Boeing kuliinua zaidi AirTanzania yatoa ndege kwa Fujo kwa AirTanzania

Hivi wewe unajua maana ya instalments ama umeandika kitu huelewi?πŸ˜€πŸ˜€
a sum of money due as one of several equal payments for something, spread over an agreed period of time.

Una lingine.?
 
wanafkiri tunapewa bureπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hawa watu wajinga sana
 
Thank you very much

Watanzania wengi vichwa vyetu ni vyepesi kuelewa mambo
 
Kwa hivyo hamjanunua cash. Good, ni hayo tu kwa sasa.
we unajua maana ya installments au??? shule ukilipa ada yako kwa installments inamaana umesoma bure??? ujinga hauwez kutoka au sioπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Of course yes ndege zote tumenunua cash

This Boeing agreement ni new chapter after seeing our cash purchasing power
huyo achana nae anawivu sana huyo kilaza anajitia mjuaji sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hebu wacheni huu ujinga eti special offer. Kununua sio tatizo,
Kuzalisha faida ndio shughuli
Wanadhani serikali itakua ikitoa pesa kila mara kununulia shirika ndege. After ndege za Kwanza serikali itataka kuona faida which will not happen. Finally ATCL itarudi pale pale juu ya mawe.

 
Ushamba uliotukuka. Kuanzia kwa mnunuaji hadi kwa mpokeaji.
"Nimenunua ndege" kama ni mali yakr au kwa pesa zake
 
Hivi wewe unajua maana ya instalments ama umeandika kitu huelewi?πŸ˜€πŸ˜€
Acha kuleta akili za Kibera, kama umeshakunya katika mifuko ya plastic na huna maji ya kujisafisha lazima uanze kupiga kelele. Ninyi ndege zenu zote mumekodi kwahiyo hamjui lolote kuhusu masharti ya Boeing.

Kawaida ili Boeing wapokee order yako ya kutengeneza ndege per your requirement, lazima utangulize zaidi ya 50% ya bei ya hiyo ndege, na kabla ya kukabidhiwa hiyo ndege ikiwa tayari unamalizia pesa iliyobaki, hii ni tofauti na kununua kitu by instalment, ambapo unalipa kidogo kidogo hadi utakapomaliza, hii inatokana na mnunuzi kutokua na pesa yote japo bidhaa ipo tayari sokoni.
 
fantastic point hehehe wanadhani hio offer watapewa wao watu wenyewe wanakopa loan kulipa loan ndio economy yao ilipofikaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kuna mchumi wao mmoja alisema wakamuona kilaza aliwaambia kenya inakopa sana for consumption and not developmentsπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
NGEGE ndo kitu gn......yn gaazeti linapita kwenye macho ya mwandishi......linakuja kwa editor...mpka mhariri wa gazeti ndo linakuja sis tulisome likiwa hivo!!??
Walikuwa na haraka ili lije kitaa,halafu mhariri si ni musiba yule kilaza???
 
we unajua maana ya installments au??? shule ukilipa ada yako kwa installments inamaana umesoma bure??? ujinga hauwez kutoka au sioπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Deni pekee ndo hulipwa in installments, Ndege ni ya deni kubali matokeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…