Boeing kuliinua zaidi AirTanzania yatoa ndege kwa Fujo kwa AirTanzania

Boeing kuliinua zaidi AirTanzania yatoa ndege kwa Fujo kwa AirTanzania

Hivi wewe unajua maana ya instalments ama umeandika kitu huelewi?😀😀
a sum of money due as one of several equal payments for something, spread over an agreed period of time.

Una lingine.?
 
Ndio hivyo Boeing ndio wametoa special offers kwa kutengenezea AirTanzania ndege kisha AirTanzania kulipa kwa installments tofauti na utaratibu wa prepayments

Ni kuanzia hii aircraft ya saba amapo watakua wakiipa AirTanzania Boeing mojamoja kila baada ya last order

Unatakiwa ujue tunachukua kwa Boeing direct sio broker kama KQ alafu hakuna interest rates yoyote kwenye hayo makubaliano
wanafkiri tunapewa bure😀😀😀😀😀 hawa watu wajinga sana
 
Kulipa cash kupo pale pale, hapa ni kuondoa lile sharti la kutanguliza deposit ili kuwa na uhakika kama kweli mteja ataweza kulipia hiyo bidhaa, ila kama mteja wako unamuamini, hiyo deposit unaweza kuiondoa na ukawa na uhakika wa malipo yote wakati ndege imekamilika, Kenya haiwezi kuaminika kwa kiwango hiki kwa sababu serikali inaendeshwa kwa kukopa ovyo ovyo.
Thank you very much

Watanzania wengi vichwa vyetu ni vyepesi kuelewa mambo
 
Kwa hivyo hamjanunua cash. Good, ni hayo tu kwa sasa.
we unajua maana ya installments au??? shule ukilipa ada yako kwa installments inamaana umesoma bure??? ujinga hauwez kutoka au sio😀😀😀😀😀😀
 
Of course yes ndege zote tumenunua cash

This Boeing agreement ni new chapter after seeing our cash purchasing power
huyo achana nae anawivu sana huyo kilaza anajitia mjuaji sana😀😀😀😀😀
 
Hebu wacheni huu ujinga eti special offer. Kununua sio tatizo,
Kuzalisha faida ndio shughuli
Wanadhani serikali itakua ikitoa pesa kila mara kununulia shirika ndege. After ndege za Kwanza serikali itataka kuona faida which will not happen. Finally ATCL itarudi pale pale juu ya mawe.

images (34).jpeg
 
Ushamba uliotukuka. Kuanzia kwa mnunuaji hadi kwa mpokeaji.
"Nimenunua ndege" kama ni mali yakr au kwa pesa zake
 
Hivi wewe unajua maana ya instalments ama umeandika kitu huelewi?😀😀
Acha kuleta akili za Kibera, kama umeshakunya katika mifuko ya plastic na huna maji ya kujisafisha lazima uanze kupiga kelele. Ninyi ndege zenu zote mumekodi kwahiyo hamjui lolote kuhusu masharti ya Boeing.

Kawaida ili Boeing wapokee order yako ya kutengeneza ndege per your requirement, lazima utangulize zaidi ya 50% ya bei ya hiyo ndege, na kabla ya kukabidhiwa hiyo ndege ikiwa tayari unamalizia pesa iliyobaki, hii ni tofauti na kununua kitu by instalment, ambapo unalipa kidogo kidogo hadi utakapomaliza, hii inatokana na mnunuzi kutokua na pesa yote japo bidhaa ipo tayari sokoni.
 
Kulipa cash kupo pale pale, hapa ni kuondoa lile sharti la kutanguliza deposit ili kuwa na uhakika kama kweli mteja ataweza kulipia hiyo bidhaa, ila kama mteja wako unamuamini, hiyo deposit unaweza kuiondoa na ukawa na uhakika wa malipo yote wakati ndege imekamilika, Kenya haiwezi kuaminika kwa kiwango hiki kwa sababu serikali inaendeshwa kwa kukopa ovyo ovyo.
fantastic point hehehe wanadhani hio offer watapewa wao watu wenyewe wanakopa loan kulipa loan ndio economy yao ilipofika😀😀😀😀😀😀 kuna mchumi wao mmoja alisema wakamuona kilaza aliwaambia kenya inakopa sana for consumption and not developments😛😛😛😛😛
 
NGEGE ndo kitu gn......yn gaazeti linapita kwenye macho ya mwandishi......linakuja kwa editor...mpka mhariri wa gazeti ndo linakuja sis tulisome likiwa hivo!!??
Walikuwa na haraka ili lije kitaa,halafu mhariri si ni musiba yule kilaza???
 
we unajua maana ya installments au??? shule ukilipa ada yako kwa installments inamaana umesoma bure??? ujinga hauwez kutoka au sio😀😀😀😀😀😀
Deni pekee ndo hulipwa in installments, Ndege ni ya deni kubali matokeo.
 
Back
Top Bottom