Endeleeni kuleta UHUNI mtakipata mnachokitafuta.Sasa tumepata picha kamili kwanini Kabudi Ngoma ime mshinda, Kumbe boss wake(Kabudi) mkubwa serikalini alipiga Simu Geti lisufunguliwe ili ipatikane sababu ya timu kukimbia kipigo.
Sasa Wadau wamesha jua kwanini marefa wanao kosea maamuzi Kila mchezo wa Simba Wana pangiwa mchezo unao fuata bila kuadhibiwa.
Kumbe kamati ya waamuzi ipo chini ya karibu wa Tff ambaye ni Simba lialia ndugu Kidau.
Sasa ime eleweka wazi imekuaje Simba ingawa inatimu mbovu imeweza kukaa nafasi ya pili, Ni juhudi za uongozi wa juu wa Tff na Kiongozi mkubwa kuliko waziri Kabudi uko Serikalini.
Tena Kuna mengi yameongelewa kwenye kikao mengine yamebaki kuwa Siri ila mkijidai kuchonga, upuuziwenu wote utawekwa hadharani.Endeleeni kuleta UHUNI mtakipata mnachokitafuta.
Ccm ndio muharibifu wa kila kitu nchi hii, si umesikia kuna kiongozi kapiga simu geti lisifunguliweIla ni wakati sasa kwa baadhi ya hivi vyombo vyetu vya kusimamia mpira wa miguu, kujiendesha kwa kufuata kanuni na taratibu zilizowekwa. Na ziachane kabisa kujiendesha kwa kusikiliza matakwa ya timu au watu fulani fulani wenye ushawishi.
Kimsingi tukio la tarehe 8 Machi, 2025 lilikuwa ni la kijinga! lilijaa ubinafsi na pia lilijali zaidi maslahi ya watu wachache, badala ya maelfu ya wadau wa mpira miguu.
Hoja yako ni ipi?Hawa yanga wanajikuta akina nani sijui maana hawamuheshimu hata Rais.
Ushahidi ni pale Rais alipoomba muda wa mechi usogezwe wao wakatia ngumu.Na sasa kwa mujibu wa ripoti ya bodi ya ligi ni kwamba kuna kiongozi alipiga simu geti la Mkapa lisifunguliwe na bodi wanaona ni busara kutomtaja hadharani.
Haya mambo ya kihuni wapo mashabiki wa yanga bila kijali nadhi zao serikalini huyafanya.
Tuliona kule Mwanza hadi polisi walitumwq kukamata watu na kuufanya mchezo wa soka kama siasa za ccm na chadema.
Hawa viongozi wa serikalini waache ushabiki wa hovyo labda kama wanataka tufungiwe.
Serikali kuingilia mambo ya mpira hairuhusiwi.
Ninyi mnatumia mamlaka yenu kuvuruga soka letu.
simba hawajagomea mchezo,bali simba walilalamika na bodi ikaona malalamiko yana logic wakaghairisha,sasa yanga nao wawe na logic bodi iridhike sio kutumia nguvu kubwaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,Ndo hasara ya kutumia busara katika maaumuzi wakati sheria na kanuni zipo. Bodi itaamurishwa tu na yanga. Bodi wametelekeza nguvu zao kwa simba na yanga.
Simba anasema sipeleki timu uwanjani bodi wanaitikia tu kama dume lillilofumaniwa na mke wa mtu, wakati kanuni zipo. Halafu wanataka yanga watii maagizo yao.
Bodi Hawawezi kuendesha ligi kama vikao vya familia.
Huyo mtu anajikuta yeye nani kuingilia kazi za bodi? Una jicho moja la kuona upandd mmoja?Hawa yanga wanajikuta akina nani sijui maana hawamuheshimu hata Rais.
Ushahidi ni pale Rais alipoomba muda wa mechi usogezwe wao wakatia ngumu.Na sasa kwa mujibu wa ripoti ya bodi ya ligi ni kwamba kuna kiongozi alipiga simu geti la Mkapa lisifunguliwe na bodi wanaona ni busara kutomtaja hadharani.
Haya mambo ya kihuni wapo mashabiki wa yanga bila kijali nadhi zao serikalini huyafanya.
Tuliona kule Mwanza hadi polisi walitumwq kukamata watu na kuufanya mchezo wa soka kama siasa za ccm na chadema.
Hawa viongozi wa serikalini waache ushabiki wa hovyo labda kama wanataka tufungiwe.
