Tetesi: Boeing 787 5H TCG Kutua Nchini Ijumaa 06/07/2018

Tetesi: Boeing 787 5H TCG Kutua Nchini Ijumaa 06/07/2018

Kwa nini wanazikopa toka ktk mifuko ya jamii ikiwa nao wanahusika? Kama wanahusika kwa nini wafanyakazi walalamike ikiwa mbia mwenzao kachukua pesa?
Hizo ni tuhuma nzito,nipe majina ya waliozikopa,vinginevyo unyamaze.
 
Hizo ni tuhuma nzito,nipe majina ya waliozikopa,vinginevyo unyamaze.
Ndo mana nakwambia akili yako ndogo rudi facebook kule daraja la kigamboni limejengwa kwa pesa za wapi kama sio nssf? Unaujua ujenzi wa chuo kikuu cha udom pesa zimetoka wap? Ngoja nikuangalie umejiunga lini jf!!!!!!!!!
 
Hizo ni tuhuma nzito,nipe majina ya waliozikopa,vinginevyo unyamaze.
Umejiunga 2017 bado hujaiva jitahidi sana kutafuta habar na vyanzo vyake hapa utaumbuka inabidi nikuache sio level yangu wewe.
 
Hongera Magufuli,umeondoa aibu yangu.Mungu akulinde.Mimi sio hypocrite,nakuombea kila siku katika maombi yangu,you are so special to me and Tanzania.Hongera sana strongman.
Hata ukinawa mjini huendi
 
Ndo mana nakwambia akili yako ndogo rudi facebook kule daraja la kigamboni limejengwa kwa pesa za wapi kama sio nssf? Unaujua ujenzi wa chuo kikuu cha udom pesa zimetoka wap? Ngoja nikuangalie umejiunga lini jf!!!!!!!!!
Rudi kwenye mada.
 
Karibu 5H-TCG , lakini ni bora hizi ndege nazo zikapewa majina ili iwe rahisi kutambulika kama ambavyo vivuko vya TEMESA vilivyo na Majina Mfano MV. Dar es salaam, MV. Musoma, MV. Mwanza, MV. Misungwi na zenyewe zipewe hivyohivyo Mf. Mlima Kilimanjaro, Serengeti, Edward Sokoine , JK Nyerere Air Tanzania
 
Zinaweza nunuliwa ndege nyingi kisa mtu mmoja kutaka zinunuliwe ila kama hamna mipango ni majanga zaidi.
Ndege tatu kwa awali zingetosha. Saba ni kama kujiovadozi.
 
Back
Top Bottom