Tetesi: Boeing 787 5H TCG Kutua Nchini Ijumaa 06/07/2018

Kwamtazamo wa jiwe ni bora ndege. Tatizo anaamini kua ndege ndio utajiri wa nchi kwakudanganywa na kàgame.
Ushamba ni tabu sana.

Noma sana halafu ushamba wa mtu mmoja gharama inalipwa na watanzania 55m. This is very unfair kwa kweli Mungu ashugulike na hao washamba wanaotesa maskini wa watanzania kwa vipaumbele vya ajabu ajabu.
 
Naamini katika Mungu isipokua nadhani hii ni adhabu ya unafiki wa watanzania, naujinga wa kupokea tshat na kofia. So Mungu amekaa pembeni anatabasamu.
 
Noma sana halafu ushamba wa mtu mmoja gharama inalipwa na watanzania 55m. This is very unfair kwa kweli Mungu ashugulike na hao washamba wanaotesa maskini wa watanzania kwa vipaumbele vya ajabu ajabu.
Kabla ya hizo ndege hao unaowaita maskini wa Tanzania walikuwa na raha sana?
 
Ni nani amekuambia serikali kutokumiliki commercial airline ni aibu? Hivi unajuwa kwamba serikali tajiri kuliko zote duniani ya USA haifanyi biashara ya abiria ya ndege? Hivi kipi ni aibu, kuwa na hospitali zisizokuwa na matibabu na shule zisizo na majengo au kutokuwa na ndege?
Miaka mingi hatukuwa na ndege, vipi hospitali na shule zilikuwaje?
 
Tujiandae kwa vijembe maana hawezagi kuvumilia yule.
 
Siku hiyo nitaenda kuunga mkono juhudi za mtukufu raisi wetu
 
IMG_3988.jpg
Kwa bei hizi usafiri wa anga utakua sio anasa tena!
 
He is special to you, not to tanzania.
Hivi mbona haya makelele hatukuyasikia wakati wa Mwinyi,Mkapa na hata Kikwete, hata pamoja na ukweli kwamba Kikwete ndiye aliyekuwa the worst President this country has never heard, kwa watu logical lakini.No, JPM is special to Tanzania,no doubt about it.Hivi ni nani asiyejua kwamba mti wenye matunda ndio unaochuchiwa?

Jamani tunajua Magufuli sio malaika, he makes mistakes,but he is better.Leo nilienda Kigamboni.Katika safari yangu ndani ya M.V.Magogoni, nilikaa na mzee mmoja aliyeonekana ana hekima sana.Katika maongezi yetu, yule mzee alitoa mfano wa jinsi Magufuli anavyowabana watendaji wasiweze kuihujumu serikali.Alisema, "siku moja M.V.Magogoni iliishiwa mafuta mpaka ikavutwa, pamoja na magari yote haya na umati wote huu kulipa nauli." Akaongeza, "Engineer na watu wake walikuwa wanagawana tu hela,siku hizi thubutuu....!" Yule mzee akamalizia kwa kusema,"tumeibiwa sana,ngoja Magufuli akaze uzi,hata tulale njaa si kitu,kwanza tumeshazoea." Nilimuelewa.Huyo ndiye Magufuli anayerushiwa madongo.Aibu sana.
 
Tons Uhuru mnarekebisha mini au mnarekebisha kifo
Kwani Magufuli alitawala tangu Uhuru.Yaani mmekuwa wagumu kweli wa kuelewa.Nadhani mnafanya makusudi ili kuidhalilisha serikali ya awamu ya tano.Tunajua JPM ana matatizo,lakini at least amethubutu.
 
Kwani Magufuli alitawala tangu Uhuru.Mmekuwa wagumu sana wa kuelewa.Nadhani mnafanya makusudi ili kuidhalilisha serikali ya awamu ya tano.Tunajua JPM ana matatizo,lakini at least amethubutu.
Utapoteza muda wako bure kujaribu kuyaelewesha haya makarai ya ufipa. Yaache kama yalivyo.
 
Trudo Justine ni dogo wa miaka chini ya nusu ya watawala wengi,Anazuaia matumizi ya Kijinga lakini mafanikio yanaonekana,look at you,Maisha hayaeleweki hata yanapelekwa sayari gani,tunajaza white elephant projects bila kuangalia where are the Farmer who need market,where are the propers seeds,where are the tangible market strategy.Poor us.

Back
Top Bottom