BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,484
- 2,852
Ndio maana nimeshangaaNilivyomuelewa mimi Hizo gharama ni labour charges ya fundi tu.
Haijajumlisha materials.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana nimeshangaaNilivyomuelewa mimi Hizo gharama ni labour charges ya fundi tu.
Haijajumlisha materials.
Mm naona kuna watu wanajitwisha mizigo mizito sn.Sijawahi kujua sqm ila imeshiba. Ina vyumba 4 vya kulala(1 master, 1 self, 2 kawaida) na 1 ni study room, jumla 5, public toilet&bathroom, sitting room km ukubwa wa darasa, dining, kitchen km lote, store nk. Yani hakuna laundry tu. Mbao, bati na fundi iligonga m22 point something. Bati ni Msouth- versetile Alaf tena nilifuata mwenyewe kiwandani Fundi paa pekee alilamba m2.5. Boma lililamba block za kutosha sio hata za kuongea. Kiukweli ujenzi wa sasa ni balaa Bora huko nyuma
Mkuu location ni mkoa gani?, Pia unaweza kuweka cost za fundi pekee?, je fundi wako ni mtalaam na ana-uzoefu wa kujenga hidden roof kuanzia msingi hadi kuezeka? danymTZ
Parefu sana hapo, au na materials hapo hapo?Fundi wa kibanda changu tulikubaliana kuanzia msingi hadi Paa. He is a God fearing man. Kama huko interested nae niPM. Hautajuta.View attachment 2541785View attachment 2541789
Parefu sana hapo, au na materials hapo hapo?
Hii ina vyumba vingapi mtaalam?Fundi wa kibanda changu tulikubaliana kuanzia msingi hadi Paa. He is a God fearing man. Kama huko interested nae niPM. Hautajuta.View attachment 2541785View attachment 2541789
Hii ina vyumba vingapi mtaalam?
Study room na store zipo?
Unajenga mkoa gani dear FA..?Study room na store zipo?
MaraUnajenga mkoa gani dear FA..?
Oooh Good luck pambana, nikija kutembea kanda maalumu tupate shelter kwenye hio nyumba...Mara
Hongera mtaaalam, wish u the best.Nimefikia lenta na kuweka top kozi
Pia nimeweka drill za milango na madirisha (sijapaua)
4 bedroom (2 self,2 kawaida)
Dinning
Sitting room
Store
Kitchen
Public toilet
Tofali 5400
Pesa Hadi Sasa mil 30,000,000/=
Nimeshajengea na shimo la choo
Mwaka huu napaua,bâti zinatakiwa 210
Kuhusu finishing nimeona baadhi ya nyumba wanapiga drewa,mwenye uelewa kuhusu drewa anisaidie nielewe vzr
Asante MkuuHongera mtaaalam, wish u the best.
Hizo tofali 5400 ni pamoja na fensi au ni nyumba tu?
Pia ina ukubwa wa m² ngapi
Sawa sawa boss, inawezekana ulipata slope kalk anyway utafika tuAsante Mkuu
Tofali hizo ni nyumba tuu,msingi umechangia tofali kuingia nyingi
Kuhusu sm² hapo sijui