Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi Elimu ya Juu (HESLB) kumtumia control namba mtu asiye na ajira ni kumuongezea stress, badilikeni!

Vijana wapewe ufadhili na sio mkopo cause amekuwa akichangia Kodi kabla hara ya kuzaliwa ... It's absurd Viongozi wanavyolipana marupurupu ya billions of monies then mwanafunzi akopeshwe
Serikali itaacha kukopesha ikiwa watu hawalipi,

Ukipata KAZI au biashara, ukapata pesa, unalipa kidogo kidogo Ili ukimaliza, na wengine wapate.
 
Mwanafunzi ametekeleza jukumu lake la kulipa Kodi toka akiwa mimba sasa ni jukumu la serikali insyokusanya Kodi hiyo kumsomesha. Kumkopesha ni kwamba amejusonesha while pia serikali imechukua Kodi yake.

Elimu inapaswa kuwa Bure katika levels zote
 
Ungesema kuwa wanaosoma VYUO vya kati, veta nk nk

Wakopeshwe maana wao Wana fursa za ajira kirahisi, hapo ningekuelewa.
 
Ungesema kuwa wanaosoma VYUO vya kati, veta nk nk

Wakopeshwe maana wao Wana fursa za ajira kirahisi, hapo ningekuelewa.
Kwenye ajira si wanakata PAYE... So it's a win win unasomeshwa unapata ajira then wanakata mshahara wako
 
Daah Bongo ni kama Jehanamu tu hawajui watoto wapo wapi harafu mnawatumia madeni shukuruni huo upuuzi mnaufanyia Tanzania..
 
Nilishashauri uundwe mfuko wa elimu ya juu ambao utakuwa unachangiwa kupitia tozo (higher education levy) kwenye baadhi ya huduma na biashara na hata kuwakata wafanyakazi kiasi kidogo kwenye mishahara yao.

Hii itaondoa pressure kwa hawa vijana kudaiwa pesa nyingi pale tu wanapopata ajira, ukizingatia mishahara yao inakuwa midogo wanapoanza kazi na wanakuwa na majukumu na ambitions zao kwenye maisha.

Kupitia makato kidogo kwenye mishahara kwa wale watakaopata ajira, huduma mbalimbali na bidhaa watakazonunua, watakuwa na wenyewe wanachangia hii tozo ya elimu ya juu.​
 
Watanzania kitu " Tozo" hawakipendi!!

Mimi nionavyo, migodi hii inaweza kufadhili ya Elimu ya juu, na kati, wakatoa Elimu ya juu bure.
 
Watanzania kitu " Tozo" hawakipendi!!

Mimi nionavyo, migodi hii inaweza kufadhili ya Elimu ya juu, na kati, wakatoa Elimu ya juu bure.
Yaa, hata serikali ikijikita kwenye matumizi ya msingi na kuzuia upigaji, pesa za vijana kusoma bure zipo.......sema ungeanzishwa pia huo mfuko wa elimu ya juu kuongeza kwenye bajeti ya serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…