Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 23,040
- 33,028
Ni taarifa kwamba kutoka kwa mdau mmoja wa soka ambaye pia Mwanachama wa klab ya Yangasc kutokea mkoani Iringa ambaye ameitaka bodi ya ligi kuu ( TPLB) ndani ya siku 7 kuanzia leo kutekeleza mambo kadhaa ama sivyo ataifikisha bodi hiyo Mahakamani,
Madai hayo yaliyotokana na Uamuzi usio halali wa Bodi ya ligi wa kuaihirisha Mechi namba 184 ya NBCPL tarehe 8 Machi 2025 ikiwa ni pamoja na kurejeshewa gharama alizoingia kwenda Dar kushuhudia hiyo mechi pia na Yanga kupatiwa pointi 3 na magoli matatu,
Taarifa kutoka chanzo cha kuaminika mkoani Iringa kinasema Demand Notice hii ilishatumwa ofisi za TFF.