Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
N'ko nangadefu! Nipo Bakau hapa (Cape Point), mbona sijaziona hizo ndege?Kuna ndege Gambia zinapigwa mnada
Kwamtazamo wa jiwe ni bora ndege. Tatizo anaamini kua ndege ndio utajiri wa nchi kwakudanganywa na kàgame.
Ushamba ni tabu sana.
Aksante ila ukweli ndo huo..Polesana watz Mungu atuhurumie nchi hii hata ufanyeje watasema tu
Naamini katika Mungu isipokua nadhani hii ni adhabu ya unafiki wa watanzania, naujinga wa kupokea tshat na kofia. So Mungu amekaa pembeni anatabasamu.Noma sana halafu ushamba wa mtu mmoja gharama inalipwa na watanzania 55m. This is very unfair kwa kweli Mungu ashugulike na hao washamba wanaotesa maskini wa watanzania kwa vipaumbele vya ajabu ajabu.
Kabla ya hizo ndege hao unaowaita maskini wa Tanzania walikuwa na raha sana?Noma sana halafu ushamba wa mtu mmoja gharama inalipwa na watanzania 55m. This is very unfair kwa kweli Mungu ashugulike na hao washamba wanaotesa maskini wa watanzania kwa vipaumbele vya ajabu ajabu.
Miaka mingi hatukuwa na ndege, vipi hospitali na shule zilikuwaje?Ni nani amekuambia serikali kutokumiliki commercial airline ni aibu? Hivi unajuwa kwamba serikali tajiri kuliko zote duniani ya USA haifanyi biashara ya abiria ya ndege? Hivi kipi ni aibu, kuwa na hospitali zisizokuwa na matibabu na shule zisizo na majengo au kutokuwa na ndege?
Miaka mingi hatukuwa na ndege, vipi hospitali na shule zilikuwaje?
Kweli wewe mtima nyongo.iyumbe mara ngapi?
Hivi mbona haya makelele hatukuyasikia wakati wa Mwinyi,Mkapa na hata Kikwete, hata pamoja na ukweli kwamba Kikwete ndiye aliyekuwa the worst President this country has never heard, kwa watu logical lakini.No, JPM is special to Tanzania,no doubt about it.Hivi ni nani asiyejua kwamba mti wenye matunda ndio unaochuchiwa?He is special to you, not to tanzania.
Tons Uhuru mnarekebisha mini au mnarekebisha kifoMtasema sana,ila hayo yanarekebishika.
Kwani Magufuli alitawala tangu Uhuru.Yaani mmekuwa wagumu kweli wa kuelewa.Nadhani mnafanya makusudi ili kuidhalilisha serikali ya awamu ya tano.Tunajua JPM ana matatizo,lakini at least amethubutu.Tons Uhuru mnarekebisha mini au mnarekebisha kifo
Utapoteza muda wako bure kujaribu kuyaelewesha haya makarai ya ufipa. Yaache kama yalivyo.Kwani Magufuli alitawala tangu Uhuru.Mmekuwa wagumu sana wa kuelewa.Nadhani mnafanya makusudi ili kuidhalilisha serikali ya awamu ya tano.Tunajua JPM ana matatizo,lakini at least amethubutu.
Hivi mbona haya makelele hatukuyasikia wakati wa Mwinyi,Mkapa na hata Kikwete, hata pamoja na ukweli kwamba Kikwete ndiye aliyekuwa the worst President this country has never heard, kwa watu logical lakini.No, JPM is special to Tanzania,no doubt about it.Hivi ni nani asiyejua kwamba mti wenye matunda ndio unaochuchiwa?
Jamani tunajua Magufuli sio malaika, he makes mistakes,but he is better.Leo nilienda Kigamboni.Katika safari yangu ndani ya M.V.Magogoni, nilikaa na mzee mmoja aliyeonekana ana hekima sana.Katika maongezi yetu, yule mzee alitoa mfano wa jinsi Magufuli anavyowabana watendaji wasiweze kuihujumu serikali.Alisema, "siku moja M.V.Magogoni iliishiwa mafuta mpaka ikavutwa, pamoja na magari yote haya na umati wote huu kulipa nauli." Akaongeza, "Engineer na watu wake walikuwa wanagawana tu hela,siku hizi thubutuu....!" Yule mzee akamalizia kwa kusema,"tumeibiwa sana,ngoja Magufuli akaze uzi,hata tulale njaa si kitu,kwanza tumeshazoea." Nilimuelewa.Huyo ndiye Magufuli anayerushiwa madongo.Aibu sana.
A totally Amen to that one walahiHongera Magufuli,umeondoa aibu yangu.Mungu akulinde.Mimi sio hypocrite,nakuombea kila siku katika maombi yangu,you are so special to me and Tanzania.Hongera sana strongman.