Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB) yaja na 'Kampeni ya Fichua' kuwasaka wadaiwa sugu

Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB) yaja na 'Kampeni ya Fichua' kuwasaka wadaiwa sugu

Bila kulipa wengine hawata pata mikopo
IMG-20240702-WA0044.jpg


Muwe na siku njema ,Kuwa hero wa Madogo .


Pia soma==>> Bodi ya mikopo wekeni wadaiwa sugu majina yao na vyuo vyao, kama nyie sio wezi wa pesa ya mikopo?
 
Zawadi mbona hamjaweka.......
Na majina hawajaweka waweke majina ya hao wadaiwa sugu na mwaka waliomaliza na chuo walichosoma na digrii walizosoma

Kuna taarifa kuwa walikuwa wakitoa mikopo hewa kwa wakopaji hewa zikiingia mifukoni mwao

Waweke list ya hayo majina na kiasi wanachodaiwa na ilete total ya hiyo pesa wanadai.Sababu kila jina na kiasi anadaiwa ukijumlisha lazima ilete hiyo jumla
Hawaweki sababu wanajua wana majina hewa wali create na kuyapa mikopo iliyoingia mifukoni mwao

Kusema tu watu wafichue ni utapeli

Wanaogopa nini kuweka wazi taarifa zao zote ? Vyombo vya habari ikiwemo website yao
 
Back
Top Bottom