Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB) yaja na 'Kampeni ya Fichua' kuwasaka wadaiwa sugu

Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB) yaja na 'Kampeni ya Fichua' kuwasaka wadaiwa sugu

Kwahiyo kanzidata ya helsb kwishnei. Haina maajabu Yani
Yaani haiweki hata takwimu za wadaiwa kuwa ni akina nani walisoma chuo gani,walisoma nini walimaliza mwaka gani na wanadaiwa shilingi ngapi? Eti wanasubiri mfichuaji huo ni uhuni wa mtu kujifanya yuko busy na serious kufuatilia madeni kumbe hamna kitu

Kazi data gani hiyo inashindwa kuhifadhi hata taarifa ndogo kama hizo ambazo hata manually tu waweza hifadhi sababu watu walijaza fomu physically na kuzipeleka physically na approval wakafanya physically

Kuna kitu wanaficha wizi wao hao wahuni wa HELSB

CAG nenda kafanye special Audit toka bodi imeanza utagundua madudu mengi mno
Wahusika wadakwe popote walipo hata kama walishaondoka HESLB

Na serikali iwalazimishe wachapishe list ya wadaiwa majina,vyuo walisoma,course walisoma mwaka walimaliza na mikopo walipewa na wanachodaiwa waweke hadharani kama ambavyo wadaiwa sugu wa mabenki huwekwa hadharani
 
Status ya mtu jana
Screenshot_2024-07-02-17-08-09-581_com.whatsapp-edit.jpg
 
Ushauri wa bure kwa Raisi Samia
Wizara ya Elimu ndie Msimamizi wa bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu mwite Professor Mkenda mwambie kitu kimoja tu kuwa akuletee list ya wadaiwa wote ,majina yao na vyuo walivyosoma na course walizosoma na miaka waliyomaliza na madeni wanayodaiwa

Wakuletee ndani ya wiki moja mpe wiki moja tu yaani siku saba za kazi asije kuwa msabato au katoliki kuwa umemnyima uhuru wa kuabudu jumamosi au jumapili

Asipoleta mtimue uwaziri na hata ubunge asirudi chama kisimpe nafasi na uvunje bodi yote ya HESLB na Mkrugenzi mkuu mtimue na usimpe cheo chochote na wa chini watendaji waham8shie hata halmashauri za Tandahimba huko uchunguzi ukiendelea vyombo vyote vya dola
 
Waliotoa ndio hawana akili.... Unawezaje kuinvest 12m kwa mtu ambaye unajua atakuja kuwa jobless mtaani?.
Serikali ilikuwa inajua inaelimisha mwenye elim hata ispomuajiri atajkajiri na kulipa deni lao kumbe walikuwa wanasomesha kiande ss isipokupa iho ajira ndo utakaa ivo ivo bila ajira miaka yote
 
Serikali ilikuwa inajua inaelimisha mwenye elim hata ispomuajiri atajkajiri na kulipa deni lao kumbe walikuwa wanasomesha kiande ss isipokupa iho ajira ndo utakaa ivo ivo bila ajira miaka yote
Kwa ujuzi gani waliotoa?, ww umejiajiri? Au upo kwenye kundi la chawa wanaodhani kujiajiri hata kuuza karanga ni kujiajiri!!. Punguzeni mihemko ya kipuuzi ....
 
Kwa ujuzi gani waliotoa?, ww umejiajiri? Au upo kwenye kundi la chawa wanaodhani kujiajiri hata kuuza karanga ni kujiajiri!!. Punguzeni mihemko ya kipuuzi ....
Mm nmemaliza degree na nkajiajiri na wala sifikirii kuajiriwa ss we kaa hapo usubiri ajira za serikali ije ikuletee hebu jiongeze kijana ww n wa kiume bora ungekuwa wa kike nisingesema sn ila ww wa kiume na umri unaenda utasubir ajira mpk ln
 
Makampuni binafsi wanayajua
Shule za private wanazijua
Biashara nyingi kubwa zimesajiliwa TRA they can trace from there
Wasitusumbue
 
Hizo nguvu kazi mgewekeza kwenye kuwakemea na kujikemea nyie walamba asali huenda hata madogo wasingehitaji mikopo bali wangepewa grants kutokana na resources na matozo na mamikopo tunayotembeza bakuli kila siku.....
 
Back
Top Bottom