Tetesi: Boeing 787 5H TCG Kutua Nchini Ijumaa 06/07/2018

Tetesi: Boeing 787 5H TCG Kutua Nchini Ijumaa 06/07/2018

It's a matter of priorities.
Wastaafu wanatoka makazini wanategemea wakirudi watumie jasho lao halafu wewe unaandika takataka hapa au ktk familia yenu kuna mtu mwizi nini hasikii maumivu ya wastaafu?
 
Wastaafu wanatoka makazini wanategemea wakirudi watumie jasho lao halafu wewe unaandika takataka hapa au ktk familia yenu kuna mtu mwizi nini hasikii maumivu ya wastaafu?
Sijasema hizo priorities ni mbaya au nzuri.
 
Tatizo kubwa sana mnalo... Imefika mahala hata CAG hamumuamini kwa vile tu kasema makosa yenu... SI unakumbuka habari ya Bilioni 1,500/- na yale maswali ya bwana mjkubwa kwa CAG?

Mmefika mahala anayewakosoa ni adui yenu

mmefika mahala pa kutowakosoa hata wateule wake pale wanapokosea....
Vipi wazee wa chadema walisema kuhusu ubadirifu wa chama chenu?
 
Cha mtoto kwa akili yako hadi muda huu mafao ya mstaafu unayaita ya serikali? Taifa lililojifia toka fikra hadi elimu.
Sijasema ni ya serikali,nimesema ni ya mchangiaji na serikali!
 
Sijasema ni ya serikali,nimesema ni ya mchangiaji na serikali!
Kwa nini wanazikopa toka ktk mifuko ya jamii ikiwa nao wanahusika? Kama wanahusika kwa nini wafanyakazi walalamike ikiwa mbia mwenzao kachukua pesa?
 
Back
Top Bottom