Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB) yaja na 'Kampeni ya Fichua' kuwasaka wadaiwa sugu

Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB) yaja na 'Kampeni ya Fichua' kuwasaka wadaiwa sugu

Mm nmemaliza degree na nkajiajiri na wala sifikirii kuajiriwa ss we kaa hapo usubiri ajira za serikali ije ikuletee hebu jiongeze kijana ww n wa kiume bora ungekuwa wa kike nisingesema sn ila ww wa kiume na umri unaenda utasubir ajira mpk ln
Kwahiyo kila anayeongea hapa unaijua status yake ya maisha?, huko ulikojiajiri unafanya kutokana na ulichokisoma?.
 
Bila kulipa wengine hawata pata mikopo
View attachment 3031540

Muwe na siku njema ,Kuwa hero wa Madogo .
Ukisikia ule msemo wa mfa maji haachi kutapatapa, ndiyo huu sasa! Kwa hiyo huu ufichuaji unakuja baada ya kuwabambikia mikopo mipya baadhi ya wanufaika wa hiyo Bodi siyo!!

Binafsi hata nikiwafahamu, kamwe sitawafichua. Maana hiyo Bodi yenu ni 🚮 ya mwisho kabisa. Kamwe siwezi kuisahau kwa wizi iliyonifanyia miaka kadhaa iliyopita.
 
Ningekuwa na uwezo wafanyakaz wote wa board ya mikopo ningefukuza...niliwah wafikia pale kwa nia njema lakin vibur viliwaponza nikashusha matusi ya kutosha...
 
Ushauri wa bure kwa Raisi Samia
Wizara ya Elimu ndie Msimamizi wa bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu mwite Professor Mkenda mwambie kitu kimoja tu kuwa akuletee list ya wadaiwa wote ,majina yao na vyuo walivyosoma na course walizosoma na miaka waliyomaliza na madeni wanayodaiwa

Wakuletee ndani ya wiki moja mpe wiki moja tu yaani siku saba za kazi asije kuwa msabato au katoliki kuwa umemnyima uhuru wa kuabudu jumamosi au jumapili

Asipoleta mtimue uwaziri na hata ubunge asirudi chama kisimpe nafasi na uvunje bodi yote ya HESLB na Mkrugenzi mkuu mtimue na usimpe cheo chochote na wa chini watendaji waham8shie hata halmashauri za Tandahimba huko uchunguzi ukiendelea vyombo vyote vya dola
Huyo unaemshauri mwenyewe ndie anastahili kutimuliwa ndio wengine wafuate
 
Wala haimake sense majina si wanayo wayapublish watafutwe kama wamekufa au wapo hai
 
Back
Top Bottom