Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Unataka nitumie vipimo vya nani sasa?Kwa mtazamo na vipimo vyako....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka nitumie vipimo vya nani sasa?Kwa mtazamo na vipimo vyako....
Aibu ya kudharauliwa nchi yangu Tanzania.Aibu gàni hiyo ? .
Sasa mlitakaje,tusinunue ndege kwa kuogopa hasara?Hapana,Hatusemi, ila yametokea....
Na shida yenu kubwa hamtaki kukosolewa.... Mnataka mpongezwe hadi mnapokosea
Kwa kutumbuana kulikopita, NINI TUME-GAIN KAMA NCHI?Sasa mlitakaje,tusinunue ndege kwa kuogopa hasara?Hapana,
tutatumbuana tutarekebishana.
Kama wewe ni mwanachadema posho ni bukuPosho mnagawa shilingi ngapi ya kwenda kuipokea?
That is wishful thinking.Tanzania haijayumba na haitayumba.Iyumbe mara ngapi? Au unataka hadi vita ndo ujue pameyumba?
Kawaulize mafao ya wastaafu yako wap toka 2016 had sasa uje na mrejesho hapaThat is wishful thinking.Tanzania haijayumba na haitayumba.
It's a matter of priorities,wala haina uhusiano na kuyumba nchi.Kawaulize mafao ya wastaafu yako wap toka 2016 had sasa uje na mrejesho hapa
Wastaafu wanatoka makazini wanategemea wakirudi watumie jasho lao halafu wewe unaandika takataka hapa au ktk familia yenu kuna mtu mwizi nini hasikii maumivu ya wastaafu?It's a matter of priorities.
Sijasema hizo priorities ni mbaya au nzuri.Wastaafu wanatoka makazini wanategemea wakirudi watumie jasho lao halafu wewe unaandika takataka hapa au ktk familia yenu kuna mtu mwizi nini hasikii maumivu ya wastaafu?
Zile pesa ni za serikali? Kama hawajayumba pesa za wastaafu ziko wapi?It's a matter of priorities,wala haina uhusiano na kuyumba nchi.
Hela ni za nani hadi ziwe na kipaumbele?Sijasema hizo priorities ni mbaya au nzuri.
Ni za serikali na mchangiaji.Hela ni za nani hadi ziwe na kipaumbele?
Hizi bangi ngoja nikuache naona ajadiliana na jini.Ni za serikali na mchangiaji.
Vipi wazee wa chadema walisema kuhusu ubadirifu wa chama chenu?Tatizo kubwa sana mnalo... Imefika mahala hata CAG hamumuamini kwa vile tu kasema makosa yenu... SI unakumbuka habari ya Bilioni 1,500/- na yale maswali ya bwana mjkubwa kwa CAG?
Mmefika mahala anayewakosoa ni adui yenu
mmefika mahala pa kutowakosoa hata wateule wake pale wanapokosea....
Labda hilo litakuwa size yangu,wewe cha mtoto.Hizi bangi ngoja nikuache naona ajadiliana na jini.
Cha mtoto kwa akili yako hadi muda huu mafao ya mstaafu unayaita ya serikali? Taifa lililojifia toka fikra hadi elimu.Labda hilo litakuwa size yangu,wewe cha mtoto.
Sijasema ni ya serikali,nimesema ni ya mchangiaji na serikali!Cha mtoto kwa akili yako hadi muda huu mafao ya mstaafu unayaita ya serikali? Taifa lililojifia toka fikra hadi elimu.
Kwa nini wanazikopa toka ktk mifuko ya jamii ikiwa nao wanahusika? Kama wanahusika kwa nini wafanyakazi walalamike ikiwa mbia mwenzao kachukua pesa?Sijasema ni ya serikali,nimesema ni ya mchangiaji na serikali!