FIFA ban itakujaIli mradi Tff imesajiliwa na Baraza la Michezo inaweza kupelekwa mahakamani bila shida yoyote.
Ni kama inavyoweza kupelekwa Mahakamani Yanga au Simba na lazima taasisi usika iliyo shitakiwa itume mwakilishi na shauri lita sikilizwa .
Ni vilabu pekee vya mpira Haviwezi kuipeleka Tff kwenye mahakama za kiraia au Tff kuvipeleka vilabu wanachama wa Fifa na Caf Mahakamani.
Hakuna BAN mahakama itaamuru bodi ifuate kanuni zakeFIFA ban itakuja
Fifa inafungia wanachama wake tu, fifa aina uwezo wa kumfungia mtu binafsi.FIFA ban itakuja
Mwananchi achomoa betri [emoji23][emoji23][emoji23]
Kama mbwani iwe mbwai[emoji23][emoji23]
Waziri wa michezo akimfuta kazi raisi wa TFF kinyume na kanuniUnahisi Kwann Kenya ilifungiwa na FIFA
Ila hawa watu wamekosa kazi jamani...
Acha kuhisiUnahisi Kwann Kenya ilifungiwa na FIFA
Ndugu mbumbumbu inatakiwa walioshtakiwa wakaileze mahakama wapi wamepeleka fedha za vi ingilio na kama iyo taasisi iliyonhifadhi fedha izo inatambulika na benk kuu ya Tanzania kwa kukaa na fedha za umma.Hii timu toka ifurushwe nje ya CAFCL haijawahi kukaa sawa, si tu kwa viongozi wake hata kwa wanachama na mashabiki wake. Kuna sehemu nati zimelegea. Sasa nini hiki?
Unaomba urudishiwe gharama zako wakati pesa za viingilio umeshaambiwa ziko sehemu salama na zitatumika siku game itakapopangwa tena. Gharama gani zingine wewe mla mihogo unataka urudishiwe?
Huyo ni mhuni tu si mwanachama wa nyuma mwiko unless viongozi wa nyuma mwiko waje wathibitishe huyo ni mwanachama wao halali.Ni taarifa kwamba kutoka kwa mdau mmoja wa soka ambaye pia Mwanachama wa klab ya Yangasc kutokea mkoani Iringa ambaye ameitaka bodi ya ligi kuu ( TPLB) ndani ya siku 7 kuanzia leo kutekeleza mambo kadhaa ama sivyo ataifikisha bodi hiyo Mahakamani,
Madai hayo yaliyotokana na Uamuzi usio halali wa Bodi ya ligi wa kuaihirisha Mechi namba 184 ya NBCPL tarehe 8 Machi 2025 ikiwa ni pamoja na kurejeshewa gharama alizoingia kwenda Dar kushuhudia hiyo mechi pia na Yanga kupatiwa pointi 3 na magoli matatu,
Taarifa kutoka chanzo cha kuaminika mkoani Iringa kinasema Demand Notice hii ilishatumwa ofisi za TFF.
Kwaresma imekwisha?Ila hawa watu wamekosa kazi jamani...