DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Ndugu mbumbumbu, umeshaambiwa pesa ya kiingilio imerudi kwenye kadi unaenda kuhoji kama taasisi inayoendesha mfumo wa kadi kama inatambulika? Ulipotumia kununua tiketi yako haukujua kama inatambulika? Yaani unaenda mahakamani kudai shilingi 5,000? Nyie mmechanganyikiwa.Ndugu mbumbumbu inatakiwa walioshtakiwa wakaileze mahakama wapi wamepeleka fedha za vi ingilio na kama iyo taasisi iliyonhifadhi fedha izo inatambulika na benk kuu ya Tanzania kwa kukaa na fedha za umma.
Ndugu mbumbumbu mahakamani unatakiwa ujipange, kule uongei porojo za wakina kisugu.
5000 ni haki Yao laZima idaiweNdugu mbumbumbu, umeshaambiwa pesa ya kiingilio imerudi kwenye kadi unaenda kuhoji kama taasisi inayoendesha mfumo wa kadi kama inatambulika? Ulipotumia kununua tiketi yako haukujua kama inatambulika? Yaani unaenda mahakamani kudai shilingi 5,000? Nyie mmechanganyikiwa.
Eti pwenti tatu unaenda kuzidai kwa hakimu mkazi?
Sawa nendeni mkadai. Hata pwenti 3 za mezani ni haki yenu, pia nendeni mkadai. Mtakuwa timu ya kwanza katika historia kupewa ushindi wa mechi ya soka na hakimu mkazi. Tulidhani mnaenda CAS!!5000 ni haki Yao laZima idaiwe
Kwa mtu aliye Iringa akaja Dar kuchek game unahisi kapata hasara ya kiingilio tu?Hii timu toka ifurushwe nje ya CAFCL haijawahi kukaa sawa, si tu kwa viongozi wake hata kwa wanachama na mashabiki wake. Kuna sehemu nati zimelegea. Sasa nini hiki?
Unaomba urudishiwe gharama zako wakati pesa za viingilio umeshaambiwa ziko sehemu salama na zitatumika siku game itakapopangwa tena. Gharama gani zingine wewe mla mihogo unataka urudishiwe?
Mechi inarudiwa tunawafungaSawa nendeni mkadai. Hata pwenti 3 za mezani ni haki yenu, pia nendeni mkadai. Mtakuwa timu ya kwanza katika historia kupewa ushindi wa mechi ya soka na hakimu mkazi. Tulidhani mnaenda CAS!!
Anipe namba yake nimrushie hiyo nauli yake aache kusumbua watu. Watu wametoka Marekani wametulia, yeye na pesa zake za mavuno ya viazi anasumbua mahakama.Kwa mtu aliye Iringa akaja Dar kuchek game unahisi kapata hasara ya kiingilio tu?
Mabaunsa gani tena, si tulikubaliana funguo alikuwa nazo meneja wa uwanja ambaye hakuwa na taarifa ya ujio wa Simba? Mtakiri yote mliyofanya, ni suala la muda tu.Mechi inarudiwa tunawafunga
Nyie mabasi 4 yamejaza wanaume mnafika uwanjani mnaogopa mabaunsa 4
Ukimkuta baunsa na mkeo unakimbia nyumba?
5imba ni wanaume toleo la ngapi?
Mahakama ndo mhimili wa kutoa hakiAnipe namba yake nimrushie hiyo nauli yake aache kusumbua watu. Watu wametoka Marekani wametulia, yeye na pesa zake za mavuno ya viazi anasumbua mahakama.
Kwaiyo pale uwanjani si mlisema mliogopa mabaunsaMabaunsa gani tena, si tulikubaliana funguo alikuwa nazo meneja wa uwanja ambaye hakuwa na taarifa ya ujio wa Simba? Mtakiri yote mliyofanya, ni suala la muda tu.
Mabasi kila siku yanaongezeka, eti eeh?
Ndiyo maana mnaitwa mbumbumbu. Hauwezi kuwa na akili timamu ukaenda kufungua kesi ya MADAI halafu unamwambia Hakimu Mkazi aipe timu yako pwenti tatu. Hizi aibu ndogo ndogo mbona mnajitakia ndugu zangu?Mahakama ndo mhimili wa kutoa haki
Hata kama unadai wembe, hakimu atakaa asikilize kesi na atoe hukumu.
Mbona mnalazimisha watu tumwamwini Rage aliyewaita mbumbumbu
Kwaiyo watu waliotoka Marekani wawadhurumu wahangaikaji wa Iringa
Watu 4 ndiyo wapi hao, mbona unaistich chama lako? Itakuwa Mangungu amekuhonga wewe.Kwaiyo pale uwanjani si mlisema mliogopa mabaunsa
Sasa wanaume wote wale muogope watu 4 kweli
Mlikimbizwa na nini pale Uwanjani?Watu 4 ndiyo wapi hao, mbona unaistich chama lako? Itakuwa Mangungu amekuhonga wewe.
Mahakama haibagui kesiNdiyo maana mnaitwa mbumbumbu. Hauwezi kuwa na akili timamu ukaenda kufungua kesi ya MADAI halafu unamwambia Hakimu Mkazi aipe timu yako pwenti tatu. Hizi aibu ndogo ndogo mbona mnajitakia ndugu zangu?
Mnatia huruma sana. Najua tatizo lenu lilipo ila nitawaacha muendelee kuhangaika nalo.Mahakama haibagui kesi
Itasikiliza na itaamuru bodi ya ligi kadri haki itakavokuwa na mahakama ikiamuru TFF watoe alama 3 TFF itatoa kulingana na kanuni zao
Inaitwa Haraka SanaFIFA ban itakuja