Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB) yaja na 'Kampeni ya Fichua' kuwasaka wadaiwa sugu

Wanatupa shingapi ili tuwafanyie kazi ambayo walipaswa wafanye wao
 
Wakiweka hivyo vigezo rahisi mtu kudakwa.
Maana kwa sasa Jamii namba itahisishwa kwenye kila kitu mfano kwa sasa huhitaji kutembea na kadi ya NHIF bali utataja NIN yako tu unatibiwa, watoto wanatumia NIN ya aliyewaandikisha ie baba au mama
Inakua RAHISI wangefanya ivyo..
 
Serikali ingefanya Kama gift au grants kwa wote walio fanikiwa kufika University Mambo ya kudaiana Ni jau
Kama vile kipindi Cha Gaddafi na Libya yake..
Utaratibu wa mwanzo ulikuwa ndiyo huu. Elimu ilikuwa ni bure kuanzia msingi mpaka chuo kikuu. Ila tamaa ya watawala ya kupenda mikopo na misaada yenye masharti, ndiyo imeturudisha tena huki.
 
Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu ni mojawapo mwa taasisi ambazo zimekuwa zikitumia vibaya fedha za umma kwa kulipana posho na mikopo isio na riba. Kama wana uchungu sana na fedha za umma waanze kujipunguzia fedha wanazolipwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…