DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Ndugu mbumbumbu, umeshaambiwa pesa ya kiingilio imerudi kwenye kadi unaenda kuhoji kama taasisi inayoendesha mfumo wa kadi kama inatambulika? Ulipotumia kununua tiketi yako haukujua kama inatambulika? Yaani unaenda mahakamani kudai shilingi 5,000? Nyie mmechanganyikiwa.Ndugu mbumbumbu inatakiwa walioshtakiwa wakaileze mahakama wapi wamepeleka fedha za vi ingilio na kama iyo taasisi iliyonhifadhi fedha izo inatambulika na benk kuu ya Tanzania kwa kukaa na fedha za umma.
Ndugu mbumbumbu mahakamani unatakiwa ujipange, kule uongei porojo za wakina kisugu.
Eti pwenti tatu unaenda kuzidai kwa hakimu mkazi?