Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
Endeleeni kuleta UHUNI mtakipata mnachokitafuta.Sasa tumepata picha kamili kwanini Kabudi Ngoma ime mshinda, Kumbe boss wake(Kabudi) mkubwa serikalini alipiga Simu Geti lisufunguliwe ili ipatikane sababu ya timu kukimbia kipigo.
Sasa Wadau wamesha jua kwanini marefa wanao kosea maamuzi Kila mchezo wa Simba Wana pangiwa mchezo unao fuata bila kuadhibiwa.
Kumbe kamati ya waamuzi ipo chini ya karibu wa Tff ambaye ni Simba lialia ndugu Kidau.
Sasa ime eleweka wazi imekuaje Simba ingawa inatimu mbovu imeweza kukaa nafasi ya pili, Ni juhudi za uongozi wa juu wa Tff na Kiongozi mkubwa kuliko waziri Kabudi uko Serikalini.