Boma lako lilikugharimu bei gani/ kiasi cha pesa?

Hongereni mliofikia hatua hii na ambao walishaipita muda mrefu.

Msingi, Lenta, Lipu hadi Bati.

Karibuni
Fundi wa kibanda changu tulikubaliana kuanzia msingi hadi Paa. He is a God fearing man. Kama huko interested nae niPM. Hautajuta.
IMG-20230308-WA0005.jpeg
IMG_20221221_183727.jpeg
 
Hiyo ya msingi Mkuu.Jumla anataka mil3 hapo itabaki 1.3.Nyumba ya 4 rooms two self Niko,stop,dining na sitting room.
Yuko sahihi kabisa. Wakati mimi napiga ujenzi fundi wa kwanza alitaka 4.5m nikamkataa, nikapata wa 4m nikaona bado naibiwa. Mwisho nikampata fundi Maiko akataka 2.5m hata sikurudi nyuma nikamwambia chapa kazi. Aiseeeee kilichonikuta sitaki hata kuelezea maana mmmmm. Aliekuja kurekebisha makosa ya fundi Maiko na kumalizia alisema fundi kuanzia msingi hadi kumaliza pagala ilitakiwa 5m au kwa huruma sana 4.5m huyo wa 2.5 kuanzia msingi hadi boma alikuwa anasumbuliwa na njaa. Hatimae akaomba 2.5m kurekebisha makosa na kumalizia km kozi 5 na kufunga renta sehemu baadhi ambazo fundi Maiko alikuwa hajaweka.

Somo: Tusipende vitu vya bei Chee tutakuja kujuta. Km Mimi ningemsikiliza fundi wa 4.5m ingekuwa poa hatimae gharama za fundi Maiko na aliemalizia zilifika 5m. Bado ubomoaji ulionigarimu tofali mpya, sementi, maji, muda kupotea.
 
Fundi wa kibanda changu tulikubaliana kuanzia msingi hadi Paa. He is a God fearing man. Kama huko interested nae niPM. Hautajuta.View attachment 2541785View attachment 2541789
Sijakuelewa, au ni mimi tu sijui figures. Yani nyumba hio msingi tu 2.46m, kusimamisha boma 5.445m, paa 5.440m? Hapana hapana hapana hapana, nasema hapana hata km ni fundi kutoka ulaya au mbinguni siwezi kumpa pesa hiyo yote.
 
Yuko sahihi kabisa. Wakati mimi napiga ujenzi fundi wa kwanza alitaka 4.5m nikamkataa, nikapata wa 4m nikaona bado naibiwa. Mwisho nikampata fundi Maiko akataka 2.5m hata sikurudi nyuma nikamwambia chapa kazi. Aiseeeee kilichonikuta sitaki hata kuelezea maana mmmmm. Aliekuja kurekebisha makosa ya fundi Maiko na kumalizia alisema fundi kuanzia msingi hadi kumaliza pagala ilitakiwa 5m au kwa huruma sana 4.5m huyo wa 2.5 kuanzia msingi hadi boma alikuwa anasumbuliwa na njaa. Hatimae akaomba 2.5m kurekebisha makosa na kumalizia km kozi 5 na kufunga renta sehemu baadhi ambazo fundi Maiko alikuwa hajaweka.

Somo: Tusipende vitu vya bei Chee tutakuja kujuta. Km Mimi ningemsikiliza fundi wa 4.5m ingekuwa poa hatimae gharama za fundi Maiko na aliemalizia zilifika 5m. Bado ubomoaji ulionigarimu tofali mpya, sementi, maji, muda kupotea.
Pole sana, ubora wa kazi unapelekea pia bei kupishana, Mafundi wasio na kazi bora wao huwa ni bora kufanya kazi kwa pesa yeyote bila kujali ubora wa kazi, muda na faida anayopaswa kuitengeneza. Changamoto iliyopo Client wengi wa Tanzania wanaamini Mafundi ni wezi, inawezekana ni kutokana na tasnia yenyewe kuwa na watu wachache ambao ni waaminifu, lakini mtaalamu yeyote anayeijua kazi yake ni lazima gharama yake izingatie ubora wa kazi, muda na hali halisi ya site husika. lakini mara nyingi gharama za ufundi hushauriwa ziwe kati ya asilimia 25 hadi 30 za gharama ya vifaa vya ujenzi kwa stage husika
 
