G.Jacob
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 3,618
- 3,478
Kwa muda mfupi sana Tanzania imejitengenezea status ya potential customer kwa makampuni makubwa kwa mfumo wa manunuzi ya CASH.
Sasa wanasema ukitaka kukopesheka jitengenezee mazingira ya kuaminika na sasa Tunaaminika, ni jambo jema la kusifia kwa kweli.
Sasa wanasema ukitaka kukopesheka jitengenezee mazingira ya kuaminika na sasa Tunaaminika, ni jambo jema la kusifia kwa kweli.