Yaaah wako sahihi.... makolo na bodi ya ligi walikimbia mchezoHii timu toka ifurushwe nje ya CAFCL haijawahi kukaa sawa, si tu kwa viongozi wake hata kwa wanachama na mashabiki wake. Kuna sehemu nati zimelegea. Sasa nini hiki?
Unaomba urudishiwe gharama zako wakati pesa za viingilio umeshaambiwa ziko sehemu salama na zitatumika siku game itakapopangwa tena. Gharama gani zingine wewe mla mihogo unataka urudishiwe?
Kuna sehemu hili suala la kuahirishwa kwa mchezo wa derby halijakaa sawa hasa kwa TFF na Bodi ya Ligi. Inaonekana walilitolea uamuzi kwa mazoea bila kufanya analysis ya kueleweka. Kinachonishangaza mimi, kama mchezo uliahirishwa kwa kufuata kanuni ni kwa nini Bodi ya Ligi wanashindwa kupanga tarehe mpya ya kuchezwa kwa mchezo husika? Na kwanini wanasema wanatumia busara kutoa uamuzi badala ya kanuni? Kama kweli waliamua kuahirisha mchezo kwa kufuata kanuni ilitakiwa wapange tarehe mpya ya mchezo ili ambaye hatatokea kwenye mchezo huo aadhibiwe kwa kufuata Kanuni za Bodi ya Ligi.Sawa nendeni mkadai. Hata pwenti 3 za mezani ni haki yenu, pia nendeni mkadai. Mtakuwa timu ya kwanza katika historia kupewa ushindi wa mechi ya soka na hakimu mkazi. Tulidhani mnaenda CAS!!
Bora tupigwe ban kuliko mambo ya hovyo yanayofanywa na Viongozi wa Mpira nchini.Inaitwa Haraka Sana
MPira Unaelekea Mwisho Hapa Bongo
Mimi sio mshabiki wa mpira ila hadi mashabiki wa hiyo timu kuna namna hata vichwani hawana utulivu.Utopolo kwa drama, harakati zao ni kama za pimbi
Kupangwa kwa tarehe ya mechi tena ya derby kunazingatia mengi, kuanzia wadhamini, warusha matangazo, hadi utayari wa vyombo vya ulinzi na usalama. Mechi ngapi zinaahirishwa halafu inachukua wiki kadhaa kabla ya tarehe mpya kutajwa, mbona ni jambo la kawaida. Baada ya mechi ya Simba vs Dodoma Jiji kuahirishwa, ilichukua muda gani kabla tarehe mpya haijatajwa?Kuna sehemu hili suala la kuahirishwa kwa mchezo wa derby halijakaa sawa hasa kwa TFF na Bodi ya Ligi. Inaonekana walilitolea uamuzi kwa mazoea bila kufanya analysis ya kueleweka. Kinachonishangaza mimi, kama mchezo uliahirishwa kwa kufuata kanuni ni kwa nini Bodi ya Ligi wanashindwa kupanga tarehe mpya ya kuchezwa kwa mchezo husika? Na kwanini wanasema wanatumia busara kutoa uamuzi badala ya kanuni? Kama kweli waliamua kuahirisha mchezo kwa kufuata kanuni ilitakiwa wapange tarehe mpya ya mchezo ili ambaye hatatokea kwenye mchezo huo aadhibiwe kwa kufuata Kanuni za Bodi ya Ligi.
Mkuu hapo katika paragraph ya mwisho sijakuelewa vizuri. Hivi ingekuwa ni Yanga vs Mashujaa wangesema uamuzi wa kucheza mechi ya marudio tutumie busara? Halafu hadi kufikishana Serekalini. Nikikumbuka vizuri Mwenyekiti wa Bodi ya LIgi alisema likiwashindwa hili suala la Mechi ya Yanga vs Simba watalipeleka Serekalini.Kupangwa kwa tarehe ya mechi tena ya derby kunazingatia mengi, kuanzia wadhamini, warusha matangazo, hadi utayari wa vyombo vya ulinzi na usalama. Mechi ngapi zinaahirishwa halafu inachukua wiki kadhaa kabla ya tarehe mpya kutajwa, mbona ni jambo la kawaida. Baada ya mechi ya Simba vs Dodoma Jiji kuahirishwa, ilichukua muda gani kabla tarehe mpya haijatajwa?
Kumbuka derby pia ni source kuu ya mapato kwa wadhamini kama Azam, kwa hiyo tarehe inabidi izingatia pia ratiba zao ili waweze kufaidika zaidi.
Watu wanadharau busara kwa sababu tu ya mihemko ila hauwezi kuongoza bila busara hata kama sheria na kanuni zipo. Hii kuwakutanisha pande zote siyo kwamba kanuni na sheria zimewekwa kando ila ni kutaka kulimaliza hili suala ili pande zote zisonge mbele mambo mengine yaendelee. Tuna mengi ya maana zaidi ya kuyatilia maanani yaliyo mbele yetu.
Ni kwa sababu kuna upande umeamua kuipa presha Bodi ya Ligi ili ifanye maamuzi wanayotaka wao tu na ili kuhakikisha suala linaisha kwa amani na maslahi ya taifa yanazingatiwa, hapo ndipo Serikali inapoingia. Hiyo ndiyo busara tunayoongelea hapa!Mkuu hapo katika paragraph ya mwisho sijakuelewa vizuri. Hivi ingekuwa ni Yanga vs Mashujaa wangesema uamuzi wa kucheza mechi ya marudio tutumie busara? Halafu hadi kufikishana Serekalini. Nikikumbuka vizuri Mwenyekiti wa Bodi ya LIgi alisema likiwashindwa hili suala la Mechi ya Yanga vs Simba watalipeleka Serekalini.
Nakushukuru Mwerevu. Naomba tuishie hapo.Ni kwa sababu kuna upande umeamua kuipa presha Bodi ya Ligi ili ifanye maamuzi wanayotaka wao tu na ili kuhakikisha suala linaisha kwa amani na maslahi ya taifa yanazingatiwa, hapo ndipo Serikali inapoingia. Hiyo ndiyo busara tunayoongelea hapa!
Tatizo mnajazana tu ujinga, ila hao kina Hersi sijui Arafat wakipigiwa simu moja tu wakaambiwa waachane na hili suala, mbona linaisha mara moja. Kama wameamua kutumia busara ya sijui vikao vya usuluhishi, inatumika ili kila mtu abaki na heshma yake na MASLAHI YA TAIFA YAZINGATIWE.
Nachoona nyuma mwiko wanatamani sana ban.ili tufungiwe tukose woteAtajichomeka mwenyewe Hilo betri na mwiko.
Sahihi mkuuKuna sehemu hili suala la kuahirishwa kwa mchezo wa derby halijakaa sawa hasa kwa TFF na Bodi ya Ligi. Inaonekana walilitolea uamuzi kwa mazoea bila kufanya analysis ya kueleweka. Kinachonishangaza mimi, kama mchezo uliahirishwa kwa kufuata kanuni ni kwa nini Bodi ya Ligi wanashindwa kupanga tarehe mpya ya kuchezwa kwa mchezo husika? Na kwanini wanasema wanatumia busara kutoa uamuzi badala ya kanuni? Kama kweli waliamua kuahirisha mchezo kwa kufuata kanuni ilitakiwa wapange tarehe mpya ya mchezo ili ambaye hatatokea kwenye mchezo huo aadhibiwe kwa kufuata Kanuni za Bodi ya Ligi.
Rubbish....Ni kwa sababu kuna upande umeamua kuipa presha Bodi ya Ligi ili ifanye maamuzi wanayotaka wao tu na ili kuhakikisha suala linaisha kwa amani na maslahi ya taifa yanazingatiwa, hapo ndipo Serikali inapoingia. Hiyo ndiyo busara tunayoongelea hapa!
Tatizo mnajazana tu ujinga, ila hao kina Hersi sijui Arafat wakipigiwa simu moja tu wakaambiwa waachane na hili suala, mbona linaisha mara moja. Kama wameamua kutumia busara ya sijui vikao vya usuluhishi, inatumika ili kila mtu abaki na heshma yake na MASLAHI YA TAIFA YAZINGATIWE.