Tetesi: Boeing 787 5H TCG Kutua Nchini Ijumaa 06/07/2018

Hongera Magufuli,umeondoa aibu yangu.Mungu akulinde.Mimi sio hypocrite,nakuombea kila siku katika maombi yangu,you are so special to me and Tanzania.Hongera sana strongman.
Aibu gàni hiyo ? .
 
Badala ya kukaa na kupiga porojo afadhali umuombe Mbowe aanze kukarabati pale ufipa. Utapata tabu sana.
Tatizo kubwa sana mnalo... Imefika mahala hata CAG hamumuamini kwa vile tu kasema makosa yenu... SI unakumbuka habari ya Bilioni 1,500/- na yale maswali ya bwana mjkubwa kwa CAG?

Mmefika mahala anayewakosoa ni adui yenu

mmefika mahala pa kutowakosoa hata wateule wake pale wanapokosea....
 
Mbona unapanick?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…