Serikali kuingilia mambo ya mpira hairuhusiwi.
Ninyi mnatumia mamlaka yenu kuvuruga soka letu.
Kila la kheri huko simbaPacome amefanya maamuzi sahihi sana kwa kusaini Simba.
Msimu ujao Atawashuhudia wenzake wakicheza Ligi daraja la kwanza
Logic ilikuwa ni ipi? Vipi kuhusu Wadhamini na mashabiki waliotoka maeneo mbalimbali kuja kushuhudia mechi walikiwa na kosa gani? Je Kanuni na sheria za TFF zinasemaje katika tukio walilofsnyiwa?simba hawajagomea mchezo,bali simba walilalamika na bodi ikaona malalamiko yana logic wakaghairisha,sasa yanga nao wawe na logic bodi iridhike sio kutumia nguvu kubwaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,
Umesema vema.Ila ni wakati sasa kwa baadhi ya hivi vyombo vyetu vya kusimamia mpira wa miguu, kujiendesha kwa kufuata kanuni na taratibu zilizowekwa. Na ziachane kabisa kujiendesha kwa kusikiliza matakwa ya timu au watu fulani fulani wenye ushawishi.
Kimsingi tukio la tarehe 8 Machi, 2025 lilikuwa ni la kijinga! lilijaa ubinafsi na pia lilijali zaidi maslahi ya watu wachache, badala ya maelfu ya wadau wa mpira miguu.
Ni changamoto sana.Hawa jamaa wajinga sana, kama wao derby ipo waliwaita Yanga kufanya nini?
Na maelezo yake ni kwamba wameyapokea matakwa ya Yanga sasa inakuaje tena unatangaza derby ipo wakati una task umepewa?
Upuuzi Gani matako wewe ,,,mlezi wenu anapiga simu mageti yafungwe halafu mnakuja kusumbua watu pumbavu nyie ....mnaleta UHUNI ligi kuu mnataka Tanzania ifungiwe maisha sababu ya usenge wenu, mnaiamuru bodi nyinyi kama nani , itakua ligi ya namna Gani ya timu kutoa amri kwa mamlaka halafu nyinyi wenyewe ndio wasababishi wakuu wa kutaka ligi ivurugike mnaendekezwa sana wapumbavu nyie.Tena Kuna mengi yameongelewa kwenye kikao mengine yamebaki kuwa Siri ila mkijidai kuchonga, upuuziwenu wote utawekwa hadharani.
FALaHawa jamaa wajinga sana, kama wao derby ipo waliwaita Yanga kufanya nini?
Na maelezo yake ni kwamba wameyapokea matakwa ya Yanga sasa inakuaje tena unatangaza derby ipo wakati una task umepewa?
redioMaana yake hawana meno, Amri zote zinategemea boss wao Tff, kwaiyo ni kama Remote tu.
Sasa wanarudi kumsikiliza Wallec Karia alafu watarudi tena.
Lakini wanajua tarehe 15 mechi hakuna.
Nyie kwa nini march 8 hamkusubiri mechi icheze ndo mpeleke malalamiko? Kumbe nyie vilazaSahihi kabisa. Leo ulikuwa ni mtego wa kisheria na uto wamejaa kwenye mfumo. Sasa wakija kwenda popote, bodi itaonyesha ilifanya juhudi za kuwasikiliza ila wakaja na madai ya kitoto.
Hata haya madai yao unaona hayahusiani na mechi husika. Kama unataka mfumo mzima wa uendeshaji wa ligi ubadilike, inakuwaje unacheza mechi zingine?
Na hayo madai ya kubadili mfumo yanajadiliwa na kufanyiwa kazi ligi inapokuwa imekwisha, siyo katikati ya ligi.
Matusi yanatoka wapi sasa!!!, relax ,kwa hiyo Simba kuiamuru bodi ndo sawa sio eeee, mkuki kwa ngurueUpuuzi Gani matako wewe ,,,mlezi wenu anapiga simu mageti yafungwe halafu mnakuja kusumbua watu pumbavu nyie ....mnaleta UHUNI ligi kuu mnataka Tanzania ifungiwe maisha sababu ya usenge wenu, mnaiamuru bodi nyinyi kama nani , itakua ligi ya namna Gani ya timu kutoa amri kwa mamlaka halafu nyinyi wenyewe ndio wasababishi wakuu wa kutaka ligi ivurugike mnaendekezwa sana wapumbavu nyie.