Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
Hatulipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watafutieni KAZI,Lipeni madeni wengine wapate
Ukipata uwezo wa kulipa, lipa mdogo mdogo umalize na wengine wapate.Hatulipi
Waanze na hiyo repoti ya GAG unadhani tunasahau ??Ukipata uwezo wa kulipa, lipa mdogo mdogo umalize na wengine wapate.
Hilo nalo neno.Waanze na hiyo repoti ya GAG unadhani tunasahau ??
Haiezekani kiongozi analetewa makabati haya balance halafu unakaa kimyaaa maana ake nn?Hilo nalo neno.
Ikiwa pesa za umma zinaibwa, hiyo Ari ya kulipa mikopo na Kodi, itoke wapi🤔
Say something!!11 people are here
Mfumo wa elimu nao ubadilike ili watu waweze kujiajiriKwamba unashauri abadili namba Ili asisumbuliwe?
Muhimu hapa tushauri Serikali yetu, ije na mkakati Bora utakaowezesha vijana waingie kujiajiri, vikwazo viondolewe, Kodi ziwe Rafiki Ili wapate pesa, wajiajiri na kutengeneza ajira Ili walipe mikopo na Kodi Kwa furaha.
Karibu Kwa ushauri 🙏
ndio mambo ya numbari wani hayoDogo amepigiwa simu na afisa wa Bodi ya mikopo akimkaripia kwamba kwanini hajalipa mkopo na ametumiwa control namba, mwezi uliopita,
Dogo ananiambia hapa Leo sijapata pesa, nauli yenyewe kurudi home mtihani, halafu tena unapigiwa simu ukikumbushwa deni kana kwamba umepata ajira una pesa, hutaki kulipa!!
Imebidi nimtie tu moyo.
Hii Si sawa!!
Sasa watajiajiri vipi ikiwa Hawasaidiwi kuondolewa vikwazo Ili wakuze biashara zao kufikia level ya kufungua makampuni?Mfumo wa elimu nao ubadilike ili watu waweze kujiajiri
Na ikiwa unakopesha Kisha huhangaiki kuhakikisha wanajuajiri na kuajiriwa,Kuna sababu gani kumkopesha mtoto wa mnyonge na huku matrioni yanaibiwa?
Badala ya kuwa na F6 ile miaka miwili 2 watu wapige masomo ya ufundi kwanza ndiyo waende chuo kikuu, hakuna fundi umeme, bomba, pikipiki, wirelling za magari n.k yupo kitaa hana kaziSasa watajiajiri vipi ikiwa Hawasaidiwi kuondolewa vikwazo Ili wakuze biashara zao kufikia level ya kufungua makampuni?
Hao mafundi kwanini hawawezeshwi kupanda juu wafungue makampuni na kujiajiri na kuajiri wengine?Badala ya kuwa na F6 ile miaka miwili 2 watu wapige masomo ya ufundi kwanza ndiyo waende chuo kikuu, hakuna fundi umeme, bomba, pikipiki, wirelling za magari n.k yupo kitaa hana kazi
Lakini wana nafuuHao mafundi kwanini hawawezeshwi kupanda juu wafungue makampuni na kujiajiri na kuajiri wengine?
Akijitafuta akakodi frame, hakuna RANGI hatoona Toka Jiji, service levy, Tra Kodi nk nk.
Serikali izilee biashara na ofisi changa za Hawa graduates Ili wakuze na kutengeneza ajira Kwa wengine.Lakini wana nafuu
Kama Rais mwenyewe halipi kodi kwa mshahara wake wewe unahangaika ya nini?Serikali izilee biashara na ofisi changa za Hawa graduates Ili wakuze na kutengeneza ajira Kwa wengine.
Tuongeze tax base iliyo chini ya ml 5 Hadi angalau ml 30 ambayo ni nusu ya population ya watu ml 69.
Kumbe mshahara wa Rais haukatwi Kodi?Kama Rais mwenyewe halipi kodi kwa mshahara wake wewe unahangaika ya nini?