muda ulibadilishwa ndio maana manara alisema yanga wote hawana akili leo mnaanzisha uzi mfululizo kwisha habari muache ushamba soka halichezwi na wahuni tulio hudhuria viwanja vikubwa vya soka nje nchi soka ni mtoko wacheni upuuzi na ushamba kuweka mbele watu wasio na elimu kumewagharimu!
Yanga kanuni ilikuwa upande wao usiwe mbumbute uwe unafatilia mambo,,kanuni ya kusogeza muda mbele ilitakiwa itoke ndani ya masaa 24 tff walifanya ivyo? Unatoa kashfa wakati wewe mwenyewe ata ujui jambo lenyewe lilikuwaje unakurupuka tu kama mkojo wa asubuhi!
 
Umeukalia na kuabudu uchawi nendeni fifa mechi itachezwa msipocheza ushindi anapewa simba..mlijazana uwanjani ikiwa mechi imeahirishwa mlivyo mazezeta viongozi waliogopa kuwaeleza ukweli kuwa wamepokea maelezo toka bodi ya ligi kuwa mechi imeahirishwa unakuja nyenyenye kanuni nyenyenye kaitumieni huko kaunda ngulula nyie ndio maana manara alisema hamna akili!
 
Tutacheza chini ya kanuni ipi? Mechi ya kwanza imeahirishwa kwa kanuni ipi? Mbumbute wa Rage mnajizima sana data ebu tuwekee kanuni iliyopelekea mechi kuahirishwa na sio porojo za vijiweni,,hapa kinachofanya kazi ni kanuni zilizowekwa na bodi na sio mahaba yako wewe na mbumbumbu wenzako,,tueleze iyo kanuni
 
Back
Top Bottom