Bodi ya Ligi yapigilia msumali suala la derby, yasema ipo na lazima ipigwe Juni 15, 2025

Tarehe 15/06 siyo ya kukosa Tutashuhudia Mechi ya kirafiki ya Ndugu wawili TFF FC vs SIMBA SC.
 
Ila ni wakati sasa kwa baadhi ya hivi vyombo vyetu vya kusimamia mpira wa miguu, kujiendesha kwa kufuata kanuni na taratibu zilizowekwa. Na ziachane kabisa kujiendesha kwa kusikiliza matakwa ya timu au watu fulani fulani wenye ushawishi.

Kimsingi tukio la tarehe 8 Machi, 2025 lilikuwa ni la kijinga! lilijaa ubinafsi na pia lilijali zaidi maslahi ya watu wachache, badala ya maelfu ya wadau wa mpira miguu.
 
Kimsingi derby iko pale pale!

Yaani unakunywa zako supu ukishavimbiwa unatoka unadai tu viongozi wa mpira wajiuzulu. Unadhani ligi ni ya babako hii?
 
Hawa jamaa wajinga sana, kama wao derby ipo waliwaita Yanga kufanya nini?

Na maelezo yake ni kwamba wameyapokea matakwa ya Yanga sasa inakuaje tena unatangaza derby ipo wakati una task umepewa?
Mnampa task nani nyie πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mnaendekezwa kindezi sana
Mnatoa amri kama nani nchi hii..itakua ligi ya aina Gani kila mtu anajiskia kutoa amri kama mwendawazimu...bumbavu.
 
Kimsingi derby iko pale pale!

Yaani unakunywa zako supu ukishavimbiwa unatoka unadai tu viongozi wa mpira wajiuzulu. Unadhani ligi ni ya babako hii?
Hawa wanataka Simba wajae kwenye mfumo, Simba Iko kwenye maandalizi makali ya "kuua" mtu hio tarehe 15,
Ligi ya kila mtu kutoa matakwa na amri..hio ni ligi ama genge la wahuni ....half mbona wao wenyewe wachezaji wanafanya mazoezi juzi taifa stars wamewaruhusu wachezaji wa yanga na Simba pia wachache πŸ˜‚πŸ»
 
Hawa jamaa wajinga sana, kama wao derby ipo waliwaita Yanga kufanya nini?

Na maelezo yake ni kwamba wameyapokea matakwa ya Yanga sasa inakuaje tena unatangaza derby ipo wakati una task umepewa?
Wameyapokea officially ,huo ni mtego ili wasipocheza derby na wakakatwa points then yanga ikija kufungua kesi bodi wawe na hints wanajipangaje
 
wasilete timu ili simba ipewe point tatu na magoli matatu..period.


Yanini kuwabembeleza kama watoto wa kike?
 
15 juni sio mbali ni hapo jpili tu sijui nani atasusa tena
 
 
LABDA LICHEZE TAK.. LA KUSHOTO NA KULIA...ILA SIO YANGA.
 
Hawa yanga wanajikuta akina nani sijui maana hawamuheshimu hata Rais.
Ushahidi ni pale Rais alipoomba muda wa mechi usogezwe wao wakatia ngumu.Na sasa kwa mujibu wa ripoti ya bodi ya ligi ni kwamba kuna kiongozi alipiga simu geti la Mkapa lisifunguliwe na bodi wanaona ni busara kutomtaja hadharani.
Haya mambo ya kihuni wapo mashabiki wa yanga bila kijali nadhi zao serikalini huyafanya.
Tuliona kule Mwanza hadi polisi walitumwq kukamata watu na kuufanya mchezo wa soka kama siasa za ccm na chadema.
Hawa viongozi wa serikalini waache ushabiki wa hovyo labda kama wanataka tufungiwe.
Serikali kuingilia mambo ya mpira hairuhusiwi.
Ninyi mnatumia mamlaka yenu kuvuruga soka letu.
 
Viongozi wao wanatafuta chaka la kutokea kuonyesha walisimama katika msimamo wao ule ule hadi dk ya mwisho.

Wanataka wakifungwa waseme hawakuwa wamejiandaa vya kutosha.
 
Wameyapokea officially ,huo ni mtego ili wasipocheza derby na wakakatwa points then yanga ikija kufungua points bodi wawe na hints wanajipangaje
Sahihi kabisa. Leo ulikuwa ni mtego wa kisheria na uto wamejaa kwenye mfumo. Sasa wakija kwenda popote, bodi itaonyesha ilifanya juhudi za kuwasikiliza ila wakaja na madai ya kitoto.

Hata haya madai yao unaona hayahusiani na mechi husika. Kama unataka mfumo mzima wa uendeshaji wa ligi ubadilike, inakuwaje unacheza mechi zingine?

Na hayo madai ya kubadili mfumo yanajadiliwa na kufanyiwa kazi ligi inapokuwa imekwisha, siyo katikati ya ligi.
 
Kwanza timu moja ina power gani kushinikiza bodi ijiuzulu?hayo madai ya kitoto kabisa,halafu wakaenda CAS bila kupeleka madai hayo ya leo kwa Bodi ya ligi, sijui ni malalamiko haya haya na madai ndo walipeleka CAS?
 
Sasa tumepata picha kamili kwanini Kabudi Ngoma ime mshinda, Kumbe boss wake(Kabudi) mkubwa serikalini alipiga Simu Geti lisufunguliwe ili ipatikane sababu ya timu kukimbia kipigo.
Sasa Wadau wamesha jua kwanini marefa wanao kosea maamuzi Kila mchezo wa Simba Wana pangiwa mchezo unao fuata bila kuadhibiwa.

Kumbe kamati ya waamuzi ipo chini ya karibu wa Tff ambaye ni Simba lialia ndugu Kidau.
Sasa ime eleweka wazi imekuaje Simba ingawa inatimu mbovu imeweza kukaa nafasi ya pili, Ni juhudi za uongozi wa juu wa Tff na Kiongozi mkubwa kuliko waziri Kabudi uko Serikalini.
 
Viongozi wao wanatafuta chaka la kutokea kuonyesha walisimama katika msimamo wao ule ule hadi dk ya mwisho.

Wanataka wakifungwa waseme hawakuwa wamejiandaa vya kutosha.
Naskia msimu ujao wamesema hawachezi ligi kuuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, fainali CRDB hawachezi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na mechi mbili zijazo hawachezi,,, eti wanawatishia bodi ya ligi kua eti wakate pointi waone watakachofanywa
Fools kabisa...ndio matokeo ya kuendekeza timu za kihuni eti sababu Wana watu wa serikali...wahuni timu ya kihuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…