Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
Hizo ni za kwenu zangu mm nahitaji plain thing!Maandishi makubwa ni kama nakshi hasa kwenye mkanda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo ni za kwenu zangu mm nahitaji plain thing!Maandishi makubwa ni kama nakshi hasa kwenye mkanda
Bado hujaeleza kitaalam mkuu!, Mfano, juzi nilipoenda sokoni nilikuta bei kwenye bango 2750/- nikanunua, leo namtuma mjukuu wangu amerudi kaniambia 3200/-, sasa nakushangaa wewe !.Lengo la kutokuweka bei ni kwasababu ninapofuata mzigo nakutana na bei mpya mara kwa mara
Bei hizi zinabadilika, nikiweka bei halisi siku nakwenda kufuata mzigo nakutana na bei mpya bado italeta usumbufu kwa watejaBado hujaeleza kitaalam mkuu!, Mfano, juzi nilipoenda sokoni nilikuta bei kwenye bango 2750/- nikanunua, leo namtuma mjukuu wangu amerudi kaniambia 3200/-, sasa nakushangaa wewe !.
Unabahatisha Mkuu, kama hauna uhakika wa bei, unakuwaje na uhakika wa kupata mzigo?Bei hizi zinabadilika, nikiweka bei halisi siku nakwenda kufuata mzigo nakutana na bei mpya bado italeta usumbufu kwa wateja