Watanzania wako wangapi na Agha Khan ziko ngapi?Wewe unazungumzia Agha Khan iliyoko Dare salaam lakini Watanzania hawako Dare salaam pekee na Kuna maelefu hawajawahi kusikia hata jina la Agha Khan.Unaonekana una furaha sana.Ikifungwa Agha Khan unadhani Watanzania wataathirika?Lazima mtapiga magoti tu,mbele ya Serikali,furaha Yako ni ya muda tu.Kwani Aghkani imeanza kupokea Bima Lini mkuu??
Shida watoto wa siku hizi wanajifanya wanajua halafu kumbe empty
Aghakani iko.Africa mashariki yote na kila mkoa kuna Aghakani..Watanzania wako wangapi na Agha Khan ziko ngapi?Wewe unazungumzia Agha Khan iliyoko Dare salaam lakini Watanzania hawako Dare salaam pekee na Kuna maelefu hawajawahi kusikia hata jina la Agha Khan.Unaonekana una furaha sana.Ikifungwa Agha Khan unadhani Watanzania wataathirika?Lazima mtapiga magoti tu,mbele ya Serikali,furaha Yako ni ya muda tu.
Kabisa, zote serikali mbili ni diktetaTofauti ya udikteta wa awamu ya 5 na ya 6 ni yule anaeathirika na udikteta.
Awamu hii mnyonge ndio ananyooshwa na mfumo kisawasawa ila awamu iliopita wenye nazo ndio walikuwa wananyooshwa na mfumo ili kuleta fairness kwenye jamii.
Swali ni kuwa Kuna shida gani hapo kuna nini kwanini Inatumika Nguvu nyingi sana?
Kwanini tusijadili hicho.kitita kuliko kutumia Nguvu?
Swali ni kuwa Kuna shida gani hapo kuna nini kwanini Inatumika Nguvu nyingi sana?
Kwanini tusijadili hicho.kitita kuliko kutumia Nguvu?
Chief ndo hichi ninekuwa nikisema kuanzia sakata hili linaanza.Ukisikiliza maelezo ya waziri wa afya mh. Ummy Mwalimu ya jana kwa wenye ufahamu utaelewa nani ameleta sintofahamu:
1: Kama waziri aliunda tume, ikaleta majibu kwenye kikao.
2: APHFTA walisikiliza hoja za tume na kuomba kwenda kupitia maelezo husika ili waje na mrejesho pia. Huwezi kujibu chochote wakari unapata taarifa kwa mara ya kwanza.
3: Baada ya hapo nini kilifuata??
NHIF na Serikali kwenda kuingiza kitita kipya kwenye utekelezaji. Kwa nini wakati mawasiliano yanaendelea, na kikao kinachofuata ndo kilikuwa cha kusikiiliza APHFTA??
4: Kwenye sintofahamu angalia mtu anaevulumisha maneno mengi mengi bila sababu kufunika nia ovu. Nani alikimbia meza ya mazungumzo?
5: Vyovyote iwavyo kama haya mambo yasiposhughulikiwa kwa utashi mwema, sisi mashabiki ndo tutaumia na familia zetu, rafiki au ndugu.
6: Aliyesababisha gharama za uendeshaji kuwa juu hataki kulipia gharama husika. Kodi rukuki zimepelekwa kwenye vituo hivihivi vya afya bila kujali kuwa atakaekuja kulipa ni mtumiaji wa mwisho.
A: GHARAMA HALISI/HITAJIKA ZA UENDESHAJI
1: UMEME
2: MAJI
3: PANGO
4: TAKA
5: MISHAHARA
6: MASHINE ZA VIPIMO
7: DAWA
8: OTHER CONSUMABLE/REAGENTS/KITS
9: VIFAA TIBA
10: SUPPORTIVE SERVICES ULINZI
11: USAFI NA VITENDEA KAZI
Nk.
GHARAMA ZITOKANAZO NA SERIKALI
1: TRA
2: FIRE/ZIMAMOTO
3: OSHA/USALAMA MAHARA PA KAZI
4: HALMASHAURI/MANISPAA
5: LESENI YA DAKTARI
6: NEMC/MAZINGIRA
7: USAJILI WIZARA
8: TAEC/MIONZI
9: LESENI YA MAABARA
10: LESENI YA PHARMACY
Nk.
Kama serikali imelipwa kodi na ina nia njema, kwa nini tasisi zake zinakuja kwa mlango wa nyuma kudai malipo tena na si kutoa huduma na kuhakiki vigezo?
Chief kwanini tujadili wakati huko nyuma kulikuwa na loophole kubwa tu ya kupiga hela kupitia kitita cha zamani na hizo hospital zinazogoma ilifaidika bila kupiga kelele..?
Wameshikwa pabaya sana Serkali [emoji1787][emoji1787]
NHIF wameshindwa wakamuita waziri, Waziri kaongea wee kashindwa kawaita wasajili [emoji1787][emoji1787]..
Soon watawaita MCT
Mkuu ondoa status Yako ya Udr maana Haina maana!Nimekuuliza unafikiri Watanzania zikifungwa hizo Agha Khan zako unafikiri wataathirika?na huko mikoani unakosema Agha Khan zilikuwa inapokea Nhif kama kawaida. Agha Khan iliyoanzishwa mwaka 67 na Agha Khan IV Shah Karim Al Hussain unaiona Ina umri mkubwa mpaka uulize umri wangu au unaongeza page kiaina kwenye Uzi wako?.Aghakani iko.Africa mashariki yote na kila mkoa kuna Aghakani..
Nitajie mkoa ulipo ambao hauno hospitali ya.aghakani au Africa mashariki yote nchi ambayo haina aghakani..
Nawiwa kujua Umri wako kuna migomo mingi ilifanyika na watu hawakupiga Magoti..
Migomonya madaktari nk
Nimeuliza umri wako kwa sababu unayo ongea hayana LogicMkuu ondoa status Yako ya Udr maana Haina maana!Nimekuuliza unafikiri Watanzania zikifungwa hizo Agha Khan zako unafikiri wataathirika?na huko mikoani unakosema Agha Khan zilikuwa inapokea Nhif kama kawaida. Agha Khan iliyoanzishwa mwaka 67 na Agha Khan IV Shah Karim Al Hussain unaiona Ina umri mkubwa mpaka uulize umri wangu au unaongeza page kiaina kwenye Uzi wako?.
Atakayelia ni mwananchi mwanachama wa huo mfuko.Hao wizara ndio wenye shida.sasa wanapotumia nguvu wakati mfuko wameufuja wenyewe nikusababisha shida kwa mgonjwa ambaye ni mwanachama.kinachowapa jeuri hospital za private ni ubora wa huduma kitu ambacho hospital za serikali kimewashinda.Sasa kitakachofuata ni huduma za afya kuzorota kwa hospitali za private na hiyo ni hasara kwa mgonjwa kwasababu yeye ndiye aliyefwata huduma bora kinyume chake ni kifo vya kizembe kama vinavyotokea hospitali za serikali.Nchi za dunia ya tatu, usicheze na aliyeshika mpini ukiwa umeshika makali utaumia tu.
Soon wataanza kulia.
Na hii haihusiani na nani yupo right, nani ypo wrong.
Ila namjua atakayelia ni nani mwisho wa hili game.
Tayari wametema ndoano mkuuAtakayelia ni mwananchi mwanachama wa huo mfuko.Hao wizara ndio wenye shida.sasa wanapotumia nguvu wakati mfuko wameufuja wenyewe nikusababisha shida kwa mgonjwa ambaye ni mwanachama.kinachowapa jeuri hospital za private ni ubora wa huduma kitu ambacho hospital za serikali kimewashinda.Sasa kitakachofuata ni huduma za afya kuzorota kwa hospitali za private na hiyo ni hasara kwa mgonjwa kwasababu yeye ndiye aliyefwata huduma bora kinyume chake ni kifo vya kizembe kama vinavyotokea hospitali za serikali.
Ila wamerudi mezani soon Tutapata makubalianp mazuri..Ukisikiliza maelezo ya waziri wa afya mh. Ummy Mwalimu ya jana kwa wenye ufahamu utaelewa nani ameleta sintofahamu:
1: Kama waziri aliunda tume, ikaleta majibu kwenye kikao.
2: APHFTA walisikiliza hoja za tume na kuomba kwenda kupitia maelezo husika ili waje na mrejesho pia. Huwezi kujibu chochote wakari unapata taarifa kwa mara ya kwanza.
3: Baada ya hapo nini kilifuata??
NHIF na Serikali kwenda kuingiza kitita kipya kwenye utekelezaji. Kwa nini wakati mawasiliano yanaendelea, na kikao kinachofuata ndo kilikuwa cha kusikiiliza APHFTA??
4: Kwenye sintofahamu angalia mtu anaevulumisha maneno mengi mengi bila sababu kufunika nia ovu. Nani alikimbia meza ya mazungumzo?
5: Vyovyote iwavyo kama haya mambo yasiposhughulikiwa kwa utashi mwema, sisi mashabiki ndo tutaumia na familia zetu, rafiki au ndugu. Tutapata huduma isiyokidhi vigezo.
Sijui kama NHIF pia walishafanya utafiti kuja kwa nini wanufaika wa mfuko wanakuwa na multiple visitations? Watu wanajitahidi kufanya the minimal they can. Tatizo la kuonwa mara moja mtu anazunguka vituo kibao kila mmoja akiogopa kufanya vipimo kwa pamoja. Mbonanhao wa bima nyingine hawazunguki?
Watapiga picha, wataunganisha NIDA na kuweka signature pads LAKINI ni muhimu wabadili attitudes na approach yao kwa watoa huduma za afya.
6: Aliyesababisha gharama za uendeshaji kuwa juu hataki kulipia gharama husika. Kodi rukuki zimepelekwa kwenye vituo hivihivi vya afya bila kujali kuwa atakaekuja kulipa ni mtumiaji wa mwisho.
A: GHARAMA HALISI/HITAJIKA ZA UENDESHAJI
1: UMEME
2: MAJI
3: PANGO
4: TAKA
5: MISHAHARA
6: MASHINE ZA VIPIMO
7: DAWA
8: OTHER CONSUMABLE/REAGENTS/KITS
9: VIFAA TIBA
10: SUPPORTIVE SERVICES ULINZI
11: USAFI NA VITENDEA KAZI
Nk.
GHARAMA ZITOKANAZO NA SERIKALI
1: TRA
2: FIRE/ZIMAMOTO
3: OSHA/USALAMA MAHARA PA KAZI
4: HALMASHAURI/MANISPAA
5: LESENI YA DAKTARI
6: NEMC/MAZINGIRA
7: USAJILI WIZARA
8: TAEC/MIONZI
9: LESENI YA MAABARA
10: LESENI YA PHARMACY
Nk.
Kama serikali imelipwa kodi na ina nia njema, kwa nini tasisi zake zinakuja kwa mlango wa nyuma kudai malipo tena na si kutoa huduma na kuhakiki vigezo?
Hilo ni kosa la hao wahusika wa huo mfuko.kwasababu kama hayo yalikua yanafanyika ina maana na wao nhif walikua wanufaika.na hayo ni makosa na ubadhirifu wa ela za mfuko.sasa tusihalalishe makosa ya watu kwa makosa mengine.sisi wanachama tunachokitaka ni huduma bora.Chief kwanini tujadili wakati huko nyuma kulikuwa na loophole kubwa tu ya kupiga hela kupitia kitita cha zamani na hizo hospital zinazogoma ilifaidika bila kupiga kelele..?
Hilo ni kosa la hao wahusika wa huo mfuko.kwasababu kama hayo yalikua yanafanyika ina maana na wao nhif walikua wanufaika.na hayo ni makosa na ubadhirifu wa ela za mfuko.sasa tusihalalishe makosa ya watu kwa makosa mengine.sisi wanachama tunachokitaka ni huduma bora.Chief kwanini tujadili wakati huko nyuma kulikuwa na loophole kubwa tu ya kupiga hela kupitia kitita cha zamani na hizo hospital zinazogoma ilifaidika bila kupiga kelele..?
Nchi hii wapumbavu sana Nenda kairuki ,saifee ,bochi madaktari asilimia 80 ni wa Muhimbili,MOI,JKCI.Hospitali binafsi ziache uhuni. Kimsingi serikali yenye ndio ilianza kudekeza haya mambo baada ya wakwepa kodi wa kariakoo kutishia kufunga maduka. Ikamlazimu waziri mkuu kusimama masaa kadhaa akiwasikiliza. Wakatoa madai yaonwaendelee kukwepa kodi.
Madawa yameteremka bei kutokana na sababu mbalimbali unalazimishaje bei iwe ile ile? Mbona madawa yaliyopanda bei hawasemi. Kumwona daktari hawasemi. Zamani kuosha damu ilikuwa 500,000 leo 150,000 wanataka ibaki 500,000?.
Waacheni wasipokee wagonjwa wa NHIF. Hospitali za serikali ni nzuri sana kwa sasa. Nashangaa watu wanaenda hospitali binafsi.
Daktari yule wa hospitali binafsi anatoka hospitali ya serikali. Akifika hosp binafsi, kumeona ni mara 2 ya hosp ya serikali. Amepandaje bei wakati kichwa ni kile kile?Halafu mnalia lia tengenezeni madaktari wenu.
Naomba nitumie hii pdf tafadhali au file inaitwaje ?Hebu niambie mkuu ulikonunua Kidonge cha Carbamazepine kwa Tsh 30 na mimi nikanunue huko nikaweke kwenye pharmacy yangu niwe Tajiri mkubwa maana cabamazepine kwa bei ya Jumla tu Bei yake ni Tsh 140 mpaka 170 kwa kidonge..
Nachukia sana Uongo aisee..
Bima mwaka 2016..Ilikuwa Tsh 200
View attachment 2921855
BIMA 2024 Tsh 138 bei ambayo.huuzwa Kwa bei ya Dukani yaani bei ya Jumla
View attachment 2921857
Nielekeze Duka wanakouza Carbamazepine kwa kidonge Tsh 30 Mkuu niwe Tajiri..
Maana vidonge 10 hapo nachukua 300..
Na hata nikiuza bei ya Bima ya Tsh 138 sina hasara..
Na ulinunua Olanzapine Wapi kwa Tshs 300 kidonge????
Natamani kupajua Ili na mimi nitibu wagonjwa wangu wa Mental health kwa bwerere kabisa
Pdf ipi mkuu maana kuna vitita kuanzia Dispensary mpaka National Hospital..Naomba nitumie hii pdf tafadhali au file inaitwaje ?