Sijakuelewa, au ni mimi tu sijui figures. Yani nyumba hio msingi tu 2.46m, kusimamisha boma 5.445m, paa 5.440m? Hapana hapana hapana hapana, nasema hapana hata km ni fundi kutoka ulaya au mbinguni siwezi kumpa pesa hiyo yote.
😂😂😂
 
Now Upo Stage Gani?? Umeshafanya Finishing Ipi Na Ipi?? Hapo Ki-Standard Na Quality Finishing Mpk Fence Na Paving Inaweza Kukucost 250m.
Exactly, ndo nasubiri nikipata muda wa kusimamia niingie kwenye material ya Kiingereza (gypsum, tiles, nk). Fence sijaweka, fundi aliniambia block 4,000, mawe trip 20. Hiyo nikipata kamwanya ka kufika huko site nitakapiga mwaka hu hu. Ujenzi sio lele mama yataka moyo. Sema mimi napiga bila stress maana sitarajii kuishi humo leo wala kesho. Naandaa tu kwa ajili ya mbeleni. Ila shughuli bado pevu.

Watu jengeni tu nyumba wala hakuna ugumu wowote km watu wanavyotisha. Muhimu weka malengo na jibane ktk matumizi na starehe. Na jenga nyumba hata zaidi ya 2 km uwezo upo, maana nyumba ni asset
 
Hiyo ni total cost kaka. Matofali, cement, fundi mabati kila kitu
Sijakuelewa, au ni mimi tu sijui figures. Yani nyumba hio msingi tu 2.46m, kusimamisha boma 5.445m, paa 5.440m? Hapana hapana hapana hapana, nasema hapana hata km ni fundi kutoka ulaya au mbinguni siwezi kumpa pesa hiyo yote.
 
Sijakuelewa, au ni mimi tu sijui figures. Yani nyumba hio msingi tu 2.46m, kusimamisha boma 5.445m, paa 5.440m? Hapana hapana hapana hapana, nasema hapana hata km ni fundi kutoka ulaya au mbinguni siwezi kumpa pesa hiyo yote.

Nilivyomuelewa mimi Hizo gharama ni labour charges ya fundi tu.

Haijajumlisha materials.
 
poa ndugu usijali au nikupe na ramani kabisa na wewe ukasimamishe huo mjengo ha ha ha.
Nitashukuru boss, mimi naplan mwaka huu kusimamisha ya namna hii:
Vyumba vinne vyote vina choo
Choo cha public
Store
Study room
Fensi
155m²

Niko kanda ya ziwa.
 
Exactly, ndo nasubiri nikipata muda wa kusimamia niingie kwenye material ya Kiingereza (gypsum, tiles, nk). Fence sijaweka, fundi aliniambia block 4,000, mawe trip 20. Hiyo nikipata kamwanya ka kufika huko site nitakapiga mwaka hu hu. Ujenzi sio lele mama yataka moyo. Sema mimi napiga bila stress maana sitarajii kuishi humo leo wala kesho. Naandaa tu kwa ajili ya mbeleni. Ila shughuli bado pevu.

Watu jengeni tu nyumba wala hakuna ugumu wowote km watu wanavyotisha. Muhimu weka malengo na jibane ktk matumizi na starehe. Na jenga nyumba hata zaidi ya 2 km uwezo upo, maana nyumba ni asset
Kweli kabisa mkuu, mimi naplan kutumia mwaka kuijenga
 
Nitashukuru boss, mimi naplan mwaka huu kusimamisha ya namna hii:
Vyumba vinne vyote vina choo
Choo cha public
Store
Study room
Fensi
155m²

Niko kanda ya ziwa.
ulizia mainjinia gharama ya ujenzi kwa square meter ni shilingi ngapi halafu utapata wastani wa gharama za nyumba yako.

Lakini kumbuka vyoo vitano unavyotaka ndani siyo mchezo. Gharama kubwa sana za nyumba zinakuwa kwenye finishing.
 
Kweli kabisa ila nitaangalia gharama, kama ikiwa kubwa sana, nitaweka public toilet ila niitanganishe choo na bafu
 
Back
Top Bottom