Nchi zote za afrika lazima watembeze bakuli. Lakini JPM anatembeza akiwa kwake magogoni tena akitumia lugha yake ya kisukuma. Ajabu ni kwamba wazungu wanajaza bakuli wala hawa dai riba ya Juu
Hana akili huyo achana nayeDuuh!! Akiwa anaongea Kiswahili kuna kua na watafsiri ata akiongea Putin, Macron etc. Hiyo hoja hamna anayemsikiliza kwakua anaongea kiswahili ime kaa kijiweni jiweni. Jaribu kuongea ukishirikisha akili
Ninihisi ulizaliwa ukiwa na congenital syphilis, hustahili hata kujibiwa wewe.
Hahahahahaha, huna akili ya kuweza kuzungumza mada ngumu kama hizi wewe, nenda huko kwenye mada za Wema Sepetu na Hamisa Mobeto ndiyo saizi yako.Magonjwa ya baba yako na mama yako hayo. Pole sana
angalia ulivyo zwazwa ndege za a400 zilikuja september26 /2016 zilianza kazi mwezi october2016 wewe kwenye hasara unatuletea hasara ya 2015/2016.roho mbaya haikusaidii kitu we dogo
Pesa ipo kwa wingi ya kulipa elimu bure, kununua madawa na kulipa wafanyikazi. JPM kajikakamua mpaka akapata pesa ya kujenga SGR kwa mapato ya ndani. Muindo mbinu iliyobaki lazima atembeze bakuli kama ma rais wengine. CAG wilonya kuwa mikopo imekuwa kubwa lakini kwa mujibu wa waziri Mpango, deni sasa limeshuka kutoka 39% of GDP to 31%. Kwa hivyo Tz inalipa madeni na mwendo ni wa kupunguza sio kuongezaUZWAZWA huu wa hali ya juu!!! Umesikia onyo la CAG na WB kuhusu kuongezeka kwa deni la Taifa!? Kama tuna pesa nyingi kwanini tukope!?
Hivi mtu umekua kwenye baraza la mawaziri kwa miaka zaidi ya 15 then unapata uraisi una enda ufaransa kuomba ushauri jinsi ya kutatua tatizo la madawa! Au unahisi mzungu gani ange mshauri akomalie sekta ya madini au raisi gani wa Africa angempa ushauri kuhusu kupambana na rushwa. Wewe unahisi Trump anaeza akampa Magufuli ushauri wa kufufua reli! Hivi unajua tafiti zimesha fanywa na zinazidi kufanywa kinacho kosekana ni utashi wa kisiasa. Ata mimi ukinipa uraisi leo sita hitaji kwenda kuomba ushauri ulaya. Hao wanaoenda ulaya kubadilishana mawazo na maraisi wengine mbona hawatoboi.Una akili finyu sana wewe! Rais hatakiwi ajifungie ndani ya nchi anatakiwa kuweza kubadilishana mawazo na Viongozi mbali mbali ndani duniani kwa kujifungia ndani ya nchi ndiyo sababu anakurupuka kila kukicha na maamuzi ambayo hayana maslahi kwa Watanzania miaka
miwili na nusu madarakani ni hasara tupu kwa Taifa.
Hana akili huyo achana naye
Hana akili huyo achana naye
Bora uncle magu akae magogoni,tena asitoke kwa kitanda chake, akianza tutoka toka atafunzwa tabia mbaya na ma Rais fisadi 😀Hivi mtu umekua kwenye baraza la mawaziri kwa miaka zaidi ya 15 then unapata uraisi una enda ufaransa kuomba ushauri jinsi ya kutatua tatizo la madawa! Au unahisi mzungu gani ange mshauri akomalie sekta ya madini au raisi gani wa Africa angempa ushauri kuhusu kupambana na rushwa. Wewe unahisi Trump anaeza akampa Magufuli ushauri wa kufufua reli! Hivi unajua tafiti zimesha fanywa na zinazidi kufanywa kinacho kosekana ni utashi wa kisiasa. Ata mimi ukinipa uraisi leo sita hitaji kwenda kuomba ushauri ulaya. Hao wanaoenda ulaya kubadilishana mawazo na maraisi wengine mbona hawatoboi.
Hana akili huyo achana naye
Labda ww atakuelewa Mrs van ,ni kwel tukiendelea kutazama haya mambo local kiukwel tutaumia sana especially when it come to EACsiwezi kumwambia hvo hapa tupo kuelimishana na kuelewana na sio vita lakini lazma tutazame mambo kwa upana sana sio kuokota story za vijiweni na kuleta hapa
Acha ufisadi tu, hao wazungu hawachelewi waka kwambia unaonaje uka ruhusu ndoa za jinsia moja uku anakubania kijichoBora uncle magu akae magogoni,tena asitoke kwa kitanda chake, akianza tutoka toka atafunzwa tabia mbaya na ma Rais fisadi 😀
aviation sector ni muhimu sana katika kukuza utalii hasa kwa sasa hvi ambapo tunafanya vzr sana kwenye utalii na kua miongoni mwa nchi chache sana duniani zenye vivutio vya kipekee vya utalii, na ili uifanye JNIA hub lazima uwe na ndege za kutoshaLabda ww atakuelewa Mrs van ,ni kwel tukiendelea kutazama haya mambo local kiukwel tutaumia sana especially when it come to EAC
Kuna nchi Duniani huwa inajiendesha kwa Rais wake kuzunguka Duniani kuwawakilisha?Kwa akili yako ya KIZWAZWA unaona si kigezo sasa anahofia kuiwakilisha nchi kwenye mikutano muhimu duniani na taahira wewe unaona ni sawa tu! Kuiwakilisha nchi katika mikutano muhimu duniani na kushindwa kufanya hivyo ni hasara kubwa kwa nchi sasa kabaki kuja na visingizio uchwara.
Hivi kuna raia wa uingereza atamuuliza waziri may ni kwanini hukuongea kiswahili ulipofika Tanzania.?Kwanini Marais wanne waliotangulia hawakutumia Kiswahili kwenye mikutano ya Kimataifa? Na hawa hawakuwa na Phd, kwanini huyu mwenye Phd ashindwe!?