Boeing kuliinua zaidi AirTanzania yatoa ndege kwa Fujo kwa AirTanzania

Hahahaha, watu hawajielewi kabisa.πŸ˜€
 
Mnalipa in instalments na hiyo unaita cash? Hivi unajua maana ya instalments wee bongolala?
Hahahahahahahahahahahahahaha nenda kunya kwanza kwenye mifuko ya plasti, hivi hata mchana pia mnakunya ndani au?, kama hakuna vyoo kabisa, mchana huwa mnakunya wapi?
 
Acha kutuadaa lete huo ushahidi wa haya mapendekezo tuyaone kama kweli hakuna riba.
Haiwezekani Boeing ikakopesha ndege bila riba .
 
Hiyo ni biashara.. kama mmeweza kulipa cash ndege moja ambayo mngetakiwa kulipa half the price then the second half mlipe kidogo kidogo kwanini full payment yenu wasiwatengenezee ndege nyingine na wao wapige pesa..

It's business hakuna jipya, though it's good to have two dreamliners or more ili na sisi sasa tuanze kuonekana na zitunufaishe
 
Ni vizuri sometimes kuficha ujinga..Eti Mtu tena engineer anafikiria kununua ndege nikama kununua soda kwa duka. Anataka JPM aende Boeing na cash, mwenye duka atafute ndege kwa store yake, aipanguze panguze amkabidhi πŸ˜€
wanaumia kwanini magu anaweza kufanya maajabuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ wwao hawana historia ya kununua ndege cash sasa magu anawaumiza sana kichwa
 
Hapa Boeing anacheza kibiashara na makampuni mengine wapinzani wake kibiashara kwa kuwapa mazingira magumu kuuza tena ndege Tanzania kwa sababu kashaonekana ni potential client. Kwa hiyo bombadier na wenzake wajipange tena kushindana Boeing kibiashara . Wenzetu wako smart sana wanapoona fursa
 
Reactions: Oii
Acha kutuadaa lete huo ushahidi wa haya mapendekezo tuyaone kama kweli hakuna riba.
Haiwezekani Boeing ikakopesha ndege bila riba .
wapi wameandika riba??? na wapi wameandika mkopo?? vp kichwani kuna matope naona
 
Hahahahahahahahahahahahahaha nenda kunya kwanza kwenye mifuko ya plasti, hivi hata mchana pia mnakunya ndani au?, kama hakuna vyoo kabisa, mchana huwa mnakunya wapi?
yani anasema munalipa installments munaita cash hahah huyo kasoma nn??? inamaana installment sio cash ni mandaziπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€MUNGU wasaidie wakenya wanahali mbaya sana
 
Yani ndege ni kwa ajili ya kundi la watu wachache. Nashangaa wanavyozipa priorities wakati kundi la watu wengi lina hali mbaya
fanya kazi uache kwenda kupoteza pesa saloon kila siku alaf uone kama hutapandaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
manufaa yapo kwa kukuza utalii na kukuza aviation industry
 
Yani ndege ni kwa ajili ya kundi la watu wachache. Nashangaa wanavyozipa priorities wakati kundi la watu wengi lina hali mbaya
Yaani serikali inanunulia shirika ndege - Tena kwa mkopo.πŸ˜€πŸ˜€ Magu anawatafuna wazima wazimaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
We ndo jitathmini mana umekimbilia kusema bila kufuatilia post niliyo quote.
nioneshe wapi wameandika neno loan na interest maana usiwe unaandika jambo huna ujuzi nalo
 
hii ni Terible teen inakuja kwa style tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…