Boma lako lilikugharimu bei gani/ kiasi cha pesa?

Hii Ni Nyumba Ambayo Ina Range 450-500Sqm🫡
Sijawahi kujua sqm ila imeshiba. Ina vyumba 4 vya kulala(1 master, 1 self, 2 kawaida) na 1 ni study room, jumla 5, public toilet&bathroom, sitting room km ukubwa wa darasa, dining, kitchen km lote, store nk. Yani hakuna laundry tu. Mbao, bati na fundi iligonga m22 point something. Bati ni Msouth- versetile Alaf tena nilifuata mwenyewe kiwandani Fundi paa pekee alilamba m2.5. Boma lililamba block za kutosha sio hata za kuongea. Kiukweli ujenzi wa sasa ni balaa Bora huko nyuma
 
Now Upo Stage Gani?? Umeshafanya Finishing Ipi Na Ipi?? Hapo Ki-Standard Na Quality Finishing Mpk Fence Na Paving Inaweza Kukucost 250m.
 
Sijawahi kujua sqm ila imeshiba. Ina vyumba 4 vya kulala(1 master, 1 self, 2 kawaida) na 1 ni study room, jumla 5, public toilet&bathroom, sitting room km ukubwa wa darasa, dining, kitchen km lote, store nk. Yani hakuna laundry tu. Mbao, bati na fundi iligonga m22 point something. Bati ni Msouth- versetile Alaf tena nilifuata mwenyewe kiwandani Fundi paa pekee alilamba m2.5. Boma lililamba block za kutosha sio hata za kuongea. Kiukweli ujenzi wa sasa ni balaa Bora huko nyuma
Wish u the best mkuu, tunaomba ukiimaalizia utupatie kapicha kidogo.
 
PM nikuunganishe na fundi wangu. He is a God fearing man. Anajenga mpaka kuezeka. Mnaweza kubaliana bei ya yote hayo kama umejipanga. Bei zake ni za kawaida
Hiyo ya msingi Mkuu.Jumla anataka mil3 hapo itabaki 1.3.Nyumba ya 4 rooms two self Niko,stop,dining na sitting room.
 
Back
Top Bottom