Tetesi: Boeing 787 5H TCG Kutua Nchini Ijumaa 06/07/2018

Tatizo kubwa sana mnalo... Imefika mahala hata CAG hamumuamini kwa vile tu kasema makosa yenu... SI unakumbuka habari ya Bilioni 1,500/- na yale maswali ya bwana mjkubwa kwa CAG?

Mmefika mahala anayewakosoa ni adui yenu

mmefika mahala pa kutowakosoa hata wateule wake pale wanapokosea....
CAG huyo huyo kasema mbowe kajikopesha bilioni mbili,lakini wapambe kuficha aibu mnashabikia ya ccm tu,ili hilo la bilioni mbili lipite na mmefanikiwa
 
CAG anasema 1.5Trilion hazijulikani zilipo
 
Aibu ya kudharauliwa nchi yangu Tanzania.

Ni nani amekuambia serikali kutokumiliki commercial airline ni aibu? Hivi unajuwa kwamba serikali tajiri kuliko zote duniani ya USA haifanyi biashara ya abiria ya ndege? Hivi kipi ni aibu, kuwa na hospitali zisizokuwa na matibabu na shule zisizo na majengo au kutokuwa na ndege?
 
Vyote ni aibu.Anyway hatushangai comments hizi,yote haya ni katika nia ile ile,kuidhalilisha serikali.Hata hivyo hamtatukatisha tamaa.
 
Hakuna anayeidhalilisha serikali. Ni serikali yenyewe ndiyo inajidhalilisha mchana kweupe.

Inachofanya sasa ni sawa na kuvaa suit vipande vitatu bila viatu (miguu peku) wakati ingeweza kuvaa suruali ya kawaida na shati na simple wakati ikisubiri huo muda wa kuvaa suit na viatu.Eti kwa sababu wengine wamevaa suit basi na yenyewe inalazimisha ivae suit wakati haina uwezo matokeo yake pesa yote inaishia kununua suit na viatu vinakosekana. Halafu inatoka mbele za watu eti tuishangilie kwa kuvaa suit, tunauliza but miguuni kutupu kulikoni? Oh tupeni muda, sasa wakuu miguu peku na magonjwa haya kuna usalama kweli?
 
Ni nani amekuambia serikali kutokumiliki commercial airline ni aibu? Hivi unajuwa kwamba serikali tajiri kuliko zote duniani ya USA haifanyi biashara ya abiria ya ndege? Hivi kipi ni aibu, kuwa na hospitali zisizokuwa na matibabu na shule zisizo na majengo au kutokuwa na ndege?
Kwamtazamo wa jiwe ni bora ndege. Tatizo anaamini kua ndege ndio utajiri wa nchi kwakudanganywa na kàgame.
Ushamba ni tabu sana.
 
Hongera Magufuli,umeondoa aibu yangu.Mungu akulinde.Mimi sio hypocrite,nakuombea kila siku katika maombi yangu,you are so special to me and Tanzania.Hongera sana strongman.
He is special to you, not to tanzania.
 
Karibu dreamliner 787-8 Rais wangu ningefurahi kama ya pili ingekuwa 787-9
 
CAG huyo huyo kasema mbowe kajikopesha bilioni mbili,lakini wapambe kuficha aibu mnashabikia ya ccm tu,ili hilo la bilioni mbili lipite na mmefanikiwa
Sionagi kama ni busara sana kutumia makosa ya mwingine kuhalalisha yako.... By the way, 2B na 1500B mwenye busara atahangaika na 1500B kujua imetumikaje... tena bila hata kashfa yoyote kama ile ya 784B kwa miaka kumi (EPA, ESCROW, RADA na RICHMOND) na hii ya 1500B kwa mwaka mmoja..
 
Back
Top Bottom