MgosiMnubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2022
- 1,836
- 3,153
Dah!sema sisi wa MIKOANI hayo ma mwendokasi hatuyajui ngoja tuwaachie mlioko Tanzania mufaidi mema ya nchi sisi tule zetu vumbi tuuh!?Box mmekuja nalo, box wamebebea mbuzi katoliki kutoka mkoani๐
Maji machafu yaliyopo eneo la Mwenge yamesababishwa na ujenzi barabara za mwendokasi zinazoendelea kujengwa mahali hapo.
Barabara ya Sam Nojuma imefumuliwa inajengwa njia 6 zikiwemo mbili za mwendo kasi na Bagamoyo road inajengwa njia 6 zikiwemo 2 za mwendokasi.
Hivyo mkandarasi anaendelea kumalizia ujenzi wa mifumo ya maji taka na njia za waenda kwa miguu.
Hahaahaaa. Nanukuu:" .......tuwaachie mlioko Tanzania mufaidi mema ya nchi sisi tule zetu vumbi tuuh!?"Dah!sema sisi wa MIKOANI hayo ma mwendokasi hatuyajui ngoja tuwaachie mlioko Tanzania mufaidi mema ya nchi sisi tule zetu vumbi tuuh!?
Ila leo wamedhihirisha ni kweli wao ni washamba waliokubuhu.Si wanasema watu wa huko sio washamba.๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค
Kilionekana na wengi tuu na hakikuwa cha ajabu hata kidogo. Tangu lini tendegu likawa kitu cha ajabu??Mwisho wa siku kilicho kuwepo ulikiona lakini?
Kama halikuhusu ni kwa nini usilipite tuu? Utashangaa vingapi bro.Wapuuzi tu! Kwa hiyo wanataka box km hilo likikitwa mtaani lipitwe tu!
Mkuu; Kwani mwili wa mtu una lipi la ajabu? Hebu tuchukulie kwamba kulikuwa na mwili wa mtu. Sasa wewe kama wewe utakuwa na lipi la kuchangia au kusaidia...? Tena si ajabu ukawa ni wa-kwanza kutimua mbio ili usihusishwe kuisaidia polisi katika upelelezi. Nasema uongo broo?Sio tukio dogo hilo inaweza kuwa mwili wa mtu umo humo. Sijui kwanini watu mnajiona spesho sana
Duh! Box lenye mbuzi katoliki linawezaje kupita pale Magu-stendi?Box mmekuja nalo, box wamebebea mbuzi katoliki kutoka mkoani๐
Maji machafu yaliyopo eneo la Mwenge yamesababishwa na ujenzi barabara za mwendokasi zinazoendelea kujengwa mahali hapo.
Barabara ya Sam Nojuma imefumuliwa inajengwa njia 6 zikiwemo mbili za mwendo kasi na Bagamoyo road inajengwa njia 6 zikiwemo 2 za mwendokasi.
Hivyo mkandarasi anaendelea kumalizia ujenzi wa mifumo ya maji taka na njia za waenda kwa miguu.
Kwani kuna kitisho cha usalama?Watu wawe busy nane nane iwe na amani
Lakini mbona mvao huo sio wa watu wakulima/wafanya biashara waliotoka Kiwira?Hao unaowaona wanashangaa shangaa box wameleta ndizi na magimbi kutoka Kiwira.
Wenye mji wao hawapo hapo.
Ok; Halafu wewe utafanyaje?Unaweza kuta mwili wa polepole au recho dagwa.
Lakini ni issue ya kishangaza watu hawataacha kushangaa.Mkuu; Kwani mwili wa mtu una lipi la ajabu? Hebu tuchukulie kwamba kulikuwa na mwili wa mtu. Sasa wewe kama wewe utakuwa na lipi la kuchangia au kusaidia...? Tena si ajabu ukawa ni wa-kwanza kutimua mbio ili usihusishwe kuisaidia polisi katika upelelezi. Nasema uongo broo?
Mmmmh! Sidhani kama ni issue ya kushangaza kwani watu walishaona zaidi ya hayo wakati miili ilikuwa inaokotwa ufukweni ikiwa imefungwa kwenye viroba.Lakini ni issue ya kishangaza watu hawataacha kushangaa.
Wanaolipita tu wapo sawa na wanaolishangaa vivyo hivyo. Jamii haiwezi kufanana!Kama halikuhusu ni kwa nini usilipite tuu? Utashangaa vingapi bro.
Kwako haishangazi, kwa wengine inashangazaMmmmh! Sidhani kama ni issue ya kushangaza kwani watu walishaona zaidi ya hayo wakati miili ilikuwa inaokotwa ufukweni ikiwa imefungwa kwenye viroba.
Ni kweli jamii haiwezi kufanana ndo mana watu tunatofautiana katika viwango vya ujinga. Ni wale wajinga zaidi wanaolia-lia eti hali ya maisha ni ngumu lakini wanaenda kushinda barabarani kulishangaa box la mbao ambalo haliwahusu hata kidogo.Wanaolipita tu wapo sawa na wanaolishangaa vivyo hivyo. Jamii haiwezi kufanana!
Sawa.Kwako haishangazi, kwa wengine inashangaza
Sasa cjui na hilo la pili lililo mfano wa jeneza uajabu wake utakuwa ni upi au litakuwa ni kitisho?Kumbe ndio maana Mwamposa anawaona ma kenge tu wengi anaamua kuwauzia udongo na mafuta, tukubali tu asilimia kubwa ya wabongo ni wapumbavu, kwahio uajabu wa hilo box ni kufungwa kitambaa ๐ ๐ ๐ ๐
Lakini sisi ndotunaoijenga io daslama Yao maana bila sisi awatoboi hata msosi wa kifungua kinywa!?Hahaahaaa. Nanukuu:" .......tuwaachie mlioko Tanzania mufaidi mema ya nchi sisi tule zetu vumbi tuuh!?"
Mema yepi ya nchi ya kuona tendegu kwenye box lililo telekezwa hapo tangu jana?
Yan hawakuweza/walishindwa kuReason na kugundua kwamba lingelikuwa ni box lenye kitu cha thamani lisingetelekezwa hapo?.
Ni afadhali sisi wa mikoani jana kuamkia leo 07/08/2026tulilala salama bila kufikiria "lile box..?....?" na saaizi wengine wesha vuna tumahindi na kupiga walau alizeti.... hhuko shambani na siku imeisha; kuliko hao waliopoteza muda wao kusubiri kuona tendegu la kitanda likiwa kwenye box likitolewa na askari wenye waliokuja na difenda na mabunduki eti ni kitu cha ajabu kwao.
Sisi huku Umasaini ndani-ndani tunaweza kuwashangaa morani wetu wanavyoweza kumtoa ng'ombe dume (Kambaku au Orkiteng') kwenye shimo refu(Orkesumet) bila msaada wa polisi wenye silaha.
Kabisa mkuu. Ila hao jamaa hawana shukrani - walisemaga eti shukrani ya punda(serikon'/Sigirya') ni mateke.Lakini sisi ndotunaoijenga io daslama Yao maana bila sisi awatoboi hata msosi wa kifungua kinywa!?
Tujipige kifua tuuh