Boksa za kisasa za Wanaume

Boksa za kisasa za Wanaume

Lengo la kutokuweka bei ni kwasababu ninapofuata mzigo nakutana na bei mpya mara kwa mara
Bado hujaeleza kitaalam mkuu!, Mfano, juzi nilipoenda sokoni nilikuta bei kwenye bango 2750/- nikanunua, leo namtuma mjukuu wangu amerudi kaniambia 3200/-, sasa nakushangaa wewe !.
 
Bado hujaeleza kitaalam mkuu!, Mfano, juzi nilipoenda sokoni nilikuta bei kwenye bango 2750/- nikanunua, leo namtuma mjukuu wangu amerudi kaniambia 3200/-, sasa nakushangaa wewe !.
Bei hizi zinabadilika, nikiweka bei halisi siku nakwenda kufuata mzigo nakutana na bei mpya bado italeta usumbufu kwa wateja
 
Back
Top Bottom