Ila wanaweza kuamrishwa cha kufanya na Simba!Yanga asipoleta timu ajiandae kucheza na Yombo fc daraja la 6 huko na anatema pointi 3 na kubwa kuliko yote mnyama anatangazwa bingwa.
Yaani safari hii Yanga wanaumia kila sehemu maana bodi haiwezi kuamrishwa cha kufanya na Yanga.
Mnampa task nani nyie 😂😂😂 mnaendekezwa kindezi sanaHawa jamaa wajinga sana, kama wao derby ipo waliwaita Yanga kufanya nini?
Na maelezo yake ni kwamba wameyapokea matakwa ya Yanga sasa inakuaje tena unatangaza derby ipo wakati una task umepewa?
Hawa wanataka Simba wajae kwenye mfumo, Simba Iko kwenye maandalizi makali ya "kuua" mtu hio tarehe 15,Kimsingi derby iko pale pale!
Yaani unakunywa zako supu ukishavimbiwa unatoka unadai tu viongozi wa mpira wajiuzulu. Unadhani ligi ni ya babako hii?
Wameyapokea officially ,huo ni mtego ili wasipocheza derby na wakakatwa points then yanga ikija kufungua kesi bodi wawe na hints wanajipangajeHawa jamaa wajinga sana, kama wao derby ipo waliwaita Yanga kufanya nini?
Na maelezo yake ni kwamba wameyapokea matakwa ya Yanga sasa inakuaje tena unatangaza derby ipo wakati una task umepewa?
Afisa mtendaji mkuu wa bodi ya ligi kuu nchini Tanzania Almas Kasongo amesema kuwa kikao cha leo kilikuwa ni kikao cha kupokea matakwa ya Yanga Sc ambao wamekuja na matakwa manne ikiwa ni kujiuzuru kwa Mwenyeketi wa bodi ya ligi, kujihuzuru kwa Afisa Mtendaji mkuu wa TPBL, Katibu mkuu wa TFF na kuona bodi ya ligi kuu inakuwa chombo huru.
Hivyo basi matakwa hayo yamepokewa na yatawasilishwa kwa shirikisho la soka nchini "TFF" ila kwa mamlaka ya bodi ya ligi mpaka sasa ni Mchezo upo pale pale juni 15.
==========================
Wakati huohuo Klabu ya Yanga nayo imetoa taarifa kuwa msimamo wao upo palepale kuwa hawataingiza timu uwanjani.
TAMKO LA YANGA
Uongozi wa Young Africans Sports Club, unapenda kuutarifu umma kuwa, tarehe 7 Juni, 2025 tulipokea barua kutoka Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kwa ajili ya kuhudhuria kikao maalum cha kujadili masuala yahusuyo mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC, YANGA dhidi ya Simba.
Uongozi wa Klabu yetu ulitii wito huo na kushiriki kwenye kikao kilichofanyika leo, Jumatatu Juni 9, 2025 kwenye ofisi za Bodi ya Ligi Tanzania zilizopo jengo la NSSF Mafao House, Dar Es Salaam, kuanzia saa 4:00 asubuhi.
Baada ya majadiliano ya saa kadhaa, Viongozi wa Klabu waliwasilisha msimamo wa Klabu yetu kuwa hatutashiriki mchezo namba 184 uliopangwa kufanyika tarehe 15 Juni 2025 mpaka pale matakwa yetu tuliyoyawasilisha kwa maandishi kwao yatakapotimizwa.
Tunawatakia kila la heri Bodi ya Ligi na Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini katika kushughulikia matakwa yetu yenye mustakabali mkubwa kwenye maendeleo ya mpira wa miguu Tanzania.
Imetolewa na
Kamati ya Utendaji
Young Africans Sports Club
LABDA LICHEZE TAK.. LA KUSHOTO NA KULIA...ILA SIO YANGA.Afisa mtendaji mkuu wa bodi ya ligi kuu nchini Tanzania Almas Kasongo amesema kuwa kikao cha leo kilikuwa ni kikao cha kupokea matakwa ya Yanga Sc ambao wamekuja na matakwa manne ikiwa ni kujiuzuru kwa Mwenyeketi wa bodi ya ligi, kujihuzuru kwa Afisa Mtendaji mkuu wa TPBL, Katibu mkuu wa TFF na kuona bodi ya ligi kuu inakuwa chombo huru.
Hivyo basi matakwa hayo yamepokewa na yatawasilishwa kwa shirikisho la soka nchini "TFF" ila kwa mamlaka ya bodi ya ligi mpaka sasa ni Mchezo upo pale pale juni 15.
==========================
Wakati huohuo Klabu ya Yanga nayo imetoa taarifa kuwa msimamo wao upo palepale kuwa hawataingiza timu uwanjani.
TAMKO LA YANGA
Uongozi wa Young Africans Sports Club, unapenda kuutarifu umma kuwa, tarehe 7 Juni, 2025 tulipokea barua kutoka Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kwa ajili ya kuhudhuria kikao maalum cha kujadili masuala yahusuyo mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC, YANGA dhidi ya Simba.
Uongozi wa Klabu yetu ulitii wito huo na kushiriki kwenye kikao kilichofanyika leo, Jumatatu Juni 9, 2025 kwenye ofisi za Bodi ya Ligi Tanzania zilizopo jengo la NSSF Mafao House, Dar Es Salaam, kuanzia saa 4:00 asubuhi.
Baada ya majadiliano ya saa kadhaa, Viongozi wa Klabu waliwasilisha msimamo wa Klabu yetu kuwa hatutashiriki mchezo namba 184 uliopangwa kufanyika tarehe 15 Juni 2025 mpaka pale matakwa yetu tuliyoyawasilisha kwa maandishi kwao yatakapotimizwa.
Tunawatakia kila la heri Bodi ya Ligi na Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini katika kushughulikia matakwa yetu yenye mustakabali mkubwa kwenye maendeleo ya mpira wa miguu Tanzania.
Imetolewa na
Kamati ya Utendaji
Young Africans Sports Club
Viongozi wao wanatafuta chaka la kutokea kuonyesha walisimama katika msimamo wao ule ule hadi dk ya mwisho.Hawa wanataka Simba wajae kwenye mfumo, Simba Iko kwenye maandalizi makali ya "kuua" mtu hio tarehe 15,
Ligi ya kila mtu kutoa matakwa na amri..hio ni ligi ama genge la wahuni ....half mbona wao wenyewe wachezaji wanafanya mazoezi juzi taifa stars wamewaruhusu wachezaji wa yanga na Simba pia wachache 😂🍻
Sahihi kabisa. Leo ulikuwa ni mtego wa kisheria na uto wamejaa kwenye mfumo. Sasa wakija kwenda popote, bodi itaonyesha ilifanya juhudi za kuwasikiliza ila wakaja na madai ya kitoto.Wameyapokea officially ,huo ni mtego ili wasipocheza derby na wakakatwa points then yanga ikija kufungua points bodi wawe na hints wanajipangaje
Kwanza timu moja ina power gani kushinikiza bodi ijiuzulu?hayo madai ya kitoto kabisa,halafu wakaenda CAS bila kupeleka madai hayo ya leo kwa Bodi ya ligi, sijui ni malalamiko haya haya na madai ndo walipeleka CAS?Sahihi kabisa. Leo ulikuwa ni mtego wa kisheria na uto wamejaa kwenye mfumo. Sasa wakija kwenda popote, bodi itaonyesha ilifanya juhudi za kuwasikiliza ila wakaja na madai ya kitoto.
Hata haya madai yao unaona hayahusiani na mechi husika. Kama unataka mfumo mzima wa uendeshaji wa ligi ubadilike, inakuwaje unacheza mechi zingine?
Na hayo madai ya kubadili mfumo yanajadiliwa na kufanyiwa kazi ligi inapokuwa imekwisha, siyo katikati ya ligi.
Naskia msimu ujao wamesema hawachezi ligi kuu😂😂😂😂, fainali CRDB hawachezi 😂😂😂😂 na mechi mbili zijazo hawachezi,,, eti wanawatishia bodi ya ligi kua eti wakate pointi waone watakachofanywaViongozi wao wanatafuta chaka la kutokea kuonyesha walisimama katika msimamo wao ule ule hadi dk ya mwisho.
Wanataka wakifungwa waseme hawakuwa wamejiandaa vya kutosha.