Bodi ya Utalii Tanzania: Hatujamtuma Mwijaku Kutangaza Utalii Mitaani Ujerumani

Bodi ya Utalii Tanzania: Hatujamtuma Mwijaku Kutangaza Utalii Mitaani Ujerumani

hayo ndio madhara ya kuhalalisha akili ndogo itawale akili kubwa.

chawa ana nguvu kubwa kuliko wasomi wote waliopo ndani ya bodi ya utalii.
 
Ngoja kwanza;
huyo mtu mwenye dhamana kuutangaza utalii wetu ni nani?

Hapa swali la msingi kabisa ni wajibu wa raia wa Tanzania ni upi?. Labda itokee vinginevyo lakini kila raia wa Tanzania ana wajibu kuhakikisha hili taifa linapata maendeleo ya kiuchumi.

Hii kauli ya mtu mwenye dhamana itawarudisha nyuma watanzania wanaojitolea kuutangaza utalii bila malipo yoyote. Hapa simuongelei Mwijaku ila watanzania kwa ujumla wetu.

Inawezekana kweli kakosea kama alisema katumwa na mtu au taasisi, ila kama alisema katumwa na taifa hajakosea mahali popote labda awe amefanya matendo yaliyo kinyume na taifa hili.

Kifupi kila mtanzania anayelipambania taifa hili lifike mbali kimaendeleo ametumwa na taifa, na siku moja ataulizwa.
 
Sijaona kosa la Mwijaku

Kwani iwapo ameamua mwenyewe kwa mapenzi yake kwa Nchi yake kutangaza huo utalii kuna shida?

Mbona Bongo Zozo alikuwa anaitangaza Tanzania kwenye nyanja za Utalii, Soka n.k hakupigwa marufuku wala kuona tamko la Serikali kumkana?
 
Hata mm naungana na bodi ya utalii yule bwana hapna kwa Kweli Bora vichaa wengine watamgaze ila siyo hyu feytu mpuuzi aliye fujisha picha za uchi ili apate pesa za kujikimu mpumbavu snaa
 
Hata mm naungana na bodi ya utalii yule bwana hapna kwa Kweli Bora vichaa wengine watamgaze ila siyo hyu feytu mpuuzi aliye fujisha picha za uchi ili apate pesa za kujikimu mpumbavu snaa
Picha za uchi kivipi? Sidhani kama anaweza fika huko maana ni kinyume na sheria.

Pili kadiri mnavyokuwa viewers wake ndivyo anapata maisha,mpaka hapo amewazidi maarifa.
 
0EB9C612-1C1C-4FB1-9059-D25E7C1A0AC0.png


Hii sijaelewa huyu na mwijaku utofauti wao ni upi?😂😂😂😂

ChoiceVariable
johnthebaptist
Lusungo
mdukuzi
Msanii
Pascal Mayalla
 
Bodi ya hovyo sana hiyo hamjui mnafanya nini badala ya kushukuru watu wanatangaza utalii ninyi mnadhani kwa sababu mbuga zipo wageni watakuja tuu Tanzania ndio Nchi yenye vitu asili ambavyo Nchi nyingi hawana ila kwa sababu Bodi yenyewe ndio hawa tunabaki kushindwa na hao wanaotengeneza Mbuga...
Inatakiwa Timu zote ziwe na nembo za Mbuga zetu au Mlima Kilimanjaro...
Kuandaa matamasha Spain ambayo yatatangaza Mbuga zetu...
Utalii utangazwe mpaka kwenye mashirika makubwa ya ndege na viwanja vyao...
Mkifanya mambo ya Utalii kwa usahihi mtaacha kwenda kuomba hela kwa Waarabu ni vile hatuna akili wakati mali tunazo....
 
Back
Top Bottom