Bodi ya ligi mmeingia kwenye mtego mbaya sana,,kitendo cha kuahirisha mechi bila sababu za msingi na kikanuni kitawagharimu!

Tutacheza chini ya kanuni ipi? Mechi ya kwanza imeahirishwa kwa kanuni ipi? Mbumbute wa Rage mnajizima sana data ebu tuwekee kanuni iliyopelekea mechi kuahirishwa na sio porojo za vijiweni,,hapa kinachofanya kazi ni kanuni zilizowekwa na bodi na sio mahaba yako wewe na mbumbumbu wenzako,,tueleze iyo kanuni
kanuni ya bodi ya ligi ndio iliyotumika kuahirisha mechi!
 
Ndo maana nasema Rage alistahili kujengewa mnara mashabiki kama nyie bendera fata upepo mpo wengi humu,,Sasa kama unafata tu unachoambiwa na kusikia bila kizisoma ata kanuni zenyewe na kujiridhisha utakuwa na nguvu Gani ya kusimama na bodi ya ligi?
 
Nakwambia hivi manara anasitahili mnara subiri uone kama mechi haitochezwa wewe fuata hersi anachokuambia!
 
Back
Top Bottom