Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
Hongereni mliofikia hatua hii na ambao walishaipita muda mrefu.
Msingi, Lenta, Lipu hadi Bati.
Karibuni
Msingi, Lenta, Lipu hadi Bati.
Karibuni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kama hutojali unaweza kushare nasi ni nyumba ya vyumba vingapiHadi kupaua 24M
Hadi kuezeka ~ 75m, ghorofa moja yenye vyumba 2 juu na mini living room juu.
Njoo pm.Mkuu unaweza kushare namimi ramani nina plot nataka kujenga gorofa ila Nilikuwa natishwa na garama.ila ulivyosema mil 75 hadi kupaua nikaona kumbe naweza
Vyumba vitatu Kati yake self mbili, stoo, jiko, dining, sitting room na public toiletMkuu kama hutojali unaweza kushare nasi ni nyumba ya vyumba vingapi
Ok, ina vyumba vingapi bossSjapauwa ila till now 15m...
Pamoja na bati kupaua kabisa au bila paaMl 13
Boss mbele flem 7 nyuma kuna vyuma 4 kila chumba ni self na sebuleOk, ina vyumba vingapi